Nafikiria kufungua kesi ya Madai dhidi ya Lissu na Wenzie

Nafikiria kufungua kesi ya Madai dhidi ya Lissu na Wenzie

Wewe ulishakufa ubongo kitambo,haya tuambie yuko wapi na afya yake iko katika hali gani ili na wengine tupone kisaik
Watu wengine, unaongea kingine anakurupuka na mengine! Hivi umeisoma mada ukaielewa? Kama ubongo kufa ni wako, kuwa na ufahamu wa kuchanganua kisemwacho si kukurupuka. Na mtu msitaarabu atangulizi matusi. Ukiona mtu atangulizae tusi badala ya kuongea hoja anamapungufu katika akili zake. Pole!
 
Baada ya kusoma taarifa alizozitoa Lissu katika vyombo mbalimbali vya habari vya kimataifa kuhusu afya ya Rais na hatimae kueneza taarifa kuwa Rais karejea kwa muumba, ilinisababishia mshituko mkubwa na kuleta tatizo kiafya:

Kwanza nilipata mshituko wa moyo ikizingatiwa Rais ni kiongozi wa nchi. Ni nembo ya Taifa. Hivyo naipenda nchi yangu. Na mnampenda Rais wangu.

Pili, Kutokana na uwasilishaji wa hiyo taarifa ya Lissu na wenzake katika Twitter. Walitumia maneno ya kashifa kwa kiongozi wa nchi. Hii ilileta usumbufu kwangu kwa baadhi ya watu huku niliko kutumia maneno ya Lissu na wenzie kumsema vibaya Rais. Hii ilishusha hadhi ya nchi yangu na kusababisha dharau na kejeli.

Lissu alisababisha jamii za watu tofauti kumwamini hivyo kujenga sura hasi kwangu kama Mtanzania. Niliathirika kisaikolojia.
Hivyo Lissu na wenzake wanawajibika katika kunisababishia maumivu ya moyo na kisaikolojia.

Nipo tayari kuwasilisha ushahidi wa daktari. Na wataalamu wa saikolojia.

Pia na jiandaa kuishitaki Serikali kwanini haijachukua hatua dhidi ya Lissu na wenzake waliosababisha habari hizi za uongo kuenea wakati wakijua Rais ni nembo ya Taifa. Kuumwa ni swala la kawaida. Lakini kwanini waeneze uongo na hata habari za kifo.

Je, walikusudia kuleta sintofamu katika nchi? Eti Polisi wanaenda kumkamata fundi wa simu. Nadhani wanatania. Ingieni huko Twitter muone kama ni huyo fundi kaeneza hz taarifa pekee. Source anaachwa.

Hivyo nitashitaki Jeshi la polisi kwa uzembe wakutochukua hatua na kuacha taarifa kusambaa wao wametulia tu na kuzua taharuki kwa jamii.
Rais ni kiongozi na wala hawezi kuwa nembo ya taifa,pia ni mwanadamu kama wanadamu wengine anaweza kuugua,kufa au kuwa mlemavu kama wanadamu wengine kuwa makini na akili yako.
 
Watu wengine, unaongea kingine anakurupuka na mengine! Hivi umeisoma mada ukaielewa? Kama ubongo kufa ni wako, kuwa na ufahamu wa kuchanganua kisemwacho si kukurupuka. Na mtu msitaarabu atangulizi matusi. Ukiona mtu atangulizae tusi badala ya kuongea hoja anamapungufu katika akili zake. Pole!
kama hujafa ubongo linganisha ulichopost na michango ya watu humu
 
Rais ni kiongozi na wala hawezi kuwa nembo ya taifa,pia ni mwanadamu kama wanadamu wengine anaweza kuugua,kufa au kuwa mlemavu kama wanadamu wengine kuwa makini na akili yako.
Nadhani hujui maana ya nembo, na unatakiwa ujifunze kiswahili fasaha chenye misemo, nahau, mithali na hata taswira za fasihi. Mwenye kuwa makini na akili ni wewe usie tambua misemo ktk Lugha.
 
kama hujafa ubongo linganisha ulichopost na michango ya watu humu
Angalia like, usidhani waungwana uongea na kuropo kama wewe. Nawafahamu team TL, mpo kutukana na kuropoka. Mimi sitishwi na matusi wala maneno ya waropokaji. I stand in what I believe and trust. Matusi lugha za hovyo ni kwenu msio waungwana. Kutukana kwenu hakunitishi wala sibabaiki. Tukaneni then nambieni mmepata faida gani.
 
Back
Top Bottom