Nahisi binamu yangu ananitaka kimapenzi

Tu
Tulishakubaliana kuwa binamu nyama ya hamu...butua mzee
 
Uko na picha ya Binamu tuone
 
Exactly 👊👊
 
Ndiyo nakwambia hizo bidhaa unaweza kuta faida mia halafu wewe unahonga [emoji3][emoji3] mwenye duka muda si mrefu atalia
Hapana mi nililikuta duka liko vibaya sana toka nimefika mimi duka limejaa sana na hata Uzi huu ukisoma niligombana na binamu kwasababu ya kutaka kukopeshwa lakini yeye hakuchukua hatua zozote zaidi wadada hua wanajigonga gonga sana apaa uzuri wengine hua wananambia kabisaa biashara kama hii ukiwa kijana afu unawaka waka unapangilia mavazi vizuri hukosi madem wa kujigonga gonga afu uja a piaa lakin hua nawakazia huyu binamu hua namkazia lakin hua simkazii sana upande wa vitafunwa kule faida ni nyingi sana haiwez kua affected na shilingi 100 wadada wananiita mwanaume BAHILI huyu simkaziii sana lakin vitu vya dukan hua sitoi hata kwa discount ya shilingi 100 ila maandazi kwanza hata mwenye nayo ananambia mtu akichukua kuanzia 10 nimpe addition hio haina shida sana
 
Hivyo hivyo utalifikisha
 
Binamu nyama ya hamu.

Kazi kwako
 
nyie ndio mmeua six mwaka huu ee... karibuni kwa mtaa
 
Kazi yangu ya dukani - Dogo Mfaume.
Ngoswe, Penzi kitovu cha uzembe- Edwin Semzaba
 
Acha ufisi dogo. Ushasema ni binamu yako [emoji2955]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…