Nafikiria kurudi kijijini kabisaaa, karibu na makaburi ya ukoo

Nafikiria kurudi kijijini kabisaaa, karibu na makaburi ya ukoo

NYOLODO

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2020
Posts
12,206
Reaction score
27,987
Wakuu ! Salam haisaidii zaidi ya mikakat na ushaur wenu. Nkmekuwa naishi kama ngedere au "guruguja" yani kila zahma balaa tupu. Nimegubikwa na mikopo nadaiwa mpaka na songesha na mshahara kwa hatua niliyofikia hautoshi hata kula milo mitatu.

Mke na watoto, familia n mm mwenyew maisha ya kiofisi. Nimeamua kuiacha gari ndan kutumia daladla. Na mpaka sasa naona hali ngumu, nafikiria kupanga chumba kimoa karibu na ofisi nihamie na mke wangu tufunge nyumba yetu iliyopo Kibaha.

Naona kabisa dunia imenielemea, nikinywa maji kooni machungu! Yan mpaka sura imekosa nuru! Doh! Dunia simama nishuke
Screenshot_20260507_101029_LinkedIn.jpg
 
Hahahah ndo maana unawasumbua kulipa hao online lenders, pole sana mkuu tafuta namna ya kuomba uhamisho upelekwe kijijini au nje ya mji kama inaezekana ili uko utapata fursa za kufuga na kulima pia
Wale walijichanganya tu mkuu, sinaga desturi ya kulipa madeni bila kupelekwa polisi
 
Wakuu ! Salam haisaidii zaidi ya mikakat na ushaur wenu. Nkmekuwa naishi kama ngedere au "guruguja" yani kila zahma balaa tupu. Nimegubikwa na mikopo nadaiwa mpaka na songesha na mshahara kwa hatua niliyofikia hautoshi hata kula milo mitatu.

Mke na watoto, familia n mm mwenyew maisha ya kiofisi. Nimeamua kuiacha gari ndan kutumia daladla. Na mpaka sasa naona hali ngumu, nafikiria kupanga chumba kimoa karibu na ofisi nihamie na mke wangu tufunge nyumba yetu iliyopo Kibaha.

Naona kabisa dunia imenielemea, nikinywa maji kooni machungu! Yan mpaka sura imekosa nuru! Doh! Dunia simama nishukeView attachment 3594442
Huu ni mshahara wa Mwalimu wa Certificate na anatamba nao, ni mshahara wa constable wa Polisi na anatamba nao na ana wanawake au wanaume 60
 
Ushauri wangu
Nenda bank zote unazodaiwa waomba wapunguze kiasi Cha kukata kwenye mshahara wako ila extend muda, Yani baada ya kulipa mwaka omba miaka miwili na interest iongezeke.

Lakini pia jitahidi sana mke wako na yeye aanze kupambana kama anakata ndani hayo ndo matokeo yake.

Jitahidi kureport uhalisia kwa loans officer wako mwambie ukweli juu ya idadi kubwa ya mikopo watakupa hafueni
 
Back
Top Bottom