Wana jamvi salaam,
Naona huyu shemeji yenu majukumu ya chumbani yamemshinda, kwa wiki tendo mara 1 au 2 au 3 hapo kajitahidi (tena kila wakati mimi ndio nakumbushia, yeye wala), siku nyingine inapita wiki 1 hadi siku kumi.
Ukiishi na mke ndani ndio utaelewa kwanini Waisilamu waliambiwa wake 4 ruksa, hapa ningekuwa na mke wa 2, nisingekuwa naangalia dari juu usiku huu.
Tena hapa hatuna mtoto hivi je akizaliwa katoto si nitapigwa benchi mazima. Nilikuwa nawashangaa wanaume wanaochepuka, ila leo naelewa kuwa sometimes wake zao ni moja ya sababu. Huwa najitahidi kuepuka vishawishi nje ya ndoa ila sasa naona soon yatanishinda.
Real Confession :
Kwa wiki 3 sasa nimemkumbuka my ex girlfriend aisee hadi namuota kila siku , it has been 6 years toka tuachane ila nikiri tulikuwa na « a very good chemistry together on bed »