Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaitwa kina naniHawa niwakubwa sana wanafanyaga review ya kila aina ya simu, jamaa wapo deep..nikitakaga kununua simu naendaga kuangalia review zao
Arun Maini na Marcus BrownleeWanaitwa kina nani
wameshafikia lengo hao wapuuzi,ilikuwa watengeneze majina waanze kutumika kumunipulate mawazo ya watu.Nenda mtandaoni kaangalie mjadala unaoendelea kuhusu huyo Mrwhosetheboss na Mkbhd. Wapuuzi wanaonyesha mapenzi ya waziwazi mpaka wamelikoroga kwenye mjadala wao wa mwisho wa Ios vs Android.
Kama unatumia reviews kununua simu ni mara 100 ukawatumia small youtubers, wakubwa wapo kwenye payroll ya makampuni makubwa.
Wanakwambia Iphone 13 PM anaongoza kwa picha kali wakati alishindwa na s21 ultra na Pixel 6p achia mbali hizi vivo x80 pro,S22ultra na Xiaomi 12 pro za mwaka huu.wameshafikia lengo hao wapuuzi,ilikuwa watengeneze majina waanze kutumika kumunipulate mawazo ya watu.
mtu anaulizwa kwanini mpaka saa hizi una samsung ya mwaka uliopita??anajibu sababu kuna feature nazikosa kwenye s22!!!ujue apple wana hela na linapokuja swala la ushindani kutoa vitu vipya wanajua ni kwa namna gani wanapuyanga,wanaanza kiwatumia hawa jamaa.
kwamba samsung ana 1/12 dhidi ya apple,upuuzi.
wanadhani watadanganya watu milele,wanakuwa kama ijustine,watu baada ya kuona ana ukuzi mwingi kwa apple wanampotezea.Wanakwambia Iphone 13 PM anaongoza kwa picha kali wakati alishindwa na s21 ultra na Pixel 6p achia mbali hizi vivo x80 pro,S22ultra na Xiaomi 12 pro za mwaka huu.
Wanakwambia display ya Iphone ni bora zaidi. Hapa ndio niliishiwa pozi.
Wanakwambia Iphone ni bora kuliko gaming phone za android kama Blackshark na Rog.
Hao jamaa siku hizi nawaona kituko, watawashika wakuwashika ila sio mtu mwenye akili timamu.
Ijustine kumbe yupo maana nilishampuuza kitambo. Kuna na hao Dxomark huwa wananifurahisha sana rating zao yani wanaonyesha wazi bahasha za khaki wamezipokea.wanadhani watadanganya watu milele,wanakuwa kama ijustine,watu baada ya kuona ana ukuzi mwingi kwa apple wanampotezea.
washakunja mlungula wa kutosha wanasubiri samsung ajipapase nayeye.
😅😅😅 hao kweli wamepinda.Ijustine kumbe yupo maana nilishampuuza kitambo. Kuna na hao Dxomark huwa wananifurahisha sana rating zao yani wanaonyesha wazi bahasha za khaki wamezipokea.
Demu yupi huyo😅😅😅 hao kweli wamepinda.
yupo yule demu na utoto mwiiingi kwenye kazi za watu.
Ijustine sijawahi kuangalia reviews zake zake ila comments nazosomaga mtandaoni ilipelekea nisitamani hata kumuangalia....kuna video flani supersaf huwa anatengeneza mwishoni mwa mwaka za simu bora ya mwaka huo ambayo huwa anashirikisha youtubers wengi, ijustine always imu yake ni apple[emoji38]wanadhani watadanganya watu milele,wanakuwa kama ijustine,watu baada ya kuona ana ukuzi mwingi kwa apple wanampotezea.
washakunja mlungula wa kutosha wanasubiri samsung ajipapase nayeye.
wameshafikia lengo hao wapuuzi,ilikuwa watengeneze majina waanze kutumika kumunipulate mawazo ya watu.
mtu anaulizwa kwanini mpaka saa hizi una samsung ya mwaka uliopita??anajibu sababu kuna feature nazikosa kwenye s22!!!ujue apple wana hela na linapokuja swala la ushindani kutoa vitu vipya wanajua ni kwa namna gani wanapuyanga,wanaanza kiwatumia hawa jamaa.
kwamba samsung ana 1/12 dhidi ya apple,upuuzi.
ndio maama MKB akakwambia mwanzo kama utataja samsung kwenye android bas ataipa s22 ultra point nyingi,ila android kwa ujumla hapana.Android Vs Apple Sio Samsung
vibinti vinavyomiliki izo iphone uwa vinanata sana kisa vinamiiki iphone.
navipiga pipe mpaka vinajamba na iphone yake inashuhudia.
google OS ni la kipuuzi maana hata kwenye masimu yao bado hakuna kitu linafanya cha maana.iPhone Vs Android [emoji848][emoji848] maana yake uchukue iPhone moja uilinganishe na simu za Android kibao (uokoteze best features za kila simu ya Android ndo ulinganishe na iPhone moja )
Ulinganifu sahihi ulitakiwa uwe Android Vs iOS
Android kukosa ecosystem na optimization ni drawback kubwa mno na hawana namna . Katika kurahisisha Kazi ecosystem bila hustle na multiple logins ni jambo muhimu sana Apple anawapiga wenzake . Nimeangalia hiyo interview ambayo wengi mnalalamikia, interview ime base kwenye hayo mambo mawili (optimization na ecosystem) kitu ambacho mtumiaji anataka. Nishawahi kusema hapa hata developers wanapenda iOS maana i easy ku take advantage ya hardware na ku optimize accordingly na hii imeanza zamani hata application za google wenyewe zinafanya kazi vizuri kwenye iOS kuliko kwenye android maana ni ngumu Sana au impossible kutengeneza app iweze ku fit vizuri na ku take advantage ya kila hardware kwenye kila Android phones maana ziko kibao (thousands kama si millions)
Ecosystem:
Apple ana simu iPad tablet na macOS (pc) hivi vitu vitatu vikikutana mtumiaji habanduki, why they work better tena chini ya mwavuli mmoja hata kuzi care ni easy sana
Ukirudi upande wa windows hana tablet na hana simu Kwa hiyo hapa ecosystem ni changamoto. Nasema window hana tablet maana tablet zake ni computer kamili siwezi kuzitofautisha surface na laptops ya kawaida ni kitu kile kile ,Os ile ile software zile zile tofauti ni size tu, walijaribu kuja na windows RT ambayo ingekaa kwenye tablet lakini Kwa sababu mbalimbali ikafeli wakaendelea na windows 10 na sasa 11
Njoo kwenye Android wao pia wana simu tu hawana tablet wala computer . Nasema hawana tablet Kwa sababu tablet zao ni ile ile simu ikiwa stretched up kwenye screen kubwa. Hili linawafanya wateja wakitaka ku switch from one device to another basi kuwepo na either third part app au multiple logins (ni tatizo kubwa hili) mtu wa Android ofisini anatumia windows laptop (how do they connect ) na kama ziki connect haziwezi kuwa perfect maana hizi ni product mbili tofauti. Upande wa Apple ? Easy unapigiwa simu inaitia kwenye pc na unapokea, imessage unajibu popote pale ulipo hata wifi password ukiweka kwenye kifaa kimoja automatically unaikuta kifaa kingine maana iCloud ni ile ile .
Kuna huu ubishi wa battery, megapixel sijui wide camera , storage size etc These things don’t matter anymore katika hii industry, Kwa nini ? Kwanza everyone can do hata oppo wanaweza weka megapixel kubwa tu na battery kubwa Kwa hiyo they no longer make any difference na si vitu mteja atakimbilia Kwa sasa. Umeme upo kila mahali kwenye magari nyumba public transport etc yan access ni kubwa kiasi kwamba Kwa simu inayokaa na charge at least masaa nane inatosha kabisa. Tunakoelekea haya mambo ya battery kubwa, storage n.k hayana issue tena nilishawahi kudokeza huko nyuma hizi mem card hazina Issue sana (watu wa Samsung wakabishana mno) look where we are ? Nani anaongelea mem card ? Mambo ya sijui foldable smartphones hayana Issue tena, zilikuwa gimmicks tu za Samsung na huawei kujaribu kuwahadaa wateja na tulibishana sana watu wakashupaza shingo (Haya niambieni hizo foldable ziko wapi zinaendeleaje huko ziliko ?)
Kampuni kama Samsung Kwa sasa upande wa smartphones wanajikita kwenye project za Apple sana maana zinawalipa mno (they know hawauzi high end kama zamani -nishawahi Tabiri hili jambo hapa )
Intel wao walikuwa na department kabisa (workgroup) special kwa ajiri ya Apple inc kabla ya hii M1 kuja. Sina uhakika sana ila naamini hii samsung watakuwa nayo maana wamekuwa wazalishaji wazuri wa Apple LCD’s (screens) na baadhi ya processors pia kipindi cha nyuma. Waliosoma procurement wanajua umuhimu wa hii kitu. Hapa sijataja Accesories makers hawa wanaipenda Apple kama nini yaan maana model mbili tu za iPhone zinauza zaidi ya 100M units. Sasa hamna mtu mjinga ajikite kutengeneza accesory Kwa ajiri ya simu inauza unit mil 10 aache ku focus kwenye 100+ millions (Kwa data zilizopo iPhone 12 models zimeuza karibia au zaidi ya iPhone 6 models ) hili ni soko kubwa Kwa accessory makers
Katika dunia ya sasa iliyojaa kila aina ya gadget , What matters Kwa sasa ni hiyo ecosystem (easy access) na perfectly working apps . Watu hawataki tena chaos .
google OS ni la kipuuzi maana hata kwenye masimu yao bado hakuna kitu linafanya cha maana.
angalia ONE UI inavyokaa kijanja.
nimetumia tizen ilikuwa samsung z2.ikiwa na 1gb ram kama ningeipambanisha na simu ya apple basi matokeo yangekuwa tofauti by far na sasa.One UI ni more of luncher kuliko OS kamili, ni namna nzuri kujaribu kuipa utofauti Android kwenye simu zake lakini tangu Samsung a freeze project yake ya Tzen kwenye mobile platform ilionesha kabisa nguvu ya android ilikuwa kubwa akaona hawezi kutoboa .
Unahitaji courage ya hali ya juu sana kuja na os mpya sasa hivi, may be in the future watarudi.
iPhone Vs Android [emoji848][emoji848] maana yake uchukue iPhone moja uilinganishe na simu za Android kibao (uokoteze best features za kila simu ya Android ndo ulinganishe na iPhone moja )
Ulinganifu sahihi ulitakiwa uwe Android Vs iOS
Android kukosa ecosystem na optimization ni drawback kubwa mno na hawana namna . Katika kurahisisha Kazi ecosystem bila hustle na multiple logins ni jambo muhimu sana Apple anawapiga wenzake . Nimeangalia hiyo interview ambayo wengi mnalalamikia, interview ime base kwenye hayo mambo mawili (optimization na ecosystem) kitu ambacho mtumiaji anataka. Nishawahi kusema hapa hata developers wanapenda iOS maana i easy ku take advantage ya hardware na ku optimize accordingly na hii imeanza zamani hata application za google wenyewe zinafanya kazi vizuri kwenye iOS kuliko kwenye android maana ni ngumu Sana au impossible kutengeneza app iweze ku fit vizuri na ku take advantage ya kila hardware kwenye kila Android phones maana ziko kibao (thousands kama si millions)
Ecosystem:
Apple ana simu iPad tablet na macOS (pc) hivi vitu vitatu vikikutana mtumiaji habanduki, why they work better tena chini ya mwavuli mmoja hata kuzi care ni easy sana
Ukirudi upande wa windows hana tablet na hana simu Kwa hiyo hapa ecosystem ni changamoto. Nasema window hana tablet maana tablet zake ni computer kamili siwezi kuzitofautisha surface na laptops ya kawaida ni kitu kile kile ,Os ile ile software zile zile tofauti ni size tu, walijaribu kuja na windows RT ambayo ingekaa kwenye tablet lakini Kwa sababu mbalimbali ikafeli wakaendelea na windows 10 na sasa 11
Njoo kwenye Android wao pia wana simu tu hawana tablet wala computer . Nasema hawana tablet Kwa sababu tablet zao ni ile ile simu ikiwa stretched up kwenye screen kubwa. Hili linawafanya wateja wakitaka ku switch from one device to another basi kuwepo na either third part app au multiple logins (ni tatizo kubwa hili) mtu wa Android ofisini anatumia windows laptop (how do they connect ) na kama ziki connect haziwezi kuwa perfect maana hizi ni product mbili tofauti. Upande wa Apple ? Easy unapigiwa simu inaitia kwenye pc na unapokea, imessage unajibu popote pale ulipo hata wifi password ukiweka kwenye kifaa kimoja automatically unaikuta kifaa kingine maana iCloud ni ile ile .
Kuna huu ubishi wa battery, megapixel sijui wide camera , storage size etc These things don’t matter anymore katika hii industry, Kwa nini ? Kwanza everyone can do hata oppo wanaweza weka megapixel kubwa tu na battery kubwa Kwa hiyo they no longer make any difference na si vitu mteja atakimbilia Kwa sasa. Umeme upo kila mahali kwenye magari nyumba public transport etc yan access ni kubwa kiasi kwamba Kwa simu inayokaa na charge at least masaa nane inatosha kabisa. Tunakoelekea haya mambo ya battery kubwa, storage n.k hayana issue tena nilishawahi kudokeza huko nyuma hizi mem card hazina Issue sana (watu wa Samsung wakabishana mno) look where we are ? Nani anaongelea mem card ? Mambo ya sijui foldable smartphones hayana Issue tena, zilikuwa gimmicks tu za Samsung na huawei kujaribu kuwahadaa wateja na tulibishana sana watu wakashupaza shingo (Haya niambieni hizo foldable ziko wapi zinaendeleaje huko ziliko ?)
Kampuni kama Samsung Kwa sasa upande wa smartphones wanajikita kwenye project za Apple sana maana zinawalipa mno (they know hawauzi high end kama zamani -nishawahi Tabiri hili jambo hapa )
Intel wao walikuwa na department kabisa (workgroup) special kwa ajiri ya Apple inc kabla ya hii M1 kuja. Sina uhakika sana ila naamini hii samsung watakuwa nayo maana wamekuwa wazalishaji wazuri wa Apple LCD’s (screens) na baadhi ya processors pia kipindi cha nyuma. Waliosoma procurement wanajua umuhimu wa hii kitu. Hapa sijataja Accesories makers hawa wanaipenda Apple kama nini yaan maana model mbili tu za iPhone zinauza zaidi ya 100M units. Sasa hamna mtu mjinga ajikite kutengeneza accesory Kwa ajiri ya simu inauza unit mil 10 aache ku focus kwenye 100+ millions (Kwa data zilizopo iPhone 12 models zimeuza karibia au zaidi ya iPhone 6 models ) hili ni soko kubwa Kwa accessory makers
Katika dunia ya sasa iliyojaa kila aina ya gadget , What matters Kwa sasa ni hiyo ecosystem (easy access) na perfectly working apps . Watu hawataki tena chaos .
Nan amesema tenzi za rohoni inauzwa appstore?Mfano ni hiyo moja tenzi kwangu ilikua ni bure kwa jamaa ilikua inauzwa ila developer tofauti
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app