Nafikiria kufanya maamuzi haya magumu japo naumia sana

Nafikiria kufanya maamuzi haya magumu japo naumia sana

[emoji41]
IMG_20220130_221848.jpg
 
Offcoz kuna kuona tabia na kuvumiliana lakini haya makucha ndo nayaona sasa sikuwahi kuhisi kama atakuwa hivi siku moja.
Huyo alifuata fursa ya kuvuna hela kwa kigezo cha mpenzi! Watoto wa kichaga wahuni sana mkuu...Yani mapenzi na care unazopewa unaweza hisi dunia yako ila hela ikikata tu mzee ujue umeisha😅!

Natumai utatumia hio case ya mwanamke wako huyo kujifunza. Hivyo vitimbi kuna ambaye anampa hela sahizi na ndie ambaye anamuona kidume anayestahili hizo care kwa sasa wewe kashakupuuza. Anampa K ajipimie atakavyo ila wewe anakutoa mswaki tu. Anakuletea dharau za ajabu.

Kwenye selection ya partner wanawake ni wa kuwa nao makini sana mkuu, make sure mwanamke utakaebeba next time hana element ya ubinafsi. Wengi tunapata shidakuchagua the right patners sababu wengi hatujui how to spot a gold digger!

Key area ni “Generosity” mwanamke ambaye hapo hafit vizuri jua anakutumia mkuu! Atakuwa na madhaifu mengi sana yani. Mwanamke akiwa na choyo tu tupa kuleeee!
 
Hasa mtu aliyeshikiwa akili na ndugu zake unaona ana akili huyo?
Manaake hana maamuzi,hamna mwanamke hapo
Mkuu achana nae mzee!

1.First thing ukitaka kudumu na mwanamke hakikisha hashikiwi akili iwe na ndugu au mashosti. Akiwa na akili za kukopa kila unalomwambia atatafta approval nje ndio akubali au akatae.

2.Hana tabia ya uongo ama unafiki,malaya.

3.Sio mbinafsi yani as long as mko pamoja atazame vitu collectively yani vyetu, chetu, akuhusishe in every matter badala ya umimi yani gari yangu, tv yangu, nyumba yangu, meza yangu, kochi langu! Ukiona pia mwanamke anakutegea kila kitu ufanye wewe na ana uwezo wa kufanya kwa manufaa yenu huyo hana huruma na wewe huyo ni wa kuacha straightaway piga sepa. Likely atakutumia kwa manufaa yake tu. Wengi wa hivi ndio hao wako kipesa tu anafurahia huduma zinazotokana na pesa yako ila ukiitoa pesa kwenye equation anakuona kama mavi tu! Hawa ndio wengi sikuhizi as long as pesa ipo atazuga anakupenda tu hata kinafiki ila siku ukiyumba huwezi amini!
 
Millard ayo choko tu sikuhizi nae naona anapost vitu vya hovyo mno! We bongo hii mwanamke uwe nae mmoja sindio utakuwa kila siku unjaza thread za vilio humu.

Mwanamke ambaye ana appreciate mapenzi ni mwanamke wa kizungu tu nyie waganga njaa lazma tupangane kama foleni ya madumu bombani!
Si ndipo akili zenu zilipoishia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
kumpiga mke sio solution atajitafutia matatizo bule wala sihafiko ushaur wako, watu wamepiga wake zao matokeo yake wamekufa jamaa kaenda kunyea debe, kwaiyo hata usimpe mawazo ya kumpiga mwanamke kwa maana utakuwa inampotosha mwenzio, ushaur wangu we kaa nae mbali tu sema jitahid sana kumuangalia mtoto, siku zote waswahili wanasemaga kitu ukiwa nacho huoni thamani yake kwaiyo ukijitenga nae mwenyewe akili zitamrudia
Hatua ya kwanza ni kumstua kelebu tu kimtindo! Asipostuka kiakili jua huyo ameshakuwa beyond repair!
Wenye kengeuko huwa wanajirudigi
 
Millard ayo choko tu sikuhizi nae naona anapost vitu vya hovyo mno! We bongo hii mwanamke uwe nae mmoja sindio utakuwa kila siku unjaza thread za vilio humu.

Mwanamke ambaye ana appreciate mapenzi ni mwanamke wa kizungu tu nyie waganga njaa lazma tupangane kama foleni ya madumu bombani!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]asee,tumewakosea nini??

Hivi mnaelewa kwamba wanawake tunawavumilia sana nyie??
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]asee,tumewakosea nini??

Hivi mnaelewa kwamba wanawake tunawavumilia sana nyie??
Muendelee kutuvumilia tu maana haina jinsi! Mtanisamehe ila uaminifu kwa wanawake wa kibongo ni 2%

Hivi mie nikae kabisa na demu wa kibongo eti nakazana kumkea sijui napoteza pesa we kuonesha kumjali. Mwanamke ambaye nikipangwa kikazi mkoa tofauti ndani ya mwezi mmoja tu lazima awe kashagongwa na wahuni!
 
@Extrovert sijui nani alimpiga na kitu kizito, ako na hasira na sisi balaa[emoji1787][emoji1787]
Hahahahah when i was on my early 20”s i used to love for real mpaka hapo mids nikawa nimejifunza how to be a man to African ladies😅!
Sahii mie ni mkufunzi!

Mwanamke wa kibongo ambaye hana njaa ya pesa naweza walau nikam trust ila sio Goldiggers ambao wana make 98% ya wanawake wa mjini hapa!
 
Muendelee kutuvumilia tu maana haina jinsi! Mtanisamehe ila uaminifu kwa wanawake wa kibongo ni 2%

Hivi mie nikae kabisa na demu wa kibongo eti nakazana kumkea sijui napoteza pesa we kuonesha kumjali. Mwanamke ambaye nikipangwa kikazi mkoa tofauti ndani ya mwezi mmoja tu lazima awe kashagongwa na wahuni!
Hayo ni mawazo yako tu,yaani ni tabia ya mtu

Si umeona kama kaka mtoa mada,kasema hajawahi mcheat mkewe,,,,na kwasisi wanawake tunakauli yetu pia kuwa hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja.
 
Tunawapenda ninyi ila hatuwezi kuwala, kwahiyo sisi sio tatizo tatizo ni nature[emoji12]
Hahahah kwani tatizo ni hela ya kula jamani? Unahisi mtoa mada hapeleki hela ya kula familia?
 
Back
Top Bottom