Nafikiria kufungua kesi ya Madai dhidi ya Lissu na Wenzie

Pole sana.Ila Nina mashaka tatizo lako linasababishwa na njaa .
Yaani wewe unavyoishi kwa matatizo unadhani na wengine tunaishi kwa matatizo. Lissu uwa anasaidia watu wengi kesi mahakamani zikiwepo za madai toka wakati anafanya kazi na LEAT, je alikuwa na njaa? Tabu sana hii tunapokurupuka kuchangia mada bila kujua dhima ya mada husika.
 
Mi wakili, sema unataka umdai sh ngapi kwa mfano?
Baada ya kusoma taarifa alizozitoa Lissu katika vyombo mbalimbali vya habari vya kimataifa kuhusu afya ya Rais na hatimae kueneza taarifa kuwa Rais karejea kwa muumba, ilinisababishia mshituko mkubwa na kuleta tatizo kiafya:

Kwanza nilipata mshituko wa moyo ikizingatiwa Rais ni kiongozi wa nchi. Ni nembo ya Taifa. Hivyo naipenda nchi yangu. Na mnampenda Rais wangu.

Pili, Kutokana na uwasilishaji wa hiyo taarifa ya Lissu na wenzake katika Twitter. Walitumia maneno ya kashifa kwa kiongozi wa nchi. Hii ilileta usumbufu kwangu kwa baadhi ya watu huku niliko kutumia maneno ya Lissu na wenzie kumsema vibaya Rais. Hii ilishusha hadhi ya nchi yangu na kusababisha dharau na kejeli.

Lissu alisababisha jamii za watu tofauti kumwamini hivyo kujenga sura hasi kwangu kama Mtanzania. Niliathirika kisaikolojia.
Hivyo Lissu na wenzake wanawajibika katika kunisababishia maumivu ya moyo na kisaikolojia.

Nipo tayari kuwasilisha ushahidi wa daktari. Na wataalamu wa saikolojia.

Pia na jiandaa kuishitaki Serikali kwanini haijachukua hatua dhidi ya Lissu na wenzake waliosababisha habari hizi za uongo kuenea wakati wakijua Rais ni nembo ya Taifa. Kuumwa ni swala la kawaida. Lakini kwanini waeneze uongo na hata habari za kifo.

Je, walikusudia kuleta sintofamu katika nchi? Eti Polisi wanaenda kumkamata fundi wa simu. Nadhani wanatania. Ingieni huko Twitter muone kama ni huyo fundi kaeneza hz taarifa pekee. Source anaachwa.

Hivyo nitashitaki Jeshi la polisi kwa uzembe wakutochukua hatua na kuacha taarifa kusambaa wao wametulia tu na kuzua taharuki kwa jamii.
 
Yaani bado muna tamaa kuwa atafufuka?. Kweli mukiambiwa ma CCM mazezeta hawakukosea. Nenda ukashitaki huko unakokwenda. Kwa ufupi hamna mpya. Tangazeni hali halisi tuendelee na maisha hamuezi kuifunga nchi nzima kwa kuwa munatafuta njia za kuiba rasilimali ya taifa.
 
Baada ya kusoma taarifa alizozitoa Lissu katika vyombo mbalimbali vya habari vya kimataifa kuhusu afya ya Rais na hatimae kueneza taarifa kuwa Rais karejea kwa muumba, ilinisababishia mshituko mkubwa na kuleta tatizo kiafya:

Kwanza nilipata mshituko wa moyo ikizingatiwa Rais ni kiongozi wa nchi. Ni nembo ya Taifa. Hivyo naipenda nchi yangu. Na mnampenda Rais wangu.

Pili, Kutokana na uwasilishaji wa hiyo taarifa ya Lissu na wenzake katika Twitter. Walitumia maneno ya kashifa kwa kiongozi wa nchi. Hii ilileta usumbufu kwangu kwa baadhi ya watu huku niliko kutumia maneno ya Lissu na wenzie kumsema vibaya Rais. Hii ilishusha hadhi ya nchi yangu na kusababisha dharau na kejeli.

Lissu alisababisha jamii za watu tofauti kumwamini hivyo kujenga sura hasi kwangu kama Mtanzania. Niliathirika kisaikolojia.
Hivyo Lissu na wenzake wanawajibika katika kunisababishia maumivu ya moyo na kisaikolojia.

Nipo tayari kuwasilisha ushahidi wa daktari. Na wataalamu wa saikolojia.

Pia na jiandaa kuishitaki Serikali kwanini haijachukua hatua dhidi ya Lissu na wenzake waliosababisha habari hizi za uongo kuenea wakati wakijua Rais ni nembo ya Taifa. Kuumwa ni swala la kawaida. Lakini kwanini waeneze uongo na hata habari za kifo.

Je, walikusudia kuleta sintofamu katika nchi? Eti Polisi wanaenda kumkamata fundi wa simu. Nadhani wanatania. Ingieni huko Twitter muone kama ni huyo fundi kaeneza hz taarifa pekee. Source anaachwa.

Hivyo nitashitaki Jeshi la polisi kwa uzembe wakutochukua hatua na kuacha taarifa kusambaa wao wametulia tu na kuzua taharuki kwa jami

Lisu ni mtu wa hovyo na dunia inaendelea kuthibitisha kwamba ni wa hovyo kadri anavyoendelea kutoa taarifa za uongo kuhusu Taifa na viongozi wetu.Anajaribu kuchonganisha Taifa na mataifa mengine kwa chuki na ubinafsi wake.Hadhi yake imeshuka mno kwani tunajua ni muongo tu Hana jipya
 
Baada ya kusoma taarifa alizozitoa Lissu katika vyombo mbalimbali vya habari vya kimataifa kuhusu afya ya Rais na hatimae kueneza taarifa kuwa Rais karejea kwa muumba, ilinisababishia mshituko mkubwa na kuleta tatizo kiafya:

Kwanza nilipata mshituko wa moyo ikizingatiwa Rais ni kiongozi wa nchi. Ni nembo ya Taifa. Hivyo naipenda nchi yangu. Na mnampenda Rais wangu.

Pili, Kutokana na uwasilishaji wa hiyo taarifa ya Lissu na wenzake katika Twitter. Walitumia maneno ya kashifa kwa kiongozi wa nchi. Hii ilileta usumbufu kwangu kwa baadhi ya watu huku niliko kutumia maneno ya Lissu na wenzie kumsema vibaya Rais. Hii ilishusha hadhi ya nchi yangu na kusababisha dharau na kejeli.

Lissu alisababisha jamii za watu tofauti kumwamini hivyo kujenga sura hasi kwangu kama Mtanzania. Niliathirika kisaikolojia.
Hivyo Lissu na wenzake wanawajibika katika kunisababishia maumivu ya moyo na kisaikolojia.

Nipo tayari kuwasilisha ushahidi wa daktari. Na wataalamu wa saikolojia.

Pia na jiandaa kuishitaki Serikali kwanini haijachukua hatua dhidi ya Lissu na wenzake waliosababisha habari hizi za uongo kuenea wakati wakijua Rais ni nembo ya Taifa. Kuumwa ni swala la kawaida. Lakini kwanini waeneze uongo na hata habari za kifo.

Je, walikusudia kuleta sintofamu katika nchi? Eti Polisi wanaenda kumkamata fundi wa simu. Nadhani wanatania. Ingieni huko Twitter muone kama ni huyo fundi kaeneza hz taarifa pekee. Source anaachwa.

Hivyo nitashitaki Jeshi la polisi kwa uzembe wakutochukua hatua na kuacha taarifa kusambaa wao wametulia tu na kuzua taharuki kwa jamii.
Unajua concept ya burden of proof kwenye kesi za madai.....?

Kama huijui nenda ukajipange laa kama unajua basi kila la kheri...!
 
Ni kutafuta sifa za kijinga tu, we kilaza ndiye wa kumfungulia Lisu kesi?!!!!!!. Kama hauna kazi kacheze kombolela ukimaliza kaoge ulale.
 
Naona Lissu bado ni mtaji kwa wasaka vyeo...
Lissu asiyemfahamu, kama wewe, humwona ni hazina ya busara kumbe mnafiki, mmbea, ulmzandiki, na mjuaji hovyo hovyo.

Mwanasiasa mzalendo ni yule anatetea na kupambania maslahi mapana ya Taifa nyumbani kwao. Km huu uzushi angekuwapo nchini, kama jasiri kweli, angetinga Ikuru kupata taarifa iliyo sahihi. Lakini siyo yeye, kwani wako wanasiasa mfano kule Uganda
 
Mi wakili, sema unataka umdai sh ngapi kwa mfano?

Ni kutafuta sifa za kijinga tu, we kilaza ndiye wa kumfungulia Lisu kesi?!!!!!!. Kama hauna kazi kacheze kombolela ukimaliza kaoge ulale.
Ukilaza unao wewe mwenyewe kwani Lissu ni nani, asiyeweza kufunguliwa kesi. Acha kumwabudu mtu. Ok Lissu amekuwa mwanasheria kwa miaka mingi. Unajua kesi ngapi alishapoteza mahakamani? Muulize kwann alitelekeza LEAT? Usinitishe namjua Lissu zaidi yako unaemjulia kwenye mikutano ya siasa. Sina akili ya za kiushabaki. Naakili za kujitegemea.
Yaani kuna watu humu ndo unaweza jua awafikirii bali wanaushabaki. Sheria haifuati ushabiki, na sheria si siasa. Bali ni FACTS. Ondoa ushabiki jikite kwenye Principal za kisheria.
Sheria za madai, zinavigezo vyake. Wala hakuna sehemu inasema kwakua ni Lissu, Sheria itamuogopa. Napia utambue sifungui kesi kwa sifa. Who told you kesi za madai zinazingatia sifa? Hii inaonesha namna gani huna uelewa kabisa katika mambo ya sheria.
Again I say, Law is not politics where you can speak what you feel, Law does not depend on the support of people, but Law is based on principals, facts in issue, a well established procedures and rules of the court in presentation of the matter before the court of Law. You can maneuver in politics, play with the mind of the people but never ever in Law.
 
We kilaza tu umejaza mavi kichwani si ubongo. Unajipendekeza hadi unakera.
 
Baada ya kusoma taarifa alizozitoa Lissu katika vyombo mbalimbali vya habari vya kimataifa kuhusu afya ya Rais na hatimae kueneza taarifa kuwa Rais karejea kwa muumba, ilinisababishia mshituko mkubwa na kuleta tatizo kiafya:

Kwanza nilipata mshituko wa moyo ikizingatiwa Rais ni kiongozi wa nchi. Ni nembo ya Taifa. Hivyo naipenda nchi yangu. Na mnampenda Rais wangu.

Pili, Kutokana na uwasilishaji wa hiyo taarifa ya Lissu na wenzake katika Twitter. Walitumia maneno ya kashifa kwa kiongozi wa nchi. Hii ilileta usumbufu kwangu kwa baadhi ya watu huku niliko kutumia maneno ya Lissu na wenzie kumsema vibaya Rais. Hii ilishusha hadhi ya nchi yangu na kusababisha dharau na kejeli.

Lissu alisababisha jamii za watu tofauti kumwamini hivyo kujenga sura hasi kwangu kama Mtanzania. Niliathirika kisaikolojia.
Hivyo Lissu na wenzake wanawajibika katika kunisababishia maumivu ya moyo na kisaikolojia.

Nipo tayari kuwasilisha ushahidi wa daktari. Na wataalamu wa saikolojia.

Pia na jiandaa kuishitaki Serikali kwanini haijachukua hatua dhidi ya Lissu na wenzake waliosababisha habari hizi za uongo kuenea wakati wakijua Rais ni nembo ya Taifa. Kuumwa ni swala la kawaida. Lakini kwanini waeneze uongo na hata habari za kifo.

Je, walikusudia kuleta sintofamu katika nchi? Eti Polisi wanaenda kumkamata fundi wa simu. Nadhani wanatania. Ingieni huko Twitter muone kama ni huyo fundi kaeneza hz taarifa pekee. Source anaachwa.

Hivyo nitashitaki Jeshi la polisi kwa uzembe wakutochukua hatua na kuacha taarifa kusambaa wao wametulia tu na kuzua taharuki kwa jamii.
OK, hajafa kama usemavyo wewe. Sasa yuko wapi? Unao ushahidi umemuona akiwa hai?
Haya mambo wa kulaumiwa ni serikali maana hakuna haja za kuficha alipo Mkuu na pia hata kama ni mgonjwa kuieleza jamii ielewe.
JK alipokuwa kalazwa US na kufanyiwa operesheni ya tezi dume alikuwa anatutaarifu kwa kutupa salamu za maendeleo yake.
Hata aliporudi pale Airport aliitisha press na kueleza kwa kina ameumwa nini na tezi dume hasa ni nini.
Analifanya hivyo sio kama JK bali kama Rais maana anajua yeye ni "public property" hajimiliki Bali anamilikiwa na wanao mtunza yeye na family yake kwa kodi zao.
 
We kilaza tu umejaza mavi kichwani si ubongo. Unajipendekeza hadi unakera.
Umavi unao wewe katika ubongo wako, mashaka yangu ni malezi yako! Kutukana kwako walaaa hakunifanyi nitishike. Am so strong than the way you think. Uwezi nitoa kwa jambo nalo likusudia. Take time to think on your stupidity trick!
 
OK, hajafa kama usemavyo wewe. Sasa yuko wapi? Unao ushahidi umemuona akiwa hai?
Haya mambo wa kulaumiwa ni serikali maana hakuna haja za kuficha alipo Mkuu na pia hata kama ni mgonjwa kuieleza jamii ielewe.
JK alipokuwa kalazwa US na kufanyiwa operesheni ya tezi dume alikuwa anatutaarifu kwa kutupa salamu za maendeleo yake.
Hata aliporudi pale Airport aliitisha press na kueleza kwa kina ameumwa nini na tezi dume hasa ni nini.
Analifanya hivyo sio kama JK bali kama Rais maana anajua yeye ni "public property" hajimiliki Bali anamilikiwa na wanao mtunza yeye na family yake kwa kodi zao.
Ninaloongelea hapa ni swala la kisheria. Si hadithi! Unajua nashangaa watu wanaponi attack. Mimi si Serikali kujibu yu wapi? Nachosema Lissu alitamka. Waziri Mkuu nae akatamka. Naamini maelezo yapi hapo? Nani yupo karibu na Rais? Kati ya Lissu na Waziri Mkuu? Tena akatupa salamu zake.
Swala Rais yuko wapi litajulikana mahakamani. Kwanini nimesema nitaishitaki serikali, na jeshi la Polisi? Unajua watu wakiona nimeandika nitamshitaki Lissu wanakimbilia kwa ushabiki kuanza kutukana. Hawasomi nilichoandika hadi mwisho. Siwezi kuweka hapa kila kitu, Ila katika madai yangu yatajitokeza mengi, ambayo yatahitaji majibu. Na kwa kupitia hii kesi itaweza pia kusaidia kujua Rais yuko wapi?
Ila watu hawelewi wamejaa ushabiki ulio na upofu. Its a very technical issue ukisoma madai.

Ila watu kutokuwa na uelewa hawajui chochote wamekalia umuwezi lisu na kadharika. Ila kwa watu ambao ni makini na wanasheria watakuwa wamenielewa. Ndo kesi zingine uwezesha kutungwa kwa sheria mpya, au kuondolewa kwa sheria iliyopo. Kutokana na maamuzi yaliyofikiwa na jaji. Ili swala litazamwe kisheria zaidi si kiushabiki.

Mfano, katika kuishitaki serikali; Serikali inazuia utoaji wa habari usizokuwa na uhakika nazo. OK, Kwanin hili swala la Rais serikali imekaa kimya? Na kuacha habari zienee. Uoni kuwa serikali kwa namna nyingine ndo imechochea uvumi kuenea zaidi? Nini majukumu ya serikali? Kama inazuia usambazaji wa habari basi iwe makini kutoa habari ambazo jamii itaridhika nazo. Hasa kuhusiana na afya ya Rais.

Katika kuishitaki serikali nitaomba Mahakama kuiamuru serikali itangaze juu ya afya ya Rais. Ili kuondoa sintofahamu katika jamii. Na si hivyo tu bali Rais ajitokeze wazi walau atoe salamu live kama kweli yu mzima si mgonjwa. Make wamekana kusema hata kama ni mgonjwa.
Hivyo sifungui kesi kupata fedha wala umaarufu. Nafungua kesi ili tujue ukweli ni upi.
Nimekuwa muwazi kwako kutoa maelezo kwakua umeuliza kiustaarabu. Wengi hawelewi lengo la yale niliyoyaongelea. Wakisoma tu Lissu mizuka inapanda bila kujua naongelea nini? Wakati nimesema nashitaki serikali hadi polisi.
 
Unamshitaki Lissu wakati sio raia wa Tanzania?

He is in asylum processes in Belgium,
 
Duuuh! Hivi Lissu akiwa siyo Raia wa Tanzania hashitakiwi? Hivi Lissu akiwa asylum seeker wa Belgium hawezi shitakiwa? Niombe wanasheria na Chama cha sheria wajitahidi kuwa na makala ya sheria kwa kila wiki walau raia wengi wawe wanajua sheria na taratibu zake.
 
Back
Top Bottom