Bulamba
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 14,275
- 13,575
Alicho soma Bashite??kuna chuo cha uvuvi kule bagamoyo akajifunze kufuga samaki
Alicho soma Bashite??kuna chuo cha uvuvi kule bagamoyo akajifunze kufuga samaki
Asome anachokitaka hata akisema anapenda Archaeology?Kwanza usipoteze muda wako kumoa mtoto elimu kwa nua ya ajira,utamharibu kabisa,kwani ajira ni big problem,pili muachie mtoto asome anacho kitaka
Hizo ajira anaajiliwa wapi?Au mle kwenye saloon za mtaani halaf analipwa buku 5Mpeleke chuo Cha urembo wa Make-up. Maana ajira Ni nje nje
ha ha ha ha mkuu umenikumbusha mbali sana kuna mshkaji tulisomaga nae A level enzi hizo yeye alikua anataka chuo asome UDSM tu sasa kozi zote alikua hafikishi vigezo vya kuchaguliwa pale ikabidi achague hii archeology darasini walikua sijui sita wale da tulicheka sana enzi hizo majina yanatolewa kwenye gazeti mliochaguliwa kujiunga chuo kikuuAsome anachokitaka hata akisema anapenda Archaeology?
😂😂Mpeleke chuo Cha urembo wa Make-up. Maana ajira Ni nje nje
Nenda maznat college utapata kila utakacho..Hadi ufundi cherehaniSure natamani kujifunza kuhusu urembo maana kila kukicha watu wanasuka .
Vipi huyo mtu maisha yake yapo kwa sasa?ametoboa maisha kwa hiyo fani ya archeology?ha ha ha ha mkuu umenikumbusha mbali sana kuna mshkaji tulisomaga nae A level enzi hizo yeye alikua anataka chuo asome UDSM tu sasa kozi zote alikua hafikishi vigezo vya kuchaguliwa pale ikabidi achague hii archeology darasini walikua sijui sita wale da tulicheka sana enzi hizo majina yanatolewa kwenye gazeti mliochaguliwa kujiunga chuo kikuu
Dah maznat wana bei kweli ada 1.5 mpaka nijipange kwa kweli ...Napenda kujifunza kushona piaNenda maznat college utapata kila utakacho..Hadi ufundi cherehani
Kuna shekha manjano college na zurii pia..wote wanatoa kozi za urembo..kuanzia ngazi ya cheti mpaka diploma
Makumbusho..na Bei zake hazina tofauti Sana na maznatDah maznat wana bei kweli ada 1.5 mpaka nijipange kwa kweli ...Napenda kujifunza kushona pia
Hiyo shekha manjano ipo wapi ?
Kwani mwanaume hafai kufanya urembo?😂😂
Kama wa kiume je?
Ukitaka mwanao afanikiwe fuata ushauri huu hapaKufanya kitu hauhitaji uwe na utaalamu personally (ndio maana wataalamu wapo)
Kufanya kitu inabidi uwe na interest, kufanya kitu ni work in progress (unajifunza kila kukicha... elimu haina mwisho).., NARUDIA tena kufanya kitu inabidi uwe na Interest (Ndio maana cha maana ni muhusika anataka kufanya nini na sio mzazi wake anataka muhusika afanye nini)
Pia veta wanafundisha hiyo courseMakumbusho..na Bei zake hazina tofauti Sana na maznat
Kama unataka kujifunza makeup Kama makeup na kufumba lemba..kasome kozi za mwezi mmoja..watafute wenye saloon zile kubwakubwa maarufu..ukasome mengine baadae
Sasa si hadi apende naweweKwani mwanaume hafai kufanya urembo?
Karibu tenaPia veta wanafundisha hiyo course
Asante kwa ushauri mzuri .
Maisha Yana kupenda ndugu? Kazi hizi Ni shida zinatufanya tuzifanye. Nimefungua Banda la kitimoto huku Kerege sio kwa sababu napenda Bali dhiki.Sasa si hadi apende nawewe
Si wote wenye uthubutu wa Kufanya wasichokitarajia hata Kama maisha magumu kiasi gani...wengine wanaviamini vile vilivyomo mioyoni mwao hata iweje.Maisha Yana kupenda ndugu? Kazi hizi Ni shida zinatufanya tuzifanye. Nimefunga Banda la kitimoto huku Kerege sio kwa sababu napenda Bali dhiki