Nafikiria kutafuta mchepuko, tendo la ndoa na mke wangu limekuwa adimu

Dah [emoji23]
 
Ongea nae vizuri Mke wako lakin pia tendo la ndoa mara 2-3 kwa wiki sio mbaya KAKA, wewe ulitaka upige kila siku kaka HUCHOKI??
 
Mkuu usihangaike,tafuta mchepuko ambao uko serious na una nyege zinashabihiana na zako tulia nae, Mke usimuache ila usimsumbue tena kuhusu huo uchi wake anaouona dili,rudi nyumbani umeridhishwa vya kutosha na plan B maisha yaendelee.Hivi hivi ndio watu hujinyonga,kuzembea kazini au kuwafanyia ukatili wenza wao.

Inakera sana jitu umeliheshimisha kuliweka ndani,unalihudumia kila kitu mara nyingine unawasaidia hadi wazazi na ndugu zake halafu linakupa **** kwa mgao.
 
Mkuu wake wawili bado una mchepuko tena[emoji848][emoji848][emoji848]

Sent from my SM-G930V using JamiiForums mobile app
 
Tulikwambiaga ni suala la muda ukajifanya unampenda sana mkeo, Nyege hazinaga Mbabe chief...Haya sogea kwa mwenyekiti hapo akusainie kadi ya uwanachama wa mabaharia 😺
...😂😂😂....dah!...nimecheka Sana aisee...😂😂
 
Mluka mkojo na kukanyaga mavi ndio hii
 
Ongea nae vizuri Mke wako lakin pia tendo la ndoa mara 2-3 kwa wiki sio mbaya KAKA, wewe ulitaka upige kila siku kaka HUCHOKI??
Wataalamu wanasema ili ukabiliane na tezi dume unatakiwa ushuke si chini ya mara 21 kwa mwezi stand to be corrected sasa kwa idadi hiyo Mzee umeliwa na ukweli tuseme sir wanaume ukitaka uchanganyikiwe na kuharibikiwa na kuleta sintofahamu haraka ni kukosa mziki wa bed ndio maana tunaoa kikubwa ni hicho ss ukutane na mtu wa aina hiyo Mzee pole sana
 
Naona unapenda ngono sana? Unafikiri kwanini Mungu hakumpa Adam mke zaidi ya mmoja? Amri kuu ya ndoa ndiyo inaanzia hapa. Hao wanawake wawili ni kuhalalisha uzinzi na usherati
Mwanamke Mmoja Ndo Chanzo Cha Uzinzi Na Uasherati.Mwanamke Katoka Kujifungua Unaweza Vumilia Hizo Siku Mpaka Aje Arocover Ndo Akupee.Hapo Ndo wengi Unakuta Wanaanzisha Mahusiano Na Sabuni au Michepuko.Waislamu Wako Sahihi Sana
 
Kazi za kupika, kufua, kuosha vyombo, usafi wa nyumba, nk anafanya peke yake au mnasaidiana? Kama anazifanya yeye mwenyewe, ni lazima achoke! Hata ukipewa utelezi mara moja kwa wiki shukuru Mungu!
 
Kazi za kupika, kufua, kuosha vyombo, usafi wa nyumba, nk anafanya peke yake au mnasaidiana? Kama anazifanya yeye mwenyewe, ni lazima achoke! Hata ukipewa utelezi mara moja kwa wiki shukuru Mungu!
Kaz siyo tatizo tatizo wanatumia dawa za kuzuia mimba na vyakula navyo nitatizo chipsi tu ugali na mbogamboga hawataki kula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…