JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 8,556
- 18,428
Mtoto wa nje huyo,hatuwezi kuchafua CV ya mzee, mkristo mzuri, mume wa, mke mmoja, mzee wa kanisa wa muda mrefu,Tangu juzi kuagwa kwa Mzee wetu mwendazake Cleopa Msuya pale Karemjee Hall mpaka leo hapo Usangi inapofanyika ibada ya mazishi, sijaona Mh. David Mathayo David akitajwa kama miongoni mwa watoto wa Mzee Msuya. Au wameamua kuuchuna kiaina?
Kumbe kuna Nelly tena?Inawezekana upareni watoto nje ya ndoa huwa hawatambuliwi publicallysio mwanae,na hata yule nelly msuya pia hatajwi
Kumbe kuna Nelly tena?Inawezekana upareni watoto nje ya ndoa huwa hawatambuliwi publically
Kabisa .Mtu akizaa mpare nje ya ndoa mwenye mke wa ndoa imekula kwake wamalizane huko huko nje ya ndoaKumbe kuna Nelly tena?Inawezekana upareni watoto nje ya ndoa huwa hawatambuliwi publically
Wacha we hapo wengine manaibu makatibu wakuu. Ma RAS, Wakurugenzi, BOT nkWametajwa sita tu na mmoja wao alishafariki Dunia(Geoffrey)Waliopo hai watano na wote wamekaa mbele George,Job,John,Joyce na Naangela.
Nani aliekwambia Nelly Msuya ni mtoto wa Msuya?? Yaani hilo jina tu ndio ukadhania ni mtoto wa Msuya?? Hizi akili zingine zimechangiwa na shule za kata.sio mwanae,na hata yule nelly msuya pia hatajwi
Baba aliwahi kuwa waziri mkuu,makamu wa Rais, waziri wizara nyeti,kweli wanae wawe choka mbaya??????.Hongera kwake kwa kuwaacha watoto na wajukuu wake vizuri.Wacha we hapo wengine manaibu makatibu wakuu. Ma RAS, Wakurugenzi, BOT nk
Kwahiyo Mathayo wamemla kichwa.Wametajwa sita tu na mmoja wao alishafariki Dunia(Geoffrey)Waliopo hai watano na wote wamekaa mbele George,Job,John,Joyce na Naangela.
Shida yako unakurupuka tu,huyo dada mwenyewe anajitaja hivyo kuwa ni mtoto wa cd na hata kupata vyeo alivipata haraka mno kwa jina la cd,sasa kwakuwa we hujui kitu unakuja kuhara hapaNani aliekwambia Nelly Msuya ni mtoto wa Msuya?? Yaani hilo jina tu ndio ukadhania ni mtoto wa Msuya?? Hizi akili zingine zimechangiwa na shule za kata.
Umezema ni David Mathayo David.Tangu juzi kuagwa kwa Mzee wetu mwendazake Cleopa Msuya pale Karemjee Hall mpaka leo hapo Usangi inapofanyika ibada ya mazishi, sijaona Mh. David Mathayo David akitajwa kama miongoni mwa watoto wa Mzee Msuya. Au wameamua kuuchuna kiaina?
Ni mtoto wa nje?Kwahiyo Mathayo wamemla kichwa.
Si unaona anatumia David?Ni mtoto wa nje?
Mbona hatumii u bin wa Msuya?
Wabare jina la ukoo ni muhimu sana:Si unaona anatumia David?
Shida yako unakurupuka tu,huyo dada mwenyewe anajitaka hivyo kuwa ni mtoto wa cd ba hata kupata vyeo alivipata haraka mno kwa jina la cd,sasa kwakuwa we hujui kitu unakuja kuhara hapa
Mie namfahamu sana huyo Nelly sio mtoto wa mzee Msuya, labda alitumia jina kujipatia umaarufu tu, na kuhusu vyeo si kweli, huyo dada kapiga shule na upstairs yupo vizuri sana.Shida yako unakurupuka tu,huyo dada mwenyewe anajitaja hivyo kuwa ni mtoto wa cd ba hata kupata vyeo alivipata haraka mno kwa jina la cd,sasa kwakuwa we hujui kitu unakuja kuhara hapa
Kwahio Viongozi Weng WA Same ni watoto WA mchepukoNi mtoto wa mchepuko kama Angella Kairuki alivyo mtoto wa mchepuko wa Dr. Salim Ahmed Salim
sawaMie namfahamu sana huyo Nelly sio mtoto wa mzee Msuya, labda alitumia jina kujipatia umaarufu tu, na kuhusu vyeo si kweli, huyo dada kapiga shule na upstairs yupo vizuri sana.