Nafsi inatamani lakini mwili unanikataa, wenye miaka 33 ama zaidi mnaenda raundi tatu bila kujilazimisha?

Nafsi inatamani lakini mwili unanikataa, wenye miaka 33 ama zaidi mnaenda raundi tatu bila kujilazimisha?

Afya muhimu sana, hela muhimu Ila km una afya mgogoro hela haina thamani lazima itaisha tu na utaishia kua masikini kisa unatibu afya yako
Kweli mkuu na lakulilinda sana kipindi cha ujana ni afya, gonga sana lakini jali usalama wa afya yako kama kijana afya ina faida kubwa sana hata kwenye utulivu wa utafutaji.
 
Kweli mkuu na lakulilinda sana kipindi cha ujana ni afya, gonga sana lakini jali usalama wa afya yako kama kijana afya ina faida kubwa sana hata kwenye utulivu wa utafutaji.
Ujana nishavuka naukimbilia uzee, na afya yangu ipo stable kabisa Figo mapafu bandama kongosho ini moyo utumbo mpana zote zipo sawa

Kuna wadau kwa umri wangu nilionao vyote vimeshaungua,
 
Tatizo lishe na mazoezi. Kabla ya kumpanda mtu hakikisha una lishe ya kutosha. Vijana tujitahidi sana kula. Pia mazoezi ni muhimu sana. Sex inahitaji fitness. Kuhusu umri ni changamoto lakini sio sana kama unazingatia kula vizuri. Kama hauli vizuri unaweza hata kuugua kesho yake. Tatizo ni haya magonjwa ya zinaa hasa ukimwi ila isingekuwa hivyo mtu kabla hajafikisha 30 inatakiwa awe amechakata mbususu za kujaza ndege za KLM kama nne.
 
Kweli mkuu na lakulilinda sana kipindi cha ujana ni afya, gonga sana lakini jali usalama wa afya yako kama kijana afya ina faida kubwa sana hata kwenye utulivu wa utafutaji.
Umeongea point kubwa sana. Hata uwe na hela kama Bill Gates kama afya mgogoro zinakuwa hazina maana. Vijana wazingatie sana matumizi ya Condom. Kupita salama kwenye umri wa miaka 20 - 30 ni kwa neema tu za Mungu.
 
Kweli mkuu huu umri vishawishi ni vingi mno alafu damu inachemka vilivyo na nguvu zipo, usipojua kujicontrol ni rahisi sana kujikwaa na ukabaki na majuto for the rest of your life.
 
Bao tatu za nini wew piga kimoja cha afya...au hauna hela nini?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ukiwa huna pesa ndio unawaza kupiga mabao mengi aisee
 
Kama ambavyo mtu utaanza kugundua umekuwa mkubwa pale unapoanza kusalimiwa na vijana wadogo basi ndivyo utavyojigundua kwa mabadiliko ya uwezo wako kwenye shoo.

Hali sio tena kama niliyoizoea, kwa sasa goli la kwanza lori lipo mteremkoni, goli la pili lori lipo tambarare lakini goli la tatu lori linapanda mlima.

Mwisho wa mlima nafika ila nachoma sana mafuta natumia nguvu sana na muda pekee na enjoy ni dakika 2 za mwishoni napokaribia kumaliza, baada ya hapo nipo nyanganyanga na kuhusu goli la nne silijui kabisa imebaki historia.

Wale wenye 33 na kuendelea, hali ni vipi?
Bado hujasema bro
Tunakusubiri tumekaa pale

Tena kwa dalili hizi ukifika forth floor utakuwa taabani
 
Kwa hiyo unataka uunganishe bao 3 mkuu?
Hamna jamaa ukiweza kuunga unga Ila sio rahisi hata kidogo, kwa wenye pumzi utaweza ingawa utamchosha sana mtoto wa watu, namaanisha km ni kabla ya kila bao unafanya cuddling basi wewe ndio utaishia 1 tu Ila km kila baada ya bao utachukua at least 30/45 minutes za cuddling na muhusika yupo willing na anakuhamasisha kufanya hivyo hata bao 3 utaona ndogo problem wanawake ukishamkanda bao mbili za uhakika hua hawezi kuendelea zaidi ya hapo anakua kachoka ni wachache sana especially wenye vina virefu wanaoweza kuendelea na mchezo wengine wenye vina vifupi Vimeo tu baada ya bao 2 yupo chakali utasikia tu nimechoka hapo ni wewe utakua unafanya bila ushirikiano mpaka umwage huku yeye anagumia tu anafanywa bila kutaka
 
Mimi nina 40+ ila bila goli 3 sijakuelewa lasivyo nitakuomba mechi kama sio siku hiyo basi baadae kesho yake.
Ni afya na lishe nzuri.

Ila tu simu ikiita kila kitu huwakinahatibikaso ili nimalize bizuri huwa nazima kabisa simu mpaka 45minutes ndo nawasha
Nakazia
 
Hamna jamaa ukiweza kuunga unga Ila sio rahisi hata kidogo, kwa wenye pumzi utaweza ingawa utamchosha sana mtoto wa watu, namaanisha km ni kabla ya kila bao unafanya cuddling basi wewe ndio utaishia 1 tu Ila km kila baada ya bao utachukua at least 30/45 minutes za cuddling na muhusika yupo willing na anakuhamasisha kufanya hivyo hata bao 3 utaona ndogo problem wanawake ukishamkanda bao mbili za uhakika hua hawezi kuendelea zaidi ya hapo anakua kachoka ni wachache sana especially wenye vina virefu wanaoweza kuendelea na mchezo wengine wenye vina vifupi Vimeo tu baada ya bao 2 yupo chakali utasikia tu nimechoka hapo ni wewe utakua unafanya bila ushirikiano mpaka umwage huku yeye anagumia tu anafanywa bila kutaka
Kwa hiyo inawezekana au haiwezekani? Tuweke sawa hapo kwanza
 
Back
Top Bottom