Acha kukariri. Naijua hii nchi, najua siasa za hii nchi. Nilichoandika ni namna ya uwasilishaji. Hivi mbona unaakili ngumu kuelewa! Namna ya uandishi? Duuh! kweli binadamu tunatofautiana.
Pole na shule yako uliyokukaririsha. Hapa nilikuwa siongelei kama udhaniaavyo. Kwa ufupi nembo inamaana nyingi. Nembo yaweza kuwa kitu kinachowakilisha jambo, jamii, au kitu fulani.
Nembo yaweza kuwa utashi, alama, picha, au mtu anae wakilisha kundi au jamii fulani. Nembo ni jambo utalo liona na utapata utambulisho wa jamii au kitu fulani.
Kivyovyote Picha ya rais itaonesha utaifa wa nchi fulani. Acha kukariri sijataja Nembo za Taifa hapa. Nimeongelea Rais ni nembo nikiwa na maana ya Rais analitambulisha Taifa. Ukiongelea rais Magufuli umeiongelea Tanzania, watu wataelekeza macho yao Tanzania. jiulize nchi yoteyote ile ni kwanini picha ya Rais uwekwa kwenye Ofisi za Serikali na hata akitembelea nchi picha ya Rais uwekwa kila mahala.
We endelea na kukariri kwako. Nawasiwasi ya uelewa wako na elimu yako. Pole sana.