Nafikiria kurudi kijijini kabisaaa, karibu na makaburi ya ukoo

Unaunga hoja mkono🤔
 
Mkuu hela za madeni nyingine zimenunua gari na nyingine hisa za Crdb! Nlijua hisa kama kubeti ukiweka hela leo kesho unakula
hela nyingine hakubeti kweli ile ya muhindi kabisa na akakunyoosha?🤣

still nadhani hilo gari haistahili kukaa ndani, hata kama ulikopa nadhani unaweza kuliuza na kulipa deni linalokupa stress zaidi, ikiwa gari hilo haliwezi kutumika kuingiza pesa hata kidogo tu kwa kulifanya uber n.k

Kijini unaweza kwenda kufanya maandalizi tu ya shughuli za kiuchumi kama vile kilimo biashara n.k.🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…