Nafikiria kutafuta mchepuko, tendo la ndoa na mke wangu limekuwa adimu

Kiukweli namridhisha every time hadi kibo
Wasikupe pressure ndugu yangu wanawake wa hivyo wapo ni wengi tu wengine mkitiana leo tena bao moja tu hataki tena pamoja na kwamba umemfikisha kileleni ila ndo kesha tosheka na hataki yaweza hata wiki ikapita hana hamu , sasa hiyo huea inachangiwa na mambo yafuatayo:-

1. Ana low sex drive in nature hiyo huwa ipo hivyo ni kama ulemavu na ukilazimisha unamuumiza maana atakuwa mkavu kabisa hivyo kama tayizo ni hilo basi huyo ni wakwenda naye polepole fuatilia tu ni je? Hiyo shida alikuwa nayo tangu zaman kabla au ndoa ikiwa bado mbichi au ndo imeibuka hivi karibuni >>>>tiba hili huwa ni gumu kidogo kwa sababu lina husiana na maumbile halisi yaani ni kama mtu aliye zaliwa na kilema ingawa kula vyakula vyenye vina zalisha vishawishi ngono kama protini kwa wingi huwa inasaidia kwa kiasi.

2. Anamajukumu mengi sana ya nyumba yaan kazi za nyumba nyingi kiasi kwamba mda wote yupo busy hapati kabisa mda wa kupumzisha akili yake hali inayo mpelekea mda wa kulala ukifika yuko hoi na hapo hatotamani tendo kabisaa na kama majukumu hayo ni ya kila siku basi waweza jikuta hatanmwezi ukapita na wala haulizii chochote. >>>>tiba apunguze majukumu na awe na mda wa kupumzika pia atumia sana vyakula vinavyo zalisha testosterone kwa wingi kama karanga na jamii zake.

3.humridhishi hivyo mnavyo fanya mapenzo kwake inakuwa kama kero maana unachikoza halafu unamuacha njia panda hii itamfanya alichukie tendo kabisaa na hasa akiwa na wewe na ni mbaya zaid kama atakuwa na mtu mwngne wa kumpa huduma hiyo. >>>Tiba jitahid unapo kuwa naye mridhishe na uhakikishe hadi mnamaliza tendo amelifurahia jitahidi asijione kama anatiza wajibu tu.

4.ulevi kama wewe ni mywaji pombe wanawake wengi hawapendi kabisa harufu ya pombe sasa unapo fanya naye mapenzi ile harufu inamchefua hadurahii tendo hivyo anaona bora usipo fanya naye na wala hahitaji .>>>>> tiba kama ni mlevi basi jitahidi sana kupunguza au kuto kunywa kabisa kwa siku ambao unadhan utahitaji tendo kwake

5. Jini mahaba au pepo hii imekaa kiimani zaid katika ulimwengu wa giza huwa kuna hilo pepo linaweza kumtoa hisia zoote mwanamke akawa hahitaji mwanaume kabisaa na maranyingi lengo huwa ni kuharibu ndoa tiba huwa ni ibada kwa imani yako.
6.upungufu wa nguvu za kike hili linataka kufanana na lile la kwanza lakini yanatofautiana kidogo kwani hili huwa linawezekana kutafutiwa utatuzi yawezekana ni tatizo ambalo kakutana nalo katika maisha au ndo au vyovyote lakini linatibika >>>>> hili huwa linatibika sana kwa kutumia tiba lishe waone wataalamu wa tiba lishe watakusaidia.

7. Tatizo la saikolojia hasa kama yeye anapenda kutazama picha au video za ngono hipelekea hali hiyo na hasa huwa inatokea anapo tizama picha zile humpelekea kujichua kwa vidole au kifaa kitu kinacho mfanya asiwe na hisia kabisa >>>>>>tiba fuatilia kama huwa anapenda kutiza video za ngono na umkanye na umueleze bayana kwamba hayo ni matokeo yaliyo peleka tatizo ambalo litaigharimu ndoa yake maana tunapo ongelea ndoa pamoja na mengine yote tendo la ndoa ndio nguzo kuu ya ndoa.

Zipo sababu nyinginezo ambazo zaweza kuwa za uchochezi lakini kwa kuanzia hizo zinatosha kabisa kubaini tatizo.

KHERI YA PASAKA
 
100% upo vizuri mdau.
 
Mkuu haujajua hisia zake zilipo.Muda unaotumia kuwaza kutafuta mchepuko utumie vzr kutafuta suluhisho la hii changamoto.
Wanawake wanasaikolojia ya ajabu Sana,nasema ya ajabu kwa maana Yani kitu kidogo Sana kinaweza kukabadili hisia zake na A ikawa B.!
Kama hauna utaratibu wa kutoka naye anza hvyo Mara moja na sio lazima gharama iwe kubwa.
Anza kubadirika wewe na si yeye.
Tafuta suluhisho la tatizo lako maana siku 2 au 3 then mnado sio mbaya
 
Mzee swala la michepuko sio la kutafuta huruma za watu ili ulitekeleze .

Wanaume tujifunze kujipenda kwanza sisi ....acheni kuwa watumwa wa kifikra na kuendeshwa na wanawake.

Mwanaume simamia furaha yako ilipo. Haya mambo ya kutangulia kufa kabla ya wanawake ni uboya.

Haiwezekani eti kisa mwanamke hapendi kwa sababu zake au ujinga wake binafsi eti na wewe inakuumiza na kuanza kujiliza Liza.

Mwanaume andaa mtoko alike mke hataki piga chini tafuta papuchi nyingine ya kula nayo Bata huko uendako.

Mwanamke hataki kupika rudi umevimbiwa unabeua tu harufu za minofu na stick mdomoni .

Mwanamke hataki gemu poa wewe ji rudie home tu ushajichakatia kipochi Cha mtu huko vibao vya kutosha ukifika home vuta shuka lala usiwasumbue watu wana mambo mengi wanafikiri[emoji1787][emoji1787]

Mwanaume ishi maisha yako

Sent from my TECNO F2LTE using JamiiForums mobile app
Ha haaaa ubinafsi kiwango cha SGR
 
Wana jamvi salaam,
Naona huyu shemeji yenu majukumu ya chumbani yamemshinda, kwa wiki tendo mara 1 au 2 au 3 hapo kajitahidi (tena kila wakati mimi ndio nakumbushia, yeye wala) , siku nyingine inapita wiki 1 hadi siku kumi.
Ukiishi na mke ndani ndio utaelewa kwanini Waisilamu waliambiwa wake 4 ruksa, hapa ningekuwa na mke wa 2 , nisingekuwa naangalia dari juu usiku huu .
Tena hapa hatuna mtoto hivi je akizaliwa katoto si nitapigwa benchi mazima.
Nilikuwa nawashangaa wanaume wanaochepuka , ila leo naelewa kuwa sometimes wake zao ni moja ya sababu.
Huwa najitahidi kuepuka vishawishi nje ya ndoa ila sasa naona soon yatanishinda.

Real Confession :
Kwa wiki 3 sasa nimemkumbuka my ex girlfriend aisee hadi namuota kila siku , it has been 6 years toka tuachane ila nikiri tulikuwa na « a very good chemistry together on bed »
Mzee wiki 10 yani siku 70 apo si unapoteza uzoefu.ww chepuka tu
Mungu atakusamehe bure
 
Kuna wakati alinipa sababu kama hiyo , nikamuelewa ila ili ikawa kila baada ya siku moja mara 2 mara 3 ila sasa wiki, tunapoelekea naogopa itafika mwezi , nitajikuta nachukua maamuzi magumu [emoji19]
Jmn hivi wiki haiwezekani? Duh
 
Na wewe nikuulize kwa nn adam hakupewa ila Suleiman alipewa wake 700 [emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F2LTE using JamiiForums mobile app
Mungu hakumpa Suleiman hao wake ni yeye mwenyewe!
Kuna mahali Yesu aliulizwa haya masuala ni Mathayo sikumbuki sura;akajibu,tangu mwanzo haikuwa hivyo Mungu aliumba mtu mke na mume,ila sbb ya ugumu wa mioyo yenu Musa ndo aliruhusu iwe hivyo!
So sio Mungu ndo aliamua hivyo ni Musa!
 
Back
Top Bottom