Nahisi hawa wote ni wazazi wa Kambo. Pamoja na kunilea miaka yote, nimekuja kugundua ukubwani

kuzaa mtoto kama wewe ni hasara kubwa sana, nawapa pole wazazi wako. wamehangaika kukuzaa pale kitandani sijui kichakani sijui guest sijui wapi hadi ukapatikana, wakakulisha na kukutunza, wakakusomesha hadi chuo kikuu, lakini bado huna maana yeyote. unahitaji maombi, akili yako haijakaa sawa.
 
Kama huvuti bangi basi siju tatizo lako ni nini. Eti unalinda mali za familia? Wamekuomba au umezitafuta wewe? Mshenzi unataka ulete wanawake zako kwenye nyumba ya baba yako. Kajenge yako. Toka huko katafute maisha yako mpuuzi mkubwa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mzee kisandu uko serious kweli?
 
Hii ni story yenye funzo ndani yake, wale wasiotaka kujishughulisha kutafuta mali zao, wanategemea urithi. Ila ingekua kweli hili likaka tunaita kubwa jinga toka 2007 upo kwa wazazi, nimekuzidi hadi mimi naishi ghetto and paying my bills πŸ˜‚
 
Pambaf kabisa[emoji56]
 
Hammjui Komeo kumbe 🀣🀣🀣
Id ingine ya bill lugano
 
Bangi ya Nkhatabay si nzuri .
 
Jamaa ni comedy sana
Hahahahahahah!!
Umenifurahisha sana usiku kama huu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…