JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 8,556
- 18,428
Mtoto wa nje huyo,hatuwezi kuchafua CV ya mzee, mkristo mzuri, mume wa, mke mmoja, mzee wa kanisa wa muda mrefu,Tangu juzi kuagwa kwa Mzee wetu mwendazake Cleopa Msuya pale Karemjee Hall mpaka leo hapo Usangi inapofanyika ibada ya mazishi, sijaona Mh. David Mathayo David akitajwa kama miongoni mwa watoto wa Mzee Msuya. Au wameamua kuuchuna kiaina?