Nafikiria kufungua kesi ya Madai dhidi ya Lissu na Wenzie

Nafikiria kufungua kesi ya Madai dhidi ya Lissu na Wenzie

Taarifa ya vifo vya Mbowe na Mrema vilivyotolewa na Cyprian Musiba haikukuumiza?
 
Ajira imekua ngumu sana ki ukweli kwa usumbufu wa mahakama nenda rudi siwezi fanya ujinga huu
 
Lisu ana drama sana,

Kaja hapa katupiga mikwara wee alipoona kaangukia pua ,

Akadai wanataka kumteka , katoroka kaibukia zake Belgium.

Halafu unaendelea kumsikiliza mtu kama huyu.
 
Sasa kama unaonyesha ujuha unataka nikwambie wewe ni GENIUS!? 😳😳😳
Hapo ulipo unadhani wengine wanakuonaje! Nyani haoni kundule! Mwana mwema ukua kwa malezi alolelewa na wazazi wema, ila mwana muovu na mwenye mdomo ulojawa matusi, uaibisha wazaziwe.
 
waooh[emoji4][emoji4] mkuu but kesi zina procedure ndeefu, je umejipanga vizuri kumfungulia kesi huyo nguli wa Ubelgiji??[emoji1][emoji1]
 
Hahahahaha hebu nionyeshe KUKURUPUKA kwangu na kuingia humu kuandika upumbavu kama huo wa kwako. Usikimbie ukweli mimi wazazi wangu role models wangu na kitu ambacho nimebarikiwa toka kwao ni siku zote kuusimamia ukweli kama unafurahisha au unaudhi. Ulichoandika hapa ni upumbavu MTUPU. Uwe una tafakari kwa kina badala ya KUKURUPUKA.
Hapo ulipo unadhani wengine wanakuonaje! Nyani haoni kundule! Mwana mwema ukua kwa malezi alolelewa na wazazi wema, ila mwana muovu na mwenye mdomo ulojawa matusi, uaibisha wazaziwe.
 
Back
Top Bottom