Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Yaani Mungu wangu mungu wanguHayo madeni.
Eloi Eloi Lama Sabakhtan..!!
Rudisha mpira kwa kipa tu.
Ee Mungu mbona waniacha!
Yaani Mungu wangu mungu wanguHayo madeni.
Eloi Eloi Lama Sabakhtan..!!
Rudisha mpira kwa kipa tu.
Kila lakheri mkuu, pambana umalize.Mimi nina kimeo cha ulipo tupo kama 9m+ linaisha nexy year April ila naona kizunguzungu
Unaunga hoja mkono🤔Naunga hoja mkono, akae na mke chini alijue hili, kama ana familia nikimaanisha watoto asihame nyumbani kwake, akomae kwa kupunguza kabisa matumizi, aishi maisha ya mtu asiye na kazi kwenye eneo la matumizi. Kama watoto wanasoma shule za gharama wahamishie kwenye shule za kawaida.
Ndio📌Unaunga hoja mkono🤔
hela nyingine hakubeti kweli ile ya muhindi kabisa na akakunyoosha?🤣Mkuu hela za madeni nyingine zimenunua gari na nyingine hisa za Crdb! Nlijua hisa kama kubeti ukiweka hela leo kesho unakula
Bas endelea kudanganya wajinga, nakupa ushaur wa mwisho tafuta Kaz ufanye usitegemee ugal unakula bure uku dadaako akikunjwa kama kambaleIli nikufurahishe wewe? Au kwa faida ya nan
Unakopa Hela unanunua hisa? Are you serious?Mkuu hela za madeni nyingine zimenunua gari na nyingine hisa za Crdb! Nlijua hisa kama kubeti ukiweka hela leo kesho unakula
Lakini ni kwa waamini huyo Mungu.Yaani Mungu wangu mungu wangu
Ee Mungu mbona waniacha!
Achana na matambiko ya mizimu, mwamini Yesu Kristo uone uzuri wakeKwa hali hii ipo siku utauza jicho. Tukiwaambia tambikieni mizimu ya mababu mnasema Yesu Yesu Yesu mwambie basi huyo Yesu akusaidie
Bora hata we mwanaume mwenye Makebo makubwa na hips umeona uzuzu na uongo wa huyu taahiraUnakopa Hela unanunua hisa? Are you serious?
Okay wacha niendelee kupanua ufahamu!Ndio📌