Nafikiria kufanya maamuzi haya magumu japo naumia sana

Nafikiria kufanya maamuzi haya magumu japo naumia sana

Wanawake wanashindwa kutuelewa sisi Wanaume...

WANAUME hatuihitaji mapenzi kwao ,bali tunahitaji HESHIMA na UTII. Watuheshimu na tukiwaambia watusikilize na kututii.

Mwanamke akishindwa kukuheshimisha basi jua kuwa SIO mwanamke anaekufaa
Kweli kabisa
 
Mkuu ,biashara ulitia pesa lakini bado mke ukimuacha hana uwezo wa kupanga chumba, anyway hakikisha huitesi nafsi yako kwa lolote lile wape taarifa nduguzo wawe ndio wa kupelekea huduma wao kipindi wewe unapambana huko uliko na upatapo mda uwe unarudi kukijulia hali kiumbe chako.Usiondoke kwa kutoa maneno makali ya kujimaliza sana hujui kesho kitakuja kitu gani kumbuka ni mapenzi haya mzee
Huu ni ushauri wa kipekee.
 
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu7uuuuuu7uuuuuuuuuuuuuuuuu7uuuuuuuuu7u7uuuuuuuu Kabila gani?
Ulimtoa wapi?
Mnaishi mtaa gani?
Rafiki yake mkubwa ndiye aliyeharibu ndoa yenu.
Trust me
 
Wakuu kiufupi nina mke na mtoto mmoja wa miezi 9 sasa. Tumekuwa tunaishi kwa kutegemeana kama mke na mme kwenye mambo mbalimbali. Nilibahatika vibaya kupoteza kazi baada ya kuwa mkataba wangu umeisha mwishoni kwa mwaka jana.

Tangu hapo mke wangu anaonyesha dharau waziwazi. Kiufupi ni dharau ambazo kiukweli chanzo chake ni kupungukiwa kipato japo nafanya bidii za biashara used naingiza pesa kiasi japo sio kama nilivokuwa napata salary. Mke wangu anabiashara yake nimemkuta nayo japo niliingiza pesa kama

Ahsanteni.
Pole mkuu...japo nauona utoto kwako...unajiita handsome..hata kama.

Ushauri wangu ni mdogo tu.
1. Lipa kodi ndipo uondoke, ukiwatoroka hutofanikiwa kamwe uendapo.
2. Usiondoke kwa kashfa na kejeli.
Mwite mkeo na mwanao na uwaambie;
-mke wangu ninakupenda sana sana japo
ninasikitika kuwa hali yangu ngumu imeondoa furaha yetu.
-kwa hali hii inanibidi nikajaribu maisha kwingine, naomba umlee mtoto kwa upendo wote, nikifanikiwa huko nitawakumbuka mke wangu.

Mkuu hata kama umekusudia kumwacha kwa siri lakini kwa maneno haya atakuwa anakutakia heri na ufanikiwe skijua ukifanikiwa amefanikiwa...usiondoke mke akilia hutofanikiwa uendako.
Usitumie maneno makali kwa mwanamke...bora unyamaze.
Hawa viumbe wakilia wananyonya baraka zetu
 
Story ya upande mmoja, ukute wewe ndio jipu sasa unatafuta justification ya kukimbia majukumu yako. Ndio zenu, halafu baadae mtasema watoto wamelishwa sumu na mama zao.
 
Pole mkuu...japo nauona utoto kwako...unajiita handsome..hata kama.

Ushauri wangu ni mdogo tu.
1. Lipa kodi ndipo uondoke, ukiwatoroka hutofanikiwa kamwe uendapo.
2. Usiondoke kwa kashfa na kejeli.
Mwite mkeo na mwanao na uwaambie;
-mke wangu ninakupenda sana sana japo
ninasikitika kuwa hali yangu ngumu imeondoa furaha yetu.
-kwa hali hii inanibidi nikajaribu maisha kwingine, naomba umlee mtoto kwa upendo wote, nikifanikiwa huko nitawakumbuka mke wangu.

Mkuu hata kama umekusudia kumwacha kwa siri lakini kwa maneno haya atakuwa anakutakia heri na ufanikiwe skijua ukifanikiwa amefanikiwa...usiondoke mke akilia hutofanikiwa uendako.
Usitumie maneno makali kwa mwanamke...bora unyamaze.
Hawa viumbe wakilia wananyonya baraka zetu
Poa mkuu
 
Wakuu kiufupi nina mke na mtoto mmoja wa miezi 9 sasa. Tumekuwa tunaishi kwa kutegemeana kama mke na mme kwenye mambo mbalimbali. Nilibahatika vibaya kupoteza kazi baada ya kuwa mkataba wangu umeisha mwishoni kwa mwaka jana.

Tangu hapo mke wangu anaonyesha dharau waziwazi. Kiufupi ni dharau ambazo kiukweli chanzo chake ni kupungukiwa kipato japo nafanya bidii za

Una bahati una mtoto mmoja, we nenda tu
 
Pole mkuu. Naamini mwanamke anayekupenda kwa dhati hawezi kukufanyia vitimbi. Mungu ametupa akili za kung'amua mambo. Hana mapenzi ya dhati na wewe huyo. Wakati wa uchumba nadhani ukuweza kumjua rangi yake halisi.
 
Hendisamu hivi ni mimi sielewi ama "nikiachana nae huyu siowi tena"
kwani ulimuoa huyo mbona umesema ni wachumba tu mnaejulikana pande zote [emoji849][emoji849]
Ndiyo tunajulikana mkuu nimeandika kwenye uzi na kisheria serikalini tayari ni mke sema ndo hivo.
 
Pombe ulisha acha? Ukute mwenzio anajumlisha hasira za wewe kunywa pombe +kukosa kazi, au unachopata saivi kinaishia kwenye pombe.
Siogopi kuandika ukweli mkuu so jilicho andika ndo kipo kwa sasa.
 
Back
Top Bottom