Nafikiria kurudi kijijini kabisaaa, karibu na makaburi ya ukoo

gentleman,
natumai ulikopa na kufanya mambo ya msingi sana right?

hata hivyo,
changamoto unazopitia hivi sasa unaweza kuzigeuza na kua fursa muhimu sana ya kujipanga upya, kujisahihisha, kujirekebisha na kubadili kabisa mtindo wako wa maisha pamoja na familia yako.

Kupanga ni kuchagua gentleman,
relax and re-think kama hilo gari linafaa kukaa ndani huku wewe unateseka nje.

hebu weka sokoni hilo gari,
clear madeni yote, kisha anza upya kutafuta gari lingine bila stress 🐒
 
Huu ni mshahara wa Mwalimu wa Certificate na anatamba nao, ni mshahara wa constable wa Polisi na anatamba nao na ana wanawake au wanaume 60
Hao wote sio level zako mkuu! Mwalim anauza vikombe vya uji 200 kimoja na wateja wanafunzi wake. Anawauzia kwa lazima na viboko juu wasiponunua

Hao polisi mkuu na njaa hili wanakula hdi chura vituoni. Tuishie hapo mkuu nalengwa lengwa na machozi huku
 
Naunga hoja mkono, akae na mke chini alijue hili, kama ana familia nikimaanisha watoto asihame nyumbani kwake, akomae kwa kupunguza kabisa matumizi, aishi maisha ya mtu asiye na kazi kwenye eneo la matumizi. Kama watoto wanasoma shule za gharama wahamishie kwenye shule za kawaida.
 
Mkuu hela za madeni nyingine zimenunua gari na nyingine hisa za Crdb! Nlijua hisa kama kubeti ukiweka hela leo kesho unakula
 
Pamoja gani? We uko wapi mda huu mm nije uniagizie hata konyagi mkuu mana nina mawazo sana. Mm mkuu wa kushindia mapera ofisin?
Bwana unajua nasikitika huku nacheka! Konyagi na hali yako hii sio sahihi! Bora mngelima zenu mahidni huko ya msosi kuliko kula mapera na kusikitika tu🥲
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…