Lengo la mtoa mada ilikuwa Ni kusifia ila alichokosea Ni uwasilishwaji wake wa mada.Mmekuja na la uraia sasa...!! Mmempambanisha na Kiba, wapi..!! Mmempambanisha Harmonise, lakini wapiii.!!! Sasa mmeanza la uraia...
By the way, BAADHI YENU MNAOJUA KIINGEREZA, inamaana nyie siyo watanzania..!??
Mnavyovaa mavazi yenye muonekano wa nchi zingine, nyie ni wa nchi hizo..!!?
Mnavyocheza masebene kwa kupatia kiasi kile, nyie ni wa Kongo..!!?
Mnavyojua kucheza KIMAKIRIKIRI, nyie ni wa Botswana..!!??
Tafakari...
🤣🤣🤣🤣🤣Ilimradi umsifie tu[emoji3][emoji3]
Watu na bodelangueji zaoUnasifia hadi kupitilizia [emoji23][emoji23][emoji23]
Sio kuangalia tu uwe na kipaji cha kusoma bodelangieji km mtoa mada yaani bodelangueji yake sio ya kibongo ni west kabsaaaaaaNisiwe mnafki sijawahi iangalia hio nyimbo hata kwa sec40 itabidi niiangalie ili nione
Aaaaaaa naomba utulivu screpa hp tunaongelea bodelangueji ya msanii wetu pendwa yaani wewe umeionajeIlimradi umsifie tu[emoji3][emoji3]
Mada yako kiukwel imetuchanganya Kuna vitu vya kudiscuss ila sio hicho ulichoandikaAaaaaaa naomba utulivu screpa hp tunaongelea bodelangueji ya msanii wetu pendwa yaani wewe umeionaje
Kila mtu anasifia anachokipenda . Kwamba anafaidika au atafaidika vipi, yeye mwenyewe ndiye anajua.mwezako lugola anamsifia magu ili apate uwazir afu ww umekomaa kumsifia mondi ohooo labda atakupa nafas ya ubodigadi pale waasafi
Mi hata hiyo bodilangweji naijua basi[emoji3][emoji3]Aaaaaaa naomba utulivu screpa hp tunaongelea bodelangueji ya msanii wetu pendwa yaani wewe umeionaje
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Hivi watu mnawazaga nn lakini
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yan mpaka nimeona aibu, hii obsession aliyonayo kwa domo mmh kitamkuta kitu huyu [emoji16]
[emoji38]yupo tayar kwa lolote juu ya domoYan mpaka nimeona aibu, hii obsession aliyonayo kwa domo mmh kitamkuta kitu huyu [emoji16]
ukiiangalia utakuwa mnafik achana nayo tuNisiwe mnafki sijawahi iangalia hio nyimbo hata kwa sec40 itabidi niiangalie ili nione
ya kule KazuramimbaMbona Alikiba ni mnigeria na yuko kimya