Nafikiria kurudi kijijini kabisaaa, karibu na makaburi ya ukoo

Nafikiria kurudi kijijini kabisaaa, karibu na makaburi ya ukoo

Wakuu ! Salam haisaidii zaidi ya mikakat na ushaur wenu. Nkmekuwa naishi kama ngedere au "guruguja" yani kila zahma balaa tupu. Nimegubikwa na mikopo nadaiwa mpaka na songesha na mshahara kwa hatua niliyofikia hautoshi hata kula milo mitatu.

Mke na watoto, familia n mm mwenyew maisha ya kiofisi. Nimeamua kuiacha gari ndan kutumia daladla. Na mpaka sasa naona hali ngumu, nafikiria kupanga chumba kimoa karibu na ofisi nihamie na mke wangu tufunge nyumba yetu iliyopo Kibaha.

Naona kabisa dunia imenielemea, nikinywa maji kooni machungu! Yan mpaka sura imekosa nuru! Doh! Dunia simama nishukeView attachment 3594442
AI
 
gentleman,
natumai ulikopa na kufanya mambo ya msingi sana right?

hata hivyo,
changamoto unazopitia hivi sasa unaweza kuzigeuza na kua fursa muhimu sana ya kujipanga upya, kujisahihisha, kujirekebisha na kubadili kabisa mtindo wako wa maisha pamoja na familia yako.

Kupanga ni kuchagua gentleman,
relax and re-think kama hilo gari linafaa kukaa ndani huku wewe unateseka nje.

hebu weka sokoni hilo gari,
clear madeni yote, kisha anza upya kutafuta gari lingine bila stress 🐒
Aje pm, mimi ninataka gari gentleman
 
Ushauri wangu
Nenda bank zote unazodaiwa waomba wapunguze kiasi Cha kukata kwenye mshahara wako ila extend muda, Yani baada ya kulipa mwaka omba miaka miwili na interest iongezeke.

Lakini pia jitahidi sana mke wako na yeye aanze kupambana kama anakata ndani hayo ndo matokeo yake.

Jitahidi kureport uhalisia kwa loans officer wako mwambie ukweli juu ya idadi kubwa ya mikopo watakupa hafueni
Hiyo Payslip ni ya Mchongo wala tusipotezee muda kuijadiri huwezi kupata mikopo Yote hiyo kwa account moja na dhamana hiyo hiyo
 
Ila bado Uzi wake Una umuhimu

Kuna wengine wanapitia suala hili na kupitia ushauri wa wachangiaji kimya kimya
Hawq jamaa utoto mwingi humu wanatuharibia muonekano wa jarida hili. Jf inapotez mvuto kila siku
 
Back
Top Bottom