NAFUMUA MSHONO: Simu za iPhone ni mdebwedo, wanaozitumia ni watu wa kufuata mkumbo bila reasoning. Simu za Android ndio mpango mzima!

iPhone nilishikaa tu ya jamaa nikajaribu kuangalia apps mbalimbali fb niliona ina mb 300 nikaona Hadi app ya tenzi za rohoni unalipia nikaona kumiriki hii itakuwa ni umaskini jeuri yaani nishindwe kupata vya naafu nikainstall apps za kutosha siku zikaenda

Kiukweli huwa ni kikaga na tecno f1 yangu nikaona vile naweza fanya Mambo mingi kwa simu. Huwa naamini siku tukiweza kufahamu matumizi yenye kuleta tija ya simu janja hizi hizi za laki Kama taifa tunaweza piga hatua kubwa sana. iPhone ni simu za mataifa yaliendea.
 
Inferiority complex inawatafuna wengi sana, kila siku mnahangaika kujilinganisha…. yote hayo mbona iPhone haijitetei?

Mnateseka bure!
Hutaki ukweli usemwe? Au na wewe ni kati ya waliojichomeka kununua Iphone kwa mbwembwe ukidhani matawi ya juu bila kujua kasoro zote hizo? Kuwa mpole tu, hujachelewa kubadili simu!
 
Hutaki ukweli usemwe? Au na wewe ni kati ya waliojichomeka kununua Iphone kwa mbwembwe ukidhani matawi ya juu bila kujua kasoro zote hizo? Kuwa mpole tu, hujachelewa kubadili simu!
Kula na uridhike na sahani yako mkuu, kujilinganisha na menu za wengine ni kujiumiza roho bure tu….. chaguo lako libakie kuwa binafsi tafadhali.
 
Ingawa ni kweli wapenzi wengi wa Iphone ni wale hawapendi kuichezea simu kiundani(huko ng'ambo watumiaji wengi ni wazee) lakini mkuu itake radhi Iphone kulinganisha na Tecno 😂.
 
Hii habari ya kuwa app zilizoko kwenye android kwenye iOS unalipia uwa ni uongo mtakatifu na watu uwa wanauamini tu. Apps za bure android na iPhone ni za bure tu kudownload
 
Hii habari ya kuwa app zilizoko kwenye android kwenye iOS unalipia uwa ni uongo mtakatifu na watu uwa wanauamini tu. Apps za bure android na iPhone ni za bure tu kudownload
Sawa kwa apps ambazo ni category moja na developer ni yule yule ila Kama ni apps za catergory moja ila developer tofauti huko iphone utaona app imewekewa price wakati huku Android ni contains ads. Niliona jamaa analalamika kuwa anunua tenzi za rohoni nilishangaa. Hafu ninauwakika kuwa huku Android Kuna app nyingine hazipo huko iphone na ni zamaana tu.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Ingawa ni kweli wapenzi wengi wa Iphone ni wale hawapendi kuichezea simu kiundani(huko ng'ambo watumiaji wengi ni wazee) lakini mkuu itake radhi Iphone kulinganisha na Tecno [emoji23].
Silinganishi nazangumzia reliability kwa watanzania wengi iPhone is not reliable kwa wabongo ukilinganisha na tecno au Samsung hizo ni perfect match.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Unaweza taja app hata moja ambayo android ni bure iOS inauzwa. Halafu app zote kubwa asilimia kubwa uwa zinaanzoa iOS iwe whatsapp, Instagram sijui takataka gani uwa zinaanzia iOS kabla ya android japokuwa siku hizi app zinazinduliwa kote kote.
Hata android mbona zipo app ambazo zonauzwa na utakuta na hiyo hiyo app inauzwa kwa iOS. App nyingi siku hizi ni bure ila zina premium fetaures ambazo unanunua kwenye app kama yalivyo magame tu
 
Mfano ni hiyo moja tenzi kwangu ilikua ni bure kwa jamaa ilikua inauzwa ila developer tofauti

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hata hivyo mm sio mtumiaji wa iOS ni kipata mdau ambaye anayo nitakuja hapa kuprove. Ila kwa yule alilalamika Sana kwanza alidai hawezi hata kuweka sender

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mfano ni hiyo moja tenzi kwangu ilikua ni bure kwa jamaa ilikua inauzwa ila developer tofauti

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Si ajabu ungetafuta same developer hiyo hiyo app na android ingekuwa inauzwa. Maana kila developer ana njia yake ya kumake money. Karibu apps zote ambazo ni bure android na iOS ni bure
 
Hata hivyo mm sio mtumiaji wa iOS ni kipata mdau ambaye anayo nitakuja hapa kuprove. Ila kwa yule alilalamika Sana kwanza alidai hawezi hata kuweka sender

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app

Xender haweki vipi watu wanaitumja miaka yote hayo maneno ya vijiweni

ios na Android hamna tofauti sana, cha Android kipo kwa apple in different way ila unapata kazi zile zile na kadri siku zinavyoenda gape kati yao linazid pungua
 
Mkuu mimi nilikua mtumiaji wa android juzi nimeletewa iPhone 7 zawadi toka USA ila suzano kama nitaweza tumia android tena
 
iPhone ni simu za nchi zilizoendelea si kweli sema huwezi kununua tu [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hii habari ya kuwa app zilizoko kwenye android kwenye iOS unalipia uwa ni uongo mtakatifu na watu uwa wanauamini tu. Apps za bure android na iPhone ni za bure tu kudownload
Sahihi kabisa sema MTU ukiwa huna hela ya kununua unatafuta sababu
 
Si kweli kama umeishi USA huwezi kuongea haya
Ukweli ni upi? Ukweli utabaki pale pale kama wewe si mpenzi wa customization, Iphone ni simu bomba ila kama wewe unataka kutumia simu kwa 80%+ android ni chaguo sahihi. Nafaka

Halafu kuhusu Iphone kutumiwa na wazee mambele hili hata sio la kubisha kafanye tafiti mzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…