Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
gentleman,Wakuu ! Salam haisaidii zaidi ya mikakat na ushaur wenu. Nkmekuwa naishi kama ngedere au "guruguja" yani kila zahma balaa tupu. Nimegubikwa na mikopo nadaiwa mpaka na songesha na mshahara kwa hatua niliyofikia hautoshi hata kula milo mitatu.
Mke na watoto, familia n mm mwenyew maisha ya kiofisi. Nimeamua kuiacha gari ndan kutumia daladla. Na mpaka sasa naona hali ngumu, nafikiria kupanga chumba kimoa karibu na ofisi nihamie na mke wangu tufunge nyumba yetu iliyopo Kibaha.
Naona kabisa dunia imenielemea, nikinywa maji kooni machungu! Yan mpaka sura imekosa nuru! Doh! Dunia simama nishukeView attachment 3594442
natumai ulikopa na kufanya mambo ya msingi sana right?
hata hivyo,
changamoto unazopitia hivi sasa unaweza kuzigeuza na kua fursa muhimu sana ya kujipanga upya, kujisahihisha, kujirekebisha na kubadili kabisa mtindo wako wa maisha pamoja na familia yako.
Kupanga ni kuchagua gentleman,
relax and re-think kama hilo gari linafaa kukaa ndani huku wewe unateseka nje.
hebu weka sokoni hilo gari,
clear madeni yote, kisha anza upya kutafuta gari lingine bila stress 🐒