Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
HahaaaNimeishi nae kwa kumjali kila jema sema nahisi hizi kabila za kaskazini ni shida hasa ukiweka na nature walio nayo.
Kumbe[emoji848]pole sana,imeisha hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahaaaNimeishi nae kwa kumjali kila jema sema nahisi hizi kabila za kaskazini ni shida hasa ukiweka na nature walio nayo.
Duh[emoji119][emoji119]Aiseeeh ndoa yaaan wanawake kwakweli sina cha kusema zaidi ya pole maana na Mimi sijui ntaponaje maana nipo kwenye kutengana aka kuachana na mwanamke niliyefunga nae ndoa na kuazaa nae watoto
Hasa mtu aliyeshikiwa akili na ndugu zake unaona ana akili huyo?Huyu ni pressure ya maisha na ushauri wa ndugu zake ni unamsumbua mkuu lakini sio kwamba hanitaki ananitaka sana leo na kesho na mm nataka niwe mbali aonje joto la kunimiss anaweza kujigunza.
kumpiga mke sio solution atajitafutia matatizo bule wala sihafiko ushaur wako, watu wamepiga wake zao matokeo yake wamekufa jamaa kaenda kunyea debe, kwaiyo hata usimpe mawazo ya kumpiga mwanamke kwa maana utakuwa inampotosha mwenzio, ushaur wangu we kaa nae mbali tu sema jitahid sana kumuangalia mtoto, siku zote waswahili wanasemaga kitu ukiwa nacho huoni thamani yake kwaiyo ukijitenga nae mwenyewe akili zitamrudiaDahh sawa nimekusoma lakini ujue hadi sasa ana RB kwamba nilienda kumfanyia fujo ofisini kwake wakati nilienda kuchukua pesa zangu nilizompa week kabla. Sasa kuepuka kesi za hivyo si boda nimsikilizie tu.
Wakuu kiufupi nina mke na mtoto mmoja wa miezi 9 sasa. Tumekuwa tunaishi kwa kutegemeana kama mke na mme kwenye mambo mbalimbali. Nilibahatika vibaya kupoteza kazi baada ya kuwa mkataba wangu umeisha mwishoni kwa mwaka jana.
Tangu hapo mke wangu anaonyesha dharau waziwazi. Kiufupi ni dharau ambazo kiukweli chanzo chake ni kupungukiwa kipato japo nafanya bidii za biashara used naingiza pesa kiasi japo sio kama nilivokuwa napata salary. Mke wangu anabiashara yake nimemkuta nayo japo niliingiza pesa kama kutanua biashara iwe kubwa.
Cha kushangaza kafikia hatua hadi baadhi ya pesa nilizompa siku sio nyingi anakatalia ikabidi nimfate ofisini kwake ni chukue alivogoma nika force tukaharibu simu yake akaenda police kunichukulia RB kwamba nimemfanyia fujo japo hawakuja kunikamata na hii ni mara ya tatu kunishtaki kwa mambo ya kipuuzi mara zile mbili alinipeleka kwa mjumbe.
Sina amani na hataki tuachane mfano juzi nikamwambia ngoja nimwachie nyumba au nimtafutie room akae na mwanae mimi nikatafute pesa siku nikipata nitarudi amegoma na hapa tunapoishi kodi imeisha.
Sasa ninafikiria kumtoroka asijue nilikokwenda, najuwa hana hela ya kupanga chumba kwa sasa na hapa tulipo sasa nimesha mwambia mwenye nyumba naondoka. Yaani wakuu kuna madhira kibao hadi nafikiria na kuwaza mambo magumu sana.
Naandika lakini nahisi kama hamtanielewa maana ni mambo magumu sana. Sijawahi kumcheat mke wangu na sina demu mwingine lakini naishi nae ndani kama kaka na dada hata haitaji nimguse.
Ana kiburi kama chote jeuri imezidi hana hekima kabisa sometime hana aibu hata mbele za watu anaweza jibu hovyo tu.
NAMPENDA MWANANGU HIKO NDO KINANIUMA KUMUACHA LAKINI NAHISI NI KIFUNGO KIBAYA SANA KUENDELEA KUISHI NA HUYU MWANAMKE. NADHANI NIKIWA MBALI NAE ANAWEZA ONA UMUHIMU WANGU.
Nimechoka wakuu naomba mawazo uenu pia ikiwa utaguswakunishauri. Hatujafunga ndoa bado ni wachumba najulikana kwao na anajulikana kwetu.
Ahsanteni.
Kama wewe eti maana naona kama nawewe ni je.Aah wewe huyo ndo ulichemka ,unaweza kuta ulilazimisha tu hakuwa wako,au alikupendea pesa unategemea nn? Ujifungie milango ya kukutana na wanawake wa maana kisa huyo mmoja?
Unaweza ukakutana na mwanamke mpk ukajuta ulichelewa wapi!
Ogopa sana kumchanganya mwanamke na pesa ogopa sana mwanamke akikupendea hela!Wakuu kiufupi nina mke na mtoto mmoja wa miezi 9 sasa. Tumekuwa tunaishi kwa kutegemeana kama mke na mme kwenye mambo mbalimbali. Nilibahatika vibaya kupoteza kazi baada ya kuwa mkataba wangu umeisha mwishoni kwa mwaka jana.
Tangu hapo mke wangu anaonyesha dharau waziwazi. Kiufupi ni dharau ambazo kiukweli chanzo chake ni kupungukiwa kipato japo nafanya bidii za biashara used naingiza pesa kiasi japo sio kama nilivokuwa napata salary. Mke wangu anabiashara yake nimemkuta nayo japo niliingiza pesa kama kutanua biashara iwe kubwa.
Cha kushangaza kafikia hatua hadi baadhi ya pesa nilizompa siku sio nyingi anakatalia ikabidi nimfate ofisini kwake ni chukue alivogoma nika force tukaharibu simu yake akaenda police kunichukulia RB kwamba nimemfanyia fujo japo hawakuja kunikamata na hii ni mara ya tatu kunishtaki kwa mambo ya kipuuzi mara zile mbili alinipeleka kwa mjumbe.
Sina amani na hataki tuachane mfano juzi nikamwambia ngoja nimwachie nyumba au nimtafutie room akae na mwanae mimi nikatafute pesa siku nikipata nitarudi amegoma na hapa tunapoishi kodi imeisha.
Sasa ninafikiria kumtoroka asijue nilikokwenda, najuwa hana hela ya kupanga chumba kwa sasa na hapa tulipo sasa nimesha mwambia mwenye nyumba naondoka. Yaani wakuu kuna madhira kibao hadi nafikiria na kuwaza mambo magumu sana.
Naandika lakini nahisi kama hamtanielewa maana ni mambo magumu sana. Sijawahi kumcheat mke wangu na sina demu mwingine lakini naishi nae ndani kama kaka na dada hata haitaji nimguse.
Ana kiburi kama chote jeuri imezidi hana hekima kabisa sometime hana aibu hata mbele za watu anaweza jibu hovyo tu.
NAMPENDA MWANANGU HIKO NDO KINANIUMA KUMUACHA LAKINI NAHISI NI KIFUNGO KIBAYA SANA KUENDELEA KUISHI NA HUYU MWANAMKE. NADHANI NIKIWA MBALI NAE ANAWEZA ONA UMUHIMU WANGU.
Nimechoka wakuu naomba mawazo uenu pia ikiwa utaguswakunishauri. Hatujafunga ndoa bado ni wachumba najulikana kwao na anajulikana kwetu.
Ahsanteni.
Umuhimu wako utaonekana ukiwa na hela mzee kama ambavyo ulianza nae kwa maisha ya matumizi na bata!Sawa mkuu kama halidhiki na hali hii sass hata niiendelea kukaa nae bado nitaishi kwa stress hata kazi zinaingia mikosi mkuu. Nilifikiria kuwa mbali nae kwa muda pengine ataona umuhimu wangu.
Hiyo ni ng’ombe mkuu achana nayo pambana na mishe zikitulia omba umchukue mtoto aheri ameonesha rangi mapema tu. Uzeeni angekumaliza na stress tu!28 years old
Wanapenda wababe in real sense ila wanyonge huwa wanasifiwa mdomoni tu kwa kigezo cha jentomen and caring! Ila mambo kwa ground ni kuzaba kofi akileta ujingaJamaa mnyonge sana,kuna ndoa zinakufa sababu ya unyonge wa mwanaume,wanawake wa kiafrika wengi wanapenda rude boys
Acha mawenge hapo tatizo ina maana hujaliona tu mpaka sasa? Hela hakuna aisee wala huyo mke hasingiziwi😂 tabia zenu za kupenda huduma badala ya mtu ndio zinaletaga utata kwenye mazingira ya mtoa huduma mirija ya hela ikikata.Story ya upande mmoja, ukute wewe ndio jipu sasa unatafuta justification ya kukimbia majukumu yako. Ndio zenu, halafu baadae mtasema watoto wamelishwa sumu na mama zao.
Huyo ndio mwanamkeDah! Umenikumbusha mwaka jana ndugu yangu aliugua korona! Tulivyofika hospitali kumuona mke wake bila hata hofu aliropoka “ yaani nimemuomba mungu amchukue kuliko anavyoteseka”
Tulistaajabu
Wewe muache tu haahahahahahaMkeo ana umri gani?
Siku atakupigia kelele za mwizi
Anathamini pesa kuliko utu
Tunawapenda ninyi ila hatuwezi kuwala, kwahiyo sisi sio tatizo tatizo ni nature[emoji12]Acha mawenge hapo tatizo ina maana hujaliona tu mpaka sasa? Hela hakuna aisee wala huyo mke hasingiziwi[emoji23] tabia zenu za kupenda huduma badala ya mtu ndio zinaletaga utata kwenye mazingira ya mtoa huduma mirija ya hela ikikata.
Kwahiyo tukiwahurumia pia tatizo!! Mbona hampendeki nyie viumbe?[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji1787]Huyo ndio mwanamke
Oooh kumbe!! Sasa unatatuaje hiyo shida?Nimehisi tu kwamba na wewe una shida maana una crush tangu umeanza comments zako.
Wanawake hawa kila tukiwaambia tumieni akili msitangulize pesa mbele mnatukejeligi!Pesa zimekwisha. Anaonekana ndio waleee wazee wa kutumia hela.