barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
HaiwezekaniHabar mm ni msichana wa miaka 21 natafuta mchumba ambae atakuwa tayari kuwa na mahusiano na mm bila sex Hadi ndoa.
Elimu: chuo mwaka wa pili. Nachukua degree ya special education.
Dini:muislamu .
Muonekano: mwili wa wastani mweusi.
Situmii kilevi chochote.
SIFA ZA NIMTAKAE.
Awe muislamu, umri miaka 25 Hadi 30. Awe na kazi . Elimu kidato cha nne nakuendelea Ila ni vizuri zaidi akiwa amefika chuo.
Awe mwembamba, mrefu au wastani rangi yeyote. Mwenye sifa hizo anifate pm.