Nafikiria kufungua kesi ya Madai dhidi ya Lissu na Wenzie

Utakapo fungua kesi kumbuka Rais Magufuli tayari ni marehemu na kwa maelezo ya Samia alipotangaza leo nikuwa ameugua kwa sikukadhaa
 
Fungua tu, maana wachochezi, na waongo
 
Pole sana. Angalau ungetumia muda wako kwa maombi labda tusinge fika hapa.
 
Endelea kufikiria wakati watu wameshaanza mipango ya mazishi.
Parapanda ishalia
 
Pole sana. Angalau ungetumia muda wako kwa maombi labda tusinge fika hapa.
Hao ni moja ya waliomsababishia mauti baba yao kwa kutumia mgongo wake kunyanyasa na kutesa watu.
Vilio siyo siri ni vingi vilivyotokana na wapambe wake. Wameleeta laana sana hawa.


Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Sawa Mkuu fungua ,weka account namba tuchnge michango ya kumchangia wakili wako.
 
nenda kawashitaki Mataga kwa kuchelewa kutangaza msiba
 
Uke utuambie wewe unayeamini matamko wa waongo wa CCM kati ya Lissu na Majaliwa nani anatakiwa kushtakiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…