Nafunguaje NGO na kupata hela za mradi?

Kabisa mkuu unakuta waanzilishi 7 au watano mmoja tu ndo yuko committed na waxo wengine wapo tu hawana mchango wowote si wa mawazo wala fedha wabahili na wasiopenda kujitoa muda wao kuhakikisha wazo linatekelezeka,kila mmoja yuko busy na yake mzigo unabaki wa mtu mmoja tu aliyenzisha wazo lazima NGO itetereke ..
 
Kabisa, kuendesha NGO ni rahisi sana kama una malengo ya dhati plus passion ya unachotaka kufanya. Hapo ndipo linapokuja suala la innovation, ukitaka kuishi kwenye NGO lazima uwe mbunifu
 
Tapeli huyo anataka kujua jina la NGO yako ili wakora waipige nyundo? Kama ambavyo umeelezea, maisha katika sekta ya NGOs ni rahisi sana kama mtu anajua nini cha kufanya na namna ya kukifanya
 
Unataka kuijua NGO yangu ili iweje? Kwa akili yako unadhani naweza kushare taarifa zangu binafsi hapa kwa manufaa yako?
Kwa kifupi NGO yangu inafanya kazi na hayo mashirika makubwa kitambo tu (UNDP, USADF, PEPFAR, Baadhi ya balozi, na oktoba/novemba hii nitakuwa na USAID Tanzania). Nilianza kupata funds kutoka US Embassy miezi 2 tu baada ya kusajili hiyo NGO
 
Hiyo fomu ya USAID mwaka Jana mm nimejaza mwemyew na inataka mjaze majina ya watu watatu na uwezo wao na wanaakt kama nani hapo kwenye NGO.

Pepfar uliweka Nini na Nini wakati unaomba fund?
Ndio maana nimekuambia HUJUI KITU kuhusu namna NGOs zinavyofanya kazi zao na jinsi ya kupata funds, ngoja tukupe shule wazoefu.

Kwanza unatakiwa ujue US Embassy DSM kila mwaka anatoa aina 3 za calls for proposals; (1) Community grants (Ambassador Self Special Help) - bajeti yake ni USD 1,000 hadi USD 10,000; (2) PEPFAR - bajeti yake ni USD 5,000 hadi USD 25,000; na (3) Public Democracy Small Grants (PD Small Grants) - bajeti yake ni hadi USD 25,000

Pili unapojaza fomu yao ya maombi ni lazima uwe na majina ya timu yako ya mradi (Project Management Team), kama vile Project Coordinator; Accountant; Monitoring, Evaluation & Learning (MEL) Officer n.k.

SIO LAZIMA WAWEPO OFISINI, unahitaji kuwa na contact details zao tu baasi. Hivyo ndivyo tunavyoendesha NGOs zetu ndugu

Wafadhili wengine wanatoa DAU kubwa zaidi ya hawa US Embassy; UNDP wanatoa USD 50,000; Finnish Embassy wanatoa Euros 85,000; Ubalozi wa Japan wanatoa Japanese Yen 10,000,000 (takribani USD 75,000); USADF wanatoa USD 250,000; USAID wanatoa minimum USD 250,000;Umoja wa Ulaya (EU) wanatoa mabilioni ya pesa, na kadhalika na kadhalika
 
USHAMALIZA KUGUGO TAYARI. JICA MWAKA HUU WAMEFADHIKI ORGANIZATION GANI?
 
KOICA AU EMBASY YA CANADA MWAKA HUU WAMETOA CALL LINI?
 
Sio kweli. Hii ni scam kama scam nyingine. Siwez kubisha na gugo mm. Usieleze nadharia. EMBASY umezitaja nyingi sana, screenshot call for Proposal moja tu ya miaka hii miwili kutoka JICA. USAID Kama wana call nyingine nje ya hiyo iweke hapa. Yani we ututishe hapa NGO yako Ina miez miwili imepewa fund labda nabishana na jakaya kikwete
 
Wakuu anaetaka kufungua NGO afungue tu.. lakini fund hairoki kama anavyotaka Rashidi Jololo . Huyu ni scammer kuweni nae makini. Hana NGO yoyote anayomiliki na anatumia gugo kusachi. NSA zote zinajua fund inatolewaje na NSA Zina umoja wa updates...

Ngo iliyoweza kufungulia n bkupat fund wiki hiyohiyo Tanzania hii ni ya jakaya tu
 
Kuna sehemu nimetaja JICA? Hata kuandika Embassy hujui, mimi nimetaja balozi mbali mbali ikiwemo Embassy of Japan. Kuna "on going call for proposals, angalia hapo chini nimekuwekea. Hujui hata tofauti ya JICA na Embassy of Japan?

US Embassy wanatoa funds kwa NGO hata kama imesajiliwa leo, unatakiwa kuwa na wazo la kibunifu tu

Tatizo lako wewe HUJUI KITU na hutaki kujua kama hujui
 

Attachments

Wakuu anaetaka kufungua NGO afungue tu.. lakini fund hairoki kama anavyotaka Rashidi Jololo . Huyu ni scammer kuweni nae makini. Hana NGO yoyote anayomiliki na anatumia gugo kusachi. NSA zote zinajua fund inatolewaje na NSA Zina umoja wa updates...
Mm sijajua shida yako nn mpaka umuite mtu scammer.Anyway nachokiona hapa ni uharibifu tu wa mjadala.Aliyeuliza swali anahitaji abcs.Ww unataka unachosema wewe ndo kiwe final ilhali mjadala unavo3nda watu wanapata baadhi ya hints.Mm nafikiri Ukijikita katika kuweka facts,changamoto na kuhakikisha midabwada na midebwede inapungua utasaidia zaidi kuliko kuita mtu scamme5
 
Mbona kuna watu mnabishana wakati wote mmezungumzia kitu kimoja katika engo tofauti tofauti. Mmoja amezunguzia the broader way wengine mmezungumzia narrow ways. Yaani ni kama mtu aseme not only but also…..

Mi sitaki kuandika leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…