Nafikiria kufanya maamuzi haya magumu japo naumia sana

Nafikiria kufanya maamuzi haya magumu japo naumia sana

Hahahah ulipoingizia pesa umeharibu! Penda mtu asiye nacho ili tuone kweli upo serious sio unataka mwenye nazo tu halafu ndio ujitie umependa yeye kama yeye.

Kila demu anapenda bwana mwenye pesa sasa wasio na hela munawaachia akina nani?[emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi wenye pesa hawana haki ya kupendwa eeh? Hebu leo mtuambie kabisa ili tujue.
 
Atulie where, which, how[emoji2369][emoji2369][emoji2369]
Wewe kula raha zako taratiiiibu, ukirudi nyumbani unajiimbia tu gospel na kusaidia watoto home work. Wana kamsemo kao kuwa wanatulia wakizeeka, hivyo usijihangaishe hataaa.
Hàaa haa haa kuna mtu ananiangalia ninavyocheka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi wenye pesa hawana haki ya kupendwa eeh? Hebu leo mtuambie kabisa ili tujue.
Wenye pesa mnapenda huduma zao hamuwapendi wao tafiti zimeonesha katika mademu 10 wanaopenda wanaume wenye pesa basi 9 kati yao wanapenda huduma wanazopata toka kwa wanaume hao ikiwemo zawadi na hongo ila kimsingi mapenzi kwao ni 0%
 
Hahahahaha kwahio wa kulaumiwa ni Faridi ambaye kanunua iphone 13 pro max ili akina Feysal wachati na Mawardat bila kikwazo? Hii dhambi itawatafuna mpaka kiyama ndio maana nimekataa kuwa ng’ombe kwenye mahusiano![emoji23][emoji23][emoji23]
Hujafika utakuwa bata kabisa[emoji3]
 
Wenye pesa mnapenda huduma zao hamuwapendi wao tafiti zimeonesha katika mademu 10 wanaopenda wanaume wenye pesa basi 9 kati yao wanapenda huduma wanazopata toka kwa wanaume hao ikiwemo zawadi na hongo ila kimsingi mapenzi kwao ni 0%
Acha kutuchafua basi!! Tunawapenda kwa dhati kabisa imetokea tu kuwa wana pesa na huduma bora. Hivyo muondoe hii mindset mbovu.
 
Back
Top Bottom