Nafuta mume ambaye hatoomba ngono kabla ya ndoa

Nafuta mume ambaye hatoomba ngono kabla ya ndoa

Makeya Mranzi

Member
Joined
Aug 15, 2020
Posts
93
Reaction score
122
Habari mimi ni msichana wa miaka 21 natafuta mchumba ambaye atakuwa tayari kuwa na mahusiano na mimi bila sex hadi ndoa.

Elimu: Chuo mwaka wa pili. Nachukua degree ya special education.
Dini: Muislamu .
Muonekano: Mwili wa wastani mweusi.
Situmii kilevi chochote.

SIFA ZA NIMTAKAE.
Awe muislamu, umri miaka 25 Hadi 30. Awe na kazi . Elimu kidato cha nne nakuendelea Ila ni vizuri zaidi akiwa amefika chuo.

Awe mwembamba, mrefu au wastani rangi yeyote. Mwenye sifa hizo anifate PM.
 
Back
Top Bottom