polokwane
JF-Expert Member
- Dec 16, 2018
- 3,361
- 5,842
Wasikupe pressure ndugu yangu wanawake wa hivyo wapo ni wengi tu wengine mkitiana leo tena bao moja tu hataki tena pamoja na kwamba umemfikisha kileleni ila ndo kesha tosheka na hataki yaweza hata wiki ikapita hana hamu , sasa hiyo huea inachangiwa na mambo yafuatayo:-Kiukweli namridhisha every time hadi kibo
1. Ana low sex drive in nature hiyo huwa ipo hivyo ni kama ulemavu na ukilazimisha unamuumiza maana atakuwa mkavu kabisa hivyo kama tayizo ni hilo basi huyo ni wakwenda naye polepole fuatilia tu ni je? Hiyo shida alikuwa nayo tangu zaman kabla au ndoa ikiwa bado mbichi au ndo imeibuka hivi karibuni >>>>tiba hili huwa ni gumu kidogo kwa sababu lina husiana na maumbile halisi yaani ni kama mtu aliye zaliwa na kilema ingawa kula vyakula vyenye vina zalisha vishawishi ngono kama protini kwa wingi huwa inasaidia kwa kiasi.
2. Anamajukumu mengi sana ya nyumba yaan kazi za nyumba nyingi kiasi kwamba mda wote yupo busy hapati kabisa mda wa kupumzisha akili yake hali inayo mpelekea mda wa kulala ukifika yuko hoi na hapo hatotamani tendo kabisaa na kama majukumu hayo ni ya kila siku basi waweza jikuta hatanmwezi ukapita na wala haulizii chochote. >>>>tiba apunguze majukumu na awe na mda wa kupumzika pia atumia sana vyakula vinavyo zalisha testosterone kwa wingi kama karanga na jamii zake.
3.humridhishi hivyo mnavyo fanya mapenzo kwake inakuwa kama kero maana unachikoza halafu unamuacha njia panda hii itamfanya alichukie tendo kabisaa na hasa akiwa na wewe na ni mbaya zaid kama atakuwa na mtu mwngne wa kumpa huduma hiyo. >>>Tiba jitahid unapo kuwa naye mridhishe na uhakikishe hadi mnamaliza tendo amelifurahia jitahidi asijione kama anatiza wajibu tu.
4.ulevi kama wewe ni mywaji pombe wanawake wengi hawapendi kabisa harufu ya pombe sasa unapo fanya naye mapenzi ile harufu inamchefua hadurahii tendo hivyo anaona bora usipo fanya naye na wala hahitaji .>>>>> tiba kama ni mlevi basi jitahidi sana kupunguza au kuto kunywa kabisa kwa siku ambao unadhan utahitaji tendo kwake
5. Jini mahaba au pepo hii imekaa kiimani zaid katika ulimwengu wa giza huwa kuna hilo pepo linaweza kumtoa hisia zoote mwanamke akawa hahitaji mwanaume kabisaa na maranyingi lengo huwa ni kuharibu ndoa tiba huwa ni ibada kwa imani yako.
6.upungufu wa nguvu za kike hili linataka kufanana na lile la kwanza lakini yanatofautiana kidogo kwani hili huwa linawezekana kutafutiwa utatuzi yawezekana ni tatizo ambalo kakutana nalo katika maisha au ndo au vyovyote lakini linatibika >>>>> hili huwa linatibika sana kwa kutumia tiba lishe waone wataalamu wa tiba lishe watakusaidia.
7. Tatizo la saikolojia hasa kama yeye anapenda kutazama picha au video za ngono hipelekea hali hiyo na hasa huwa inatokea anapo tizama picha zile humpelekea kujichua kwa vidole au kifaa kitu kinacho mfanya asiwe na hisia kabisa >>>>>>tiba fuatilia kama huwa anapenda kutiza video za ngono na umkanye na umueleze bayana kwamba hayo ni matokeo yaliyo peleka tatizo ambalo litaigharimu ndoa yake maana tunapo ongelea ndoa pamoja na mengine yote tendo la ndoa ndio nguzo kuu ya ndoa.
Zipo sababu nyinginezo ambazo zaweza kuwa za uchochezi lakini kwa kuanzia hizo zinatosha kabisa kubaini tatizo.
KHERI YA PASAKA