USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Waziri mkuu wa zamani wa Israel Naftari Bennet amesema kuwa zamani Biden alisema acheni kwanza sasa amesema pambaneni tuko nyuma yenu hivyo tunachagua pakuanzia viwanda vya uchimbaji mafuta,nyuklia ,kambi za jeshi au makazi ya viongozi, kutakuwa na machungu makali na vilio.
Waziri huyo anayeona kuwa Benjamin Netanyahu hawajibiki sana kulipiza kisasi anaona kuwa wataifuta Iran kwa vipande Elfu kumi na itachukua miaka hamsini kujijenga .
USSR
Waziri huyo anayeona kuwa Benjamin Netanyahu hawajibiki sana kulipiza kisasi anaona kuwa wataifuta Iran kwa vipande Elfu kumi na itachukua miaka hamsini kujijenga .
USSR