Nafuatilia msiba wa Msuya tangu juzi, mbona David Mathayo David hatajwi kwenye watoto wa marehemu

Nafuatilia msiba wa Msuya tangu juzi, mbona David Mathayo David hatajwi kwenye watoto wa marehemu

Kwa wapare ogopa kabisa huwa kama simba aliyejeruhiwa

Akiwepo mtoto wa nje ya ndoa mtu hathuhutu kumtaja msibani watamla nyama yeye aliyemtaja na aliyetajwa kama mtoto wa nje ya ndoa

Wapare wanashika namba mbili kupenda kesi baada ya wahaya

Hiyo kesi itaamuliwa na kifo tu

Hawezi tajwa kama ni mtoto wa mchepuko hata kama ni kweli
Mshana Jr unaitwa huku
 
Tangu juzi kuagwa kwa Mzee wetu mwendazake Cleopa Msuya pale Karemjee Hall mpaka leo hapo Usangi inapofanyika ibada ya mazishi, sijaona Mh. David Mathayo David akitajwa kama miongoni mwa watoto wa Mzee Msuya. Au wameamua kuuchuna kiaina?
Wewe ndiye uliwapima DNA?

Unaanzaje kushikia bango fulani mtoto wa fulani kwenye familia za watu?
 
Wabare jina la ukoo ni muhimu sana:
Msuya, Mbaga, Mjema, Mshana...hii ni muhimu sana, ilikuwaje asitumie Msuya?
Si uliambiwa ni wa nje jamani?Msuya hakutaka kumuumiza mkewe Rhoda.
 
Sasa Mathayo na utajiri woote ule hata asipotajwa kuna shida gani.

Na inawezekana kwenye hiyo familia Mathayo ndio mwenye hela nyingi kuliko yeyote hapo.
 
Sasa Mathayo na utajiri woote ule hata asipotajwa kuna shida gani.

Na inawezekana kwenye hiyo familia Mathayo ndio mwenye hela nyingi kuliko yeyote hapo.
Unfortunately fedha haiwezagi kuziba gap kama hilo....Mungu ampe utulivu baba Mathayo.Kwanza pia ni mstaarabu na mcha Mungu mno.Mungu anampenda
 
Tangu juzi kuagwa kwa Mzee wetu mwendazake Cleopa Msuya pale Karemjee Hall mpaka leo hapo Usangi inapofanyika ibada ya mazishi, sijaona Mh. David Mathayo David akitajwa kama miongoni mwa watoto wa Mzee Msuya. Au wameamua kuuchuna kiaina?
Kwani ni Mwanae kwa style gani?
 
Ni mtoto wa mchepuko kama Angella Kairuki alivyo mtoto wa mchepuko wa Dr. Salim Ahmed Salim
Duuuuu Ndio Kwanza nasikia kutoka Kwako kwamba Angela kairuki ni Mtoto wa Dr Salim Ahmed Salim Duuuuu Mpya Hii kwangu Aisee
 
Duuuuu Ndio Kwanza nasikia kutoka Kwako kwamba Angela kairuki ni Mtoto wa Dr Salim Ahmed Salim Duuuuu Mpya Hii kwangu Aisee
Soma uzi huu kuna kitu utapata
 
Back
Top Bottom