EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
wameshakutonya NGO inalipa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa mkuu unakuta waanzilishi 7 au watano mmoja tu ndo yuko committed na waxo wengine wapo tu hawana mchango wowote si wa mawazo wala fedha wabahili na wasiopenda kujitoa muda wao kuhakikisha wazo linatekelezeka,kila mmoja yuko busy na yake mzigo unabaki wa mtu mmoja tu aliyenzisha wazo lazima NGO itetereke ..Hapana mkuu wala sijatishwa na mtu.Katika kutafuta Funds kuna Njia nyingi na hiyo ya ku respond to Calls for Proposal ni Moja na mara nyingi ni very competitive kwa sababu zinakuwa zinafanyika kwa mchujo,deadline ni fupi na pia kiasi cha pesa kinachotolewa kinakuwa ni fixed kikiwa ni lengo maalum.
Hata hivyo katika kufanya Fundraing kuna approaches nyingi sana ambazo unaweza kuzitumia cha msingi ni kuhakikisha kwamba unakuwa na MIX nzuri ya Strategy na unafanya Networking ya kutosha na cha muhimu zaidi ni kuhakikisha kile ambacho unafanya una passion nacho.
Tatizo la NGO nyingi zilizofeli ni zile ambazo watu wanaanzisha bila kuwa na passion na kile wanachofanya.Wanaanzisha kwa sababu wanasikia au kuona NGO zinapata PESA wanafikiri ni RAHISI.Wasichokijua ni kwamba NGO industry ni BUSINESS kama BUSINESS nyingine na zina ushindani na changamoto za kila namna.Cha muhimu ni kuelewa Strategically ni nini unataka kufanya,kwa nini unataka kukifanya na zaidi ni kuhakikisha kwamba unafanya utafiti wa kina na kuwa tayari wakati wote kutumia fursa ambazo zinajitokeza.
Mkuu toa shule hapa kidogo kwa manufaa ya wengiUt
Festival Uongo ntakudanganya ila kuanzisha taasisi ambayo wazungu na watu kutoka nje ndo watakuwa wageni wako daily ndo naweza kukufanyia
Kabisa, kuendesha NGO ni rahisi sana kama una malengo ya dhati plus passion ya unachotaka kufanya. Hapo ndipo linapokuja suala la innovation, ukitaka kuishi kwenye NGO lazima uwe mbunifuHapana mkuu wala sijatishwa na mtu.Katika kutafuta Funds kuna Njia nyingi na hiyo ya ku respond to Calls for Proposal ni Moja na mara nyingi ni very competitive kwa sababu zinakuwa zinafanyika kwa mchujo,deadline ni fupi na pia kiasi cha pesa kinachotolewa kinakuwa ni fixed kikiwa ni lengo maalum.
Hata hivyo katika kufanya Fundraing kuna approaches nyingi sana ambazo unaweza kuzitumia cha msingi ni kuhakikisha kwamba unakuwa na MIX nzuri ya Strategy na unafanya Networking ya kutosha na cha muhimu zaidi ni kuhakikisha kile ambacho unafanya una passion nacho.
Tatizo la NGO nyingi zilizofeli ni zile ambazo watu wanaanzisha bila kuwa na passion na kile wanachofanya.Wanaanzisha kwa sababu wanasikia au kuona NGO zinapata PESA wanafikiri ni RAHISI.Wasichokijua ni kwamba NGO industry ni BUSINESS kama BUSINESS nyingine na zina ushindani na changamoto za kila namna.Cha muhimu ni kuelewa Strategically ni nini unataka kufanya,kwa nini unataka kukifanya na zaidi ni kuhakikisha kwamba unafanya utafiti wa kina na kuwa tayari wakati wote kutumia fursa ambazo zinajitokeza.
Tapeli huyo anataka kujua jina la NGO yako ili wakora waipige nyundo? Kama ambavyo umeelezea, maisha katika sekta ya NGOs ni rahisi sana kama mtu anajua nini cha kufanya na namna ya kukifanyaDah,Mkuu,so natakiwa nikupe Jina la NGO,Ofisi ilipo uje ututembelee Just to Prove a JF discussion to you?OK iko hivi kwanza SINA NGO yangu,I work with multiple NGOs.Pili hata kama ningekuwa na NGO sidhani kama ningeshare approaches zangu zote hapa JUST like that.
Ila kwa sababu ya kuelimishana nitakujulisha yafuatayo:
Kwanza kuna NGOs au TRUSTS ambazo zinajihusisha na kutafuta FUNDS kwa ajili ya NGOS.Yaani wenyewe wanatafut Donors na kusimamia Funds za Donor na kuzitolea Taarifa kwa Donors na wao wanachukua Taarifa kutoka kwa hiz Final CBOs na NGOs.
Pili kuna sector specific Funders ambao wao wanalenga Funding kwa ajili ya Sector fulani TU mfano,Afya tena with specific area,Education,Environment etc
Tatu kuna Corporate Donors ambao wengi wanaweza fall katika eneo la CSR and Philantropy.
Sasa ukitazama hapo utaona kwamba nje ya hizo Call for Proposal kuna POOL kubwa sana ya FUNDERS ambayo unaweza kuitumia cha muhimu ni kuhakikisha kuwa NGO yako ina STRATEGIC ALIGNMENT na TRACK RECORD nzuri itakayowezesha NGO yako kupata PESA.Kufikia hapo inahitaji JITIHADA zaidi ya KUSAJILI tu NGO.
Unahitaji KUJUA nini UNAFANYA na UNAKIFANYAJE.
Nafikiri kama uko makini kuna kitu umekipata hapa.
Unataka kuijua NGO yangu ili iweje? Kwa akili yako unadhani naweza kushare taarifa zangu binafsi hapa kwa manufaa yako?Tuma picha ya kazi zako hapa tuone kama kweli unanufaik na concept paper tu. Mambo yamebadilika sana wakuu Kuna mradi umefungiwa naufaham pale mikochen na hela zilishatolewa. Watu walikuwa wananunua kesi.. siku hiz Kuna micro management.
Fund ya USAID kwa mwaka ni mwezi wa pili. Na waliyepata mwaka huu wanajulikana. Wew imepata fund kwa call Gani?
Ndio maana nimekuambia HUJUI KITU kuhusu namna NGOs zinavyofanya kazi zao na jinsi ya kupata funds, ngoja tukupe shule wazoefu.Hiyo fomu ya USAID mwaka Jana mm nimejaza mwemyew na inataka mjaze majina ya watu watatu na uwezo wao na wanaakt kama nani hapo kwenye NGO.
Pepfar uliweka Nini na Nini wakati unaomba fund?
Sio kweli, sio hivyo na sio rahisi hivyo.Hao wazungu ukiwaambia unataka kuanzisha NGO ya kuhamasisha ushoga utawapata wengi wa kujiunga nawe.
Wazungu hawatatulia mpaka wote muwe wanachama.
Utanifutaje ikiwa kila mwaka nawasilisha elfu 50 yako ya ada chap chap? HahahaaNyie fungueni tu tukiona kimya tuna wapiga pin tu ..tume futa NGO zaidi ya elfu 6000 mwaka jana ...na mwaka huu kabla auja isha tuna futa zingine
USHAMALIZA KUGUGO TAYARI. JICA MWAKA HUU WAMEFADHIKI ORGANIZATION GANI?Ndio maana nimekuambia HUJUI KITU kuhusu namna NGOs zinavyofanya kazi zao na jinsi ya kupata funds, ngoja tukupe shule wazoefu.
Kwanza unatakiwa ujue US Embassy DSM kila mwaka anatoa aina 3 za calls for proposals; (1) Community grants (Ambassador Self Special Help) - bajeti yake ni USD 1,000 hadi USD 10,000; (2) PEPFAR - bajeti yake ni USD 5,000 hadi USD 25,000; na (3) Public Democracy Small Grants (PD Small Grants) - bajeti yake ni hadi USD 25,000
Pili unapojaza fomu yao ya maombi ni lazima uwe na majina ya timu yako ya mradi (Project Management Team), kama vile Project Coordinator; Accountant; Monitoring, Evaluation & Learning (MEL) Officer n.k.
SIO LAZIMA WAWEPO OFISINI, unahitaji kuwa na contact details zao tu baasi. Hivyo ndivyo tunavyoendesha NGOs zetu ndugu
Wafadhili wengine wanatoa DAU kubwa zaidi ya hawa US Embassy; UNDP wanatoa USD 50,000; Finnish Embassy wanatoa Euros 85,000; Ubalozi wa Japan wanatoa Japanese Yen 10,000,000 (takribani USD 75,000); USADF wanatoa USD 250,000; USAID wanatoa minimum USD 250,000;Umoja wa Ulaya (EU) wanatoa mabilioni ya pesa, na kadhalika na kadhalika
KOICA AU EMBASY YA CANADA MWAKA HUU WAMETOA CALL LINI?Ndio maana nimekuambia HUJUI KITU kuhusu namna NGOs zinavyofanya kazi zao na jinsi ya kupata funds, ngoja tukupe shule wazoefu.
Kwanza unatakiwa ujue US Embassy DSM kila mwaka anatoa aina 3 za calls for proposals; (1) Community grants (Ambassador Self Special Help) - bajeti yake ni USD 1,000 hadi USD 10,000; (2) PEPFAR - bajeti yake ni USD 5,000 hadi USD 25,000; na (3) Public Democracy Small Grants (PD Small Grants) - bajeti yake ni hadi USD 25,000
Pili unapojaza fomu yao ya maombi ni lazima uwe na majina ya timu yako ya mradi (Project Management Team), kama vile Project Coordinator; Accountant; Monitoring, Evaluation & Learning (MEL) Officer n.k.
SIO LAZIMA WAWEPO OFISINI, unahitaji kuwa na contact details zao tu baasi. Hivyo ndivyo tunavyoendesha NGOs zetu ndugu
Wafadhili wengine wanatoa DAU kubwa zaidi ya hawa US Embassy; UNDP wanatoa USD 50,000; Finnish Embassy wanatoa Euros 85,000; Ubalozi wa Japan wanatoa Japanese Yen 10,000,000 (takribani USD 75,000); USADF wanatoa USD 250,000; USAID wanatoa minimum USD 250,000;Umoja wa Ulaya (EU) wanatoa mabilioni ya pesa, na kadhalika na kadhalika
Sio kweli. Hii ni scam kama scam nyingine. Siwez kubisha na gugo mm. Usieleze nadharia. EMBASY umezitaja nyingi sana, screenshot call for Proposal moja tu ya miaka hii miwili kutoka JICA. USAID Kama wana call nyingine nje ya hiyo iweke hapa. Yani we ututishe hapa NGO yako Ina miez miwili imepewa fund labda nabishana na jakaya kikweteUnataka kuijua NGO yangu ili iweje? Kwa akili yako unadhani naweza kushare taarifa zangu binafsi hapa kwa manufaa yako?
Kwa kifupi NGO yangu inafanya kazi na hayo mashirika makubwa kitambo tu (UNDP, USADF, PEPFAR, Baadhi ya balozi, na oktoba/novemba hii nitakuwa na USAID Tanzania). Nilianza kupata funds kutoka US Embassy miezi 2 tu baada ya kusajili hiyo NGO
Kuna sehemu nimetaja JICA? Hata kuandika Embassy hujui, mimi nimetaja balozi mbali mbali ikiwemo Embassy of Japan. Kuna "on going call for proposals, angalia hapo chini nimekuwekea. Hujui hata tofauti ya JICA na Embassy of Japan?Sio kweli. Hii ni scam kama scam nyingine. Siwez kubisha na gugo mm. Usieleze nadharia. EMBASY umezitaja nyingi sana, screenshot call for Proposal moja tu ya miaka hii miwili kutoka JICA. USAID Kama wana call nyingine nje ya hiyo iweke hapa. Yani we ututishe hapa NGO yako Ina miez miwili imepewa fund labda nabishana na jakaya kikwete
Mm sijajua shida yako nn mpaka umuite mtu scammer.Anyway nachokiona hapa ni uharibifu tu wa mjadala.Aliyeuliza swali anahitaji abcs.Ww unataka unachosema wewe ndo kiwe final ilhali mjadala unavo3nda watu wanapata baadhi ya hints.Mm nafikiri Ukijikita katika kuweka facts,changamoto na kuhakikisha midabwada na midebwede inapungua utasaidia zaidi kuliko kuita mtu scamme5Wakuu anaetaka kufungua NGO afungue tu.. lakini fund hairoki kama anavyotaka Rashidi Jololo . Huyu ni scammer kuweni nae makini. Hana NGO yoyote anayomiliki na anatumia gugo kusachi. NSA zote zinajua fund inatolewaje na NSA Zina umoja wa updates...
HUJUI KITU WEWE, sibishani na wewe tenaKOICA AU EMBASY YA CANADA MWAKA HUU WAMETOA CALL LINI?
Utaangukia pua kwenye kupata usajili locallyWe support machoko tu na wasagaji uone... miezi sita tu ofisi umehamishia Masaki na wewe umeajiri watu unawalipa 6M per month 😀👍🏾