Kama kweli wazazi walikufundisha uwezi ukatumia matusi katika hoja. Unachotakiwa ni kujibu hoja. Mbona wengi humu wamepinga kwa hoja au kutoa ushauri. Msomi kama weye uwezi tumia lugha chafu kuwasirisha hoja. Hii inanipa mashaka kidogo na malezi. Ebu nambie upumbavu wa hoja ya kushitaki upo wapi?
Namjua vizuri Tundu Lisu, kwa hoja kama hii anajibu kisheria hawezi tukana. Mtu anae kimbilia lugha za matusi ugomvi wataalamu wanasema anaufupi wa kufikiri. Hivyo anachoona kitamwokoa ni matusi.
Karibu utukane. Tukana sana! Lakini uwezi zuia nia na kusudi langu. Wala kunikatisha tamaa. Ubarikiwe!