tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Dada leo j2 kapakuliwe pilau kwa sele bonge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha! ulikuwa kikojozi nini?Kakojoe ulale,uzime na taa
Ha ha ha! ulikuwa kikojozi nini?Kakojoe ulale,uzime na taa
Mmmh! Dada weye, umepakuliwa tayari huko kwa Sele!Dada leo j2 kapakuliwe pilau kwa sele bonge
Kwani ameajiriwa na nani? Au hujui majukumu ya mwajiri?Hamuwezi kumpangia Rais mtakavyo nyie. Yeye ni mkuu ..
Tena ukiwa na njaa halafu unanyongea bange kwenye gazeti la rangi ya kijaniHakuna kitu kibaya kama kuvuta bangi siku ya jumapili
akitoka kwani yuko wapi ??Vyovyote vile iwe kuzimu ama Duniani,lakini akitoka yeye anakuja mwingine kutoka chama kilikile na wembe ni uleule.
Muone daktari utakuwa na matatizo kelele kapiga nani. Mbwa anapojibwekea yeye mwenyewe hudhani kelele zatoka kwa jirani.Acha kelele,kafungue kesi. Unambwira mbwira
Kicha utamka bila kuelewa asemacho. Na hii ni kutoelewa nilichokikusudia. Pole kwa matatizo uliyo nayo.Mkuu na wasiwasi juu ya uelewa wako kifra,
Wenda uliwai kuugua ugonjwa wa akili
Sent using Jamii Forums mobile app
Haujamuuliza chalii kama Babu aliamka salama au laaa, wacha atuambie alipokea simu?Hali ya Mzee inaendeleaje asbh ya leo?
Watu wengine, unaongea kingine anakurupuka na mengine! Hivi umeisoma mada ukaielewa? Kama ubongo kufa ni wako, kuwa na ufahamu wa kuchanganua kisemwacho si kukurupuka. Na mtu msitaarabu atangulizi matusi. Ukiona mtu atangulizae tusi badala ya kuongea hoja anamapungufu katika akili zake. Pole!Wewe ulishakufa ubongo kitambo,haya tuambie yuko wapi na afya yake iko katika hali gani ili na wengine tupone kisaik
Rais ni kiongozi na wala hawezi kuwa nembo ya taifa,pia ni mwanadamu kama wanadamu wengine anaweza kuugua,kufa au kuwa mlemavu kama wanadamu wengine kuwa makini na akili yako.Baada ya kusoma taarifa alizozitoa Lissu katika vyombo mbalimbali vya habari vya kimataifa kuhusu afya ya Rais na hatimae kueneza taarifa kuwa Rais karejea kwa muumba, ilinisababishia mshituko mkubwa na kuleta tatizo kiafya:
Kwanza nilipata mshituko wa moyo ikizingatiwa Rais ni kiongozi wa nchi. Ni nembo ya Taifa. Hivyo naipenda nchi yangu. Na mnampenda Rais wangu.
Pili, Kutokana na uwasilishaji wa hiyo taarifa ya Lissu na wenzake katika Twitter. Walitumia maneno ya kashifa kwa kiongozi wa nchi. Hii ilileta usumbufu kwangu kwa baadhi ya watu huku niliko kutumia maneno ya Lissu na wenzie kumsema vibaya Rais. Hii ilishusha hadhi ya nchi yangu na kusababisha dharau na kejeli.
Lissu alisababisha jamii za watu tofauti kumwamini hivyo kujenga sura hasi kwangu kama Mtanzania. Niliathirika kisaikolojia.
Hivyo Lissu na wenzake wanawajibika katika kunisababishia maumivu ya moyo na kisaikolojia.
Nipo tayari kuwasilisha ushahidi wa daktari. Na wataalamu wa saikolojia.
Pia na jiandaa kuishitaki Serikali kwanini haijachukua hatua dhidi ya Lissu na wenzake waliosababisha habari hizi za uongo kuenea wakati wakijua Rais ni nembo ya Taifa. Kuumwa ni swala la kawaida. Lakini kwanini waeneze uongo na hata habari za kifo.
Je, walikusudia kuleta sintofamu katika nchi? Eti Polisi wanaenda kumkamata fundi wa simu. Nadhani wanatania. Ingieni huko Twitter muone kama ni huyo fundi kaeneza hz taarifa pekee. Source anaachwa.
Hivyo nitashitaki Jeshi la polisi kwa uzembe wakutochukua hatua na kuacha taarifa kusambaa wao wametulia tu na kuzua taharuki kwa jamii.
Nasikia kuna pilau na Biriani ya hatari.Dada leo j2 kapakuliwe pilau kwa sele bonge
kama hujafa ubongo linganisha ulichopost na michango ya watu humuWatu wengine, unaongea kingine anakurupuka na mengine! Hivi umeisoma mada ukaielewa? Kama ubongo kufa ni wako, kuwa na ufahamu wa kuchanganua kisemwacho si kukurupuka. Na mtu msitaarabu atangulizi matusi. Ukiona mtu atangulizae tusi badala ya kuongea hoja anamapungufu katika akili zake. Pole!
Nadhani hujui maana ya nembo, na unatakiwa ujifunze kiswahili fasaha chenye misemo, nahau, mithali na hata taswira za fasihi. Mwenye kuwa makini na akili ni wewe usie tambua misemo ktk Lugha.Rais ni kiongozi na wala hawezi kuwa nembo ya taifa,pia ni mwanadamu kama wanadamu wengine anaweza kuugua,kufa au kuwa mlemavu kama wanadamu wengine kuwa makini na akili yako.
Angalia like, usidhani waungwana uongea na kuropo kama wewe. Nawafahamu team TL, mpo kutukana na kuropoka. Mimi sitishwi na matusi wala maneno ya waropokaji. I stand in what I believe and trust. Matusi lugha za hovyo ni kwenu msio waungwana. Kutukana kwenu hakunitishi wala sibabaiki. Tukaneni then nambieni mmepata faida gani.kama hujafa ubongo linganisha ulichopost na michango ya watu humu