Nafuta mume ambaye hatoomba ngono kabla ya ndoa

Nafuta mume ambaye hatoomba ngono kabla ya ndoa

Kwa sababu ni ndoa ya kiislam hakuna shida, hata kama hamjui kama YALIYOMO YAMO mnaeza oana tu, mikikuta sio mnatalikiana tu.

Ila upande wa pili huku kwenye pingu za maisha nadhani kutest mitambo ni muhimu kwa sababu safari ni ndefu.

Kila la kheri binti.
 
Habar mm ni msichana wa miaka 21 natafuta mchumba ambae atakuwa tayari kuwa na mahusiano na mm bila sex Hadi ndoa.

Elimu: chuo mwaka wa pili. Nachukua degree ya special education.
Dini:muislamu .
Muonekano: mwili wa wastani mweusi.
Situmii kilevi chochote.

SIFA ZA NIMTAKAE.
Awe muislamu, umri miaka 25 Hadi 30. Awe na kazi . Elimu kidato cha nne nakuendelea Ila ni vizuri zaidi akiwa amefika chuo.

Awe mwembamba, mrefu au wastani rangi yeyote. Mwenye sifa hizo anifate pm.

Maliza kwanza chuo uanze kutafta kazi
 
Back
Top Bottom