Naftar Benet: Tutaigawa Iran vipande elfu kwa miaka hamsini, jibu letu litakuwa kali na chungu

Kama Mwamba wa Ukoo wa Yesu Kristo aliye hai Benjamin Netanyahu
Ukoo gani? Netanyahu katokea Poland huko ni ashkenazi jew, hawa wa kubumba sio direct lineage ya wayahudi kama walau sephards. Kingine Netanyahu ni fisadi ana kesi mahakamani anatumia vita kuchelewesha masahibu yake kujulikana. Siku vita zikiisha kesi taanza kusikiliwa mahakamani, sasa sijui kama fisadi anaweza kuwa ukoo mmoja na Yesu!!!
 
Katika watu waniteseka kwa hilo shambulio la irani ni Ben gavir na huyu fala ..
 
Hakuna vita vya kidini hapo, Israel ameguswa kwenye mboni ya jicho, pia haoni tumaini mbele endapo Iran ataendelea kuspori makundi ya kigaidi
Na kingine wanataka waandike historia kuwa eti walishinda vita na hawajawahi kushindwa na ndio maana hawataki kabisa kusain sease fire deal ..maana wataoneka wameshindwa
 
Acha hofu, Iran ndio atakuwa mkombozi kwa nchi za kiislam zote za Mashariki ya kati mpaka Saudia Arabia itakomboka kutoka katika makucha ya makafiri na mazayuni In Shaa Allah.
 
Acha hofu, Iran ndio atakuwa mkombozi kwa nchi za kiislam zote za Mashariki ya kati mpaka Saudia Arabia itakomboka kutoka katika makucha ya makafiri na mazayuni In Shaa Allah.
Unaota ndoto za mchana!haziwi na ukweli.
 
Iran itageuzwa kuwa misri
Acha hofu mayahudi pia wanaongopa kifo, kicha cha Iran juz wanalizana wenyewe kwa wenyewe huko, usijidai hujamuona Netanyahu akitimua mbio kule ndani mavi kitambaani
 
Usiwape nguvu mayahudi na makarifi kwa hisia, Israel alikuwa na tabia ya akipigwa anajibu hapo hapo the following day, lakini mara hii imembidi achunge nidhamu kidogo
Waarabu hawana ushirikiano watapigwa tuu,pole Mkuu utakuja kusema sikukwambia!
 
Hahahah kwahio watagawa wastan kwa idadi au sio? 😂 Nadhani utakuwa wasaa mzuri wa wao kumeza nuclear za Saturn toka Russia. Kama ambavyo USA anajifaragua pale Ukraine
 
Hahahahaha maneno ya nini wanadhani Iran hao US, UK, France walio tayari wanepeleka majeshi yao eti wanaenda mzuia Iran asishambulie Israel ndio watamtisha Iran.

Israel alijidai hakuna madhara oneni ndege zake F35 zilivyo unguzwa na base yake ilivyo chakazwa hio ni kwenye satellite image.


View: https://youtu.be/n3g03_wRoSc?si=ij96WpCUplJJ7xOy
 
Waarabu hawana ushirikiano watapigwa tuu,pole Mkuu utakuja kusema sikukwambia!
Unavyoona wewe pamoja na unafiki wa baadhi ya nchi za kiarabu lakini Iran atapa support kutoka mataifa hayo hayo kikafiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…