Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ni akina Claree?Nimeishi nae kwa kumjali kila jema sema nahisi hizi kabila za kaskazini ni shida hasa ukiweka na nature walio nayo.
Pole sana mkuuAiseeeh ndoa yaaan wanawake kwakweli sina cha kusema zaidi ya pole maana na Mimi sijui ntaponaje maana nipo kwenye kutengana aka kuachana na mwanamke niliyefunga nae ndoa na kuazaa nae watoto
Huyo alifuata fursa ya kuvuna hela kwa kigezo cha mpenzi! Watoto wa kichaga wahuni sana mkuu...Yani mapenzi na care unazopewa unaweza hisi dunia yako ila hela ikikata tu mzee ujue umeisha😅!Offcoz kuna kuona tabia na kuvumiliana lakini haya makucha ndo nayaona sasa sikuwahi kuhisi kama atakuwa hivi siku moja.
Mkuu achana nae mzee!Hasa mtu aliyeshikiwa akili na ndugu zake unaona ana akili huyo?
Manaake hana maamuzi,hamna mwanamke hapo
Millard ayo choko tu sikuhizi nae naona anapost vitu vya hovyo mno! We bongo hii mwanamke uwe nae mmoja sindio utakuwa kila siku unjaza thread za vilio humu.
Akili kubwa,yamemkaba[emoji3064]
Si ndipo akili zenu zilipoishia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Millard ayo choko tu sikuhizi nae naona anapost vitu vya hovyo mno! We bongo hii mwanamke uwe nae mmoja sindio utakuwa kila siku unjaza thread za vilio humu.
Mwanamke ambaye ana appreciate mapenzi ni mwanamke wa kizungu tu nyie waganga njaa lazma tupangane kama foleni ya madumu bombani!
Hatua ya kwanza ni kumstua kelebu tu kimtindo! Asipostuka kiakili jua huyo ameshakuwa beyond repair!kumpiga mke sio solution atajitafutia matatizo bule wala sihafiko ushaur wako, watu wamepiga wake zao matokeo yake wamekufa jamaa kaenda kunyea debe, kwaiyo hata usimpe mawazo ya kumpiga mwanamke kwa maana utakuwa inampotosha mwenzio, ushaur wangu we kaa nae mbali tu sema jitahid sana kumuangalia mtoto, siku zote waswahili wanasemaga kitu ukiwa nacho huoni thamani yake kwaiyo ukijitenga nae mwenyewe akili zitamrudia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]asee,tumewakosea nini??Millard ayo choko tu sikuhizi nae naona anapost vitu vya hovyo mno! We bongo hii mwanamke uwe nae mmoja sindio utakuwa kila siku unjaza thread za vilio humu.
Mwanamke ambaye ana appreciate mapenzi ni mwanamke wa kizungu tu nyie waganga njaa lazma tupangane kama foleni ya madumu bombani!
Sasa unategemea mwanamke kama wewe uwe pekeako kwangu mie nawazimu?😅Si ndipo akili zenu zilipoishia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
@Extrovert sijui nani alimpiga na kitu kizito, ako na hasira na sisi balaa[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]asee,tumewakosea nini??
Hivi mnaelewa kwamba wanawake tunawavumilia sana nyie??
Sasa akikushinda mmoja wawili utawawezea wapi?Sasa unategemea mwanamke kama wewe uwe pekeako kwangu mie nawazimu?[emoji28]
Muendelee kutuvumilia tu maana haina jinsi! Mtanisamehe ila uaminifu kwa wanawake wa kibongo ni 2%[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]asee,tumewakosea nini??
Hivi mnaelewa kwamba wanawake tunawavumilia sana nyie??
Yaani[emoji23][emoji23][emoji23]@Extrovert sijui nani alimpiga na kitu kizito, ako na hasira na sisi balaa[emoji1787][emoji1787]
Hahahahah when i was on my early 20”s i used to love for real mpaka hapo mids nikawa nimejifunza how to be a man to African ladies😅!@Extrovert sijui nani alimpiga na kitu kizito, ako na hasira na sisi balaa[emoji1787][emoji1787]
Hayo ni mawazo yako tu,yaani ni tabia ya mtuMuendelee kutuvumilia tu maana haina jinsi! Mtanisamehe ila uaminifu kwa wanawake wa kibongo ni 2%
Hivi mie nikae kabisa na demu wa kibongo eti nakazana kumkea sijui napoteza pesa we kuonesha kumjali. Mwanamke ambaye nikipangwa kikazi mkoa tofauti ndani ya mwezi mmoja tu lazima awe kashagongwa na wahuni!
Hahahah kwani tatizo ni hela ya kula jamani? Unahisi mtoa mada hapeleki hela ya kula familia?Tunawapenda ninyi ila hatuwezi kuwala, kwahiyo sisi sio tatizo tatizo ni nature[emoji12]