yeye mwenyewe anasemaje ?
Kufuga vikuku vinne na vimbuzi na kuanzisha mradi mpaka usomee mifugo ?
Hata kitu kidogo kinatakiwa kifanyike kwa utaalamu na kwa usahihi.yeye mwenyewe anasemaje ?
Kufuga vikuku vinne na vimbuzi na kuanzisha mradi mpaka usomee mifugo ?
Kufanya kitu hauhitaji uwe na utaalamu personally (ndio maana wataalamu wapo)Hata kitu kidogo kinatakiwa kifanyike kwa utaalamu na kwa usahihi.
Anaongeza skills tusiwe wajinga sanayeye mwenyewe anasemaje ?
Kufuga vikuku vinne na vimbuzi na kuanzisha mradi mpaka usomee mifugo ?
Mpeleke chuo Cha urembo wa Make-up. Maana ajira Ni nje njeHabarii!
Nimefikiria kufanya hivyo baada ya kuona kuwa elimu ya mambo ya fedha itolewayo na IFM ajira zake ni ngumu sana; yahitajika uwe na wigo mpana wa wakubwa ili kuweza kuajirika. Makapuku sisi tutasubiri sana. kama hiyo haitoshi, inakuwa ni vigumu kwako kujiajiri ikiwa utakosa ajira.
Chuo cha mifugo naona kama ni rahisi hata mtoto mwenyewe kujiajiri ikiwa atakosa ajira. Anaweza akatafuta vikuku au vimbuzi vyake vinne akaanzisha mradi. ushauri wenu wadau
Unajua maana ya kuongeza (kuongeza ni kuongezea ulichonacho) na hata ukiwa na PHD ya fani fulani bado utaongeza skills kutokana na wakati na mabadiliko...., kupata skills ya kitu fulani unaweza ukachukua apprenticeship, vocational training au kumuangalia jirani anafanya nini na kumuhoji pamoja na kujisomea how to information...Anaongeza skills tusiwe wajinga sana
Kwanza usipoteze muda wako kumoa mtoto elimu kwa nua ya ajira,utamharibu kabisa,kwani ajira ni big problem,pili muachie mtoto asome anacho kitakaHabarii!
Nimefikiria kufanya hivyo baada ya kuona kuwa elimu ya mambo ya fedha itolewayo na IFM ajira zake ni ngumu sana; yahitajika uwe na wigo mpana wa wakubwa ili kuweza kuajirika. Makapuku sisi tutasubiri sana. kama hiyo haitoshi, inakuwa ni vigumu kwako kujiajiri ikiwa utakosa ajira.
Chuo cha mifugo naona kama ni rahisi hata mtoto mwenyewe kujiajiri ikiwa atakosa ajira. Anaweza akatafuta vikuku au vimbuzi vyake vinne akaanzisha mradi. ushauri wenu wadau
Sure natamani kujifunza kuhusu urembo maana kila kukicha watu wanasuka .Mpeleke chuo Cha urembo wa Make-up. Maana ajira Ni nje nje
Akamuone Mr Kuku[emoji16][emoji16]