Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahah ulipoingizia pesa umeharibu! Penda mtu asiye nacho ili tuone kweli upo serious sio unataka mwenye nazo tu halafu ndio ujitie umependa yeye kama yeye.
Kila demu anapenda bwana mwenye pesa sasa wasio na hela munawaachia akina nani?[emoji28]
Inakera aisee yani unaeza kula shoka ya utosi ukachati kuzimu na maboya wako haoMoyo unaumaje hapo[emoji16]
Hàaa haa haa kuna mtu ananiangalia ninavyocheka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Atulie where, which, how[emoji2369][emoji2369][emoji2369]
Wewe kula raha zako taratiiiibu, ukirudi nyumbani unajiimbia tu gospel na kusaidia watoto home work. Wana kamsemo kao kuwa wanatulia wakizeeka, hivyo usijihangaishe hataaa.
Marufuku kukesha peke yako[emoji1787][emoji1787]Nyumbani na waume zetu, kama ni mkesha tukeshe wote Mme na mke
Huyo mwamba mkulu....hana lolote nae[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah haya matusi uwiii
Udhaifu tena wa aibuSi ndio hapo yaani!! Mambo ya ajabu kabisa haya.
Oooh!! Tupe connection basi maana nyie wabongo ni korona toleo jipya.Eeh maza alikuwa mgiriki mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23]Wala sio kuwa vizuri. Nikuelezan ukweli mchungu tuu. Mwanamke hapendi yeye anangalia wapi pana maisha. Na kwa mwanaume kula mbususu moja ni kujitakiwa depression tuu.
Wenye pesa mnapenda huduma zao hamuwapendi wao tafiti zimeonesha katika mademu 10 wanaopenda wanaume wenye pesa basi 9 kati yao wanapenda huduma wanazopata toka kwa wanaume hao ikiwemo zawadi na hongo ila kimsingi mapenzi kwao ni 0%[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi wenye pesa hawana haki ya kupendwa eeh? Hebu leo mtuambie kabisa ili tujue.
Hujafika utakuwa bata kabisa[emoji3]Hahahahaha kwahio wa kulaumiwa ni Faridi ambaye kanunua iphone 13 pro max ili akina Feysal wachati na Mawardat bila kikwazo? Hii dhambi itawatafuna mpaka kiyama ndio maana nimekataa kuwa ng’ombe kwenye mahusiano![emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]toleo jipya[emoji23]Oooh!! Tupe connection basi maana nyie wabongo ni korona toleo jipya.
Haa [emoji3] malezi mabovu unajua hata mie huwa nashangaa nikimpata wahivyo namburuta kweli mpaka amkumbuke mama yakeNdio kukoswa akili huko.
Acha kutuchafua basi!! Tunawapenda kwa dhati kabisa imetokea tu kuwa wana pesa na huduma bora. Hivyo muondoe hii mindset mbovu.Wenye pesa mnapenda huduma zao hamuwapendi wao tafiti zimeonesha katika mademu 10 wanaopenda wanaume wenye pesa basi 9 kati yao wanapenda huduma wanazopata toka kwa wanaume hao ikiwemo zawadi na hongo ila kimsingi mapenzi kwao ni 0%
Nirudi kwetu na mbavu mbili[emoji23]Njoo unipeleke puta mamiloh! Hebu uje unioneshe mfano kwa week tu aseeh
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Haa [emoji3] malezi mabovu unajua hata mie huwa nashangaa nikimpata wahivyo namburuta kweli mpaka amkumbuke mama yake
WaziiWala sio kuwa vizuri. Nikuelezan ukweli mchungu tuu. Mwanamke hapendi yeye anangalia wapi pana maisha. Na kwa mwanaume kula mbususu moja ni kujitakiwa depression tuu.