Nafikiria kurudi kijijini kabisaaa, karibu na makaburi ya ukoo

Ukienda kwenye microfinance Bado unakopesheka usiogope madeni ata nchi zinakopa.
Angalia bank yenye deni dogo nenda kaombe kufanya topup rejesho lisipande ili upate hela ya kufungua kiduka Cha mangi umfungulie shem wewe bank na hiyo takehome yako
 
Hao bank oficers nao ni sehem ya tatizo. Watakua walihusika kupika nyaraka. Wewe mtu anaacha mshahara wote kwenye mikopo utaratibu wa wapi huo?

Na wakiangalia CBR si wanaona mikopo yote aliyonayo? Kwanini walipitisha maombi mapya?

Makato hayatakiwi kuzidi nusu ya mshahara, kwa benki nyingi.
 
Naweza kupata maelezo sahihi juu ya top up kama ulivyoitaja kuwq njia nzurya kutatua chabgamoto hii
Ukienda kwenye microfinance Bado unakopesheka usiogope madeni ata nchi zinakopa.
Angalia bank yenye deni dogo nenda kaombe kufanya topup rejesho lisipande ili upate hela ya kufungua kiduka Cha mangi umfungulie shem wewe bank na hiyo takehome yako
 
Mkuu unaenda kununua tatizo lingine kwa likija kwa sura mpya na maumivu makali zaidi
Kinachotakiwa hapo ni pesa mkuu,unafikiri kwa msaada wa bank ana option gani nyingine.
Bora afanye topup achukue pesa afingue biashara,
Biashara Ikianza kuchangamka kwa sababu ana nyumba anaenda Tena bank kukopa mkopo wa biashara
 
Bora ugemshauri auze gari apunguze kiwango cha makato ili aendeshe familia
 
Hivi inawezekana ukakopa bank 3 tofauti kwa mara moja? How is it possible wajameni?
 
Hivi inawezekana ukakopa bank 3 tofauti kwa mara moja? How is it possible wajameni?
Bongo hii kila kitu konekeshen tu. Hata ukitaka kupaa unapaa freshi watu mabawa wanayo mitaan ila huwez kuwaona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…