Wale walijichanganya tu mkuu, sinaga desturi ya kulipa madeni bila kupelekwa polisiHahahah ndo maana unawasumbua kulipa hao online lenders, pole sana mkuu tafuta namna ya kuomba uhamisho upelekwe kijijini au nje ya mji kama inaezekana ili uko utapata fursa za kufuga na kulima pia
Jikaze sasa huku ukikumbukia faraja uliyoipata kwakeMqma amina nae kala
Usikimbie matatizo pambana mpaka kieleweke!Pole haitoshi mkuu! Sema neno
Kmmk 🙌😄Wale walijichanganya tu mkuu, sinaga desturi ya kulipa madeni bila kupelekwa polisi
Hata mimi limenishangaza sanaMkuu mbona una madeni mengi shida nini
Huu ni mshahara wa Mwalimu wa Certificate na anatamba nao, ni mshahara wa constable wa Polisi na anatamba nao na ana wanawake au wanaume 60Wakuu ! Salam haisaidii zaidi ya mikakat na ushaur wenu. Nkmekuwa naishi kama ngedere au "guruguja" yani kila zahma balaa tupu. Nimegubikwa na mikopo nadaiwa mpaka na songesha na mshahara kwa hatua niliyofikia hautoshi hata kula milo mitatu.
Mke na watoto, familia n mm mwenyew maisha ya kiofisi. Nimeamua kuiacha gari ndan kutumia daladla. Na mpaka sasa naona hali ngumu, nafikiria kupanga chumba kimoa karibu na ofisi nihamie na mke wangu tufunge nyumba yetu iliyopo Kibaha.
Naona kabisa dunia imenielemea, nikinywa maji kooni machungu! Yan mpaka sura imekosa nuru! Doh! Dunia simama nishukeView attachment 3594442
Mana haya madeni labda kwa wafanya biashara ila sio muajiliwa mana returns zake ni kubwa sana kwakweliHata mimi limenishangaza sana
Nlikuwa nafata ushaur wa motiveshn spika, na arguments za rich = risk mkuu sijajua kama leo naweza kusimmia puaHapo pangisha nyumba ya kibaha then pesa yake panga karibu na ofisi kucut cost . Sema nini mwamba unaroho ya uthubutu . Ungechengesha kidogo tu hiyo akili unafika mbali