Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,709
- 10,896
Nasubiria hiliTangu juzi kuagwa kwa Mzee wetu mwendazake Cleopa Msuya pale Karemjee Hall mpaka leo hapo Usangi inapofanyika ibada ya mazishi, sijaona Mh. David Mathayo David akitajwa kama miongoni mwa watoto wa Mzee Msuya. Au wameamua kuuchuna kiaina?
Ni mtoto wa mchepuko kama Angella Kairuki alivyo mtoto wa mchepuko wa Dr. Salim Ahmed SalimLabda alikuwa ni mtoto wa mchepuko (nadharia yangu tu...). Mara nyingi hao huwa hawatajwi misibani maana wataleta taharuki katikati ya wa waombolezaji. Unless kama kuna sababu nyinginezo za msingi, wahusika watazisema muda si mrefu.
Hii nayo nishawahi kusikia sehemu, kuna ukweli wowote?Ni mtoto wa mchepuko kama Angella Kairuki alivyo mtoto wa mchepuko wa Dr. Salim Ahmed Salim
Angalia vichwa vyao utapata majibuHii nayo nishawahi kusikia sehemu, kuna ukweli wowote?
πHii nayo nishawahi kusikia sehemu, kuna ukweli wowote?
Ili jibu sasaπ€£π€£Angalia vichwa vyao utapata majibu
Watu mnaletaga taarifa mnatulia nazo mnasubiri gapNi mtoto wa mchepuko kama Angella Kairuki alivyo mtoto wa mchepuko wa Dr. Salim Ahmed Salim
Kwa wapare ogopa kabisa huwa kama simba aliyejeruhiwaTangu juzi kuagwa kwa Mzee wetu mwendazake Cleopa Msuya pale Karemjee Hall mpaka leo hapo Usangi inapofanyika ibada ya mazishi, sijaona Mh. David Mathayo David akitajwa kama miongoni mwa watoto wa Mzee Msuya. Au wameamua kuuchuna kiaina?
Doh hilo nmekuja kulijua leoNi mtoto wa mchepuko kama Angella Kairuki alivyo mtoto wa mchepuko wa Dr. Salim Ahmed Salim
Picha yake please.Watu mnaletaga taarifa mnatulia nazo mnasubiri gap
Kuwa mtoto ety Baba kachepuka haina madhara
Hata Sulemain mfalme alikuwa mtoto wa mchepuko
Tusonge mbele
Waliotajwa ni aki naniTangu juzi kuagwa kwa Mzee wetu mwendazake Cleopa Msuya pale Karemjee Hall mpaka leo hapo Usangi inapofanyika ibada ya mazishi, sijaona Mh. David Mathayo David akitajwa kama miongoni mwa watoto wa Mzee Msuya. Au wameamua kuuchuna kiaina?
Hamfanani vichwa mnafanana visogo .Ili jibu sasaπ€£π€£
Huku kwetu wete vichwa vyetu watu wa huku vinafanana sana japo sio ndugu
Dah itakuwa inamuuma sana .Hajatajwa kabisa yaani .Hata walipokaa watoto wa marehemu yeye hayupo. Ila muhimu Msuya kafariki akijua ndo Baba yake inatosha. Ila piano Msuya alifanya vizuri kumuunganisha kwenye fursa na Leo ni mbunge.Kwa wapare ogopa kabisa huwa kama simba aliyejeruhiwa
Akiwepo mtoto wa nje ya ndoa mtu hathuhutu kumtaja msibani watamla nyama yeye aliyemtaja na aliyetajwa kama mtoto wa nje ya ndoa
Wapare wanashika namba mbili kupenda kesi baada ya wahaya
Hiyo kesi itaamuliwa na kifo tu
Hawezi tajwa hata kama ni mtoto wa mchepuko
sio mwanae,na hata yule nelly msuya pia hatajwiTangu juzi kuagwa kwa Mzee wetu mwendazake Cleopa Msuya pale Karemjee Hall mpaka leo hapo Usangi inapofanyika ibada ya mazishi, sijaona Mh. David Mathayo David akitajwa kama miongoni mwa watoto wa Mzee Msuya. Au wameamua kuuchuna kiaina?
Wametajwa sita tu na mmoja wao alishafariki Dunia(Geoffrey)Waliopo hai watano na wote wamekaa mbele George,Job,John,Joyce na Naangela.Waliotajwa ni aki nani
Ndio ni kweli na wanafanana na baba yakeHii nayo nishawahi kusikia sehemu, kuna ukweli wowote?