Nahisi hawa wote ni wazazi wa Kambo. Pamoja na kunilea miaka yote, nimekuja kugundua ukubwani

Kadri muda unayosonga akili zinazidi kupungua na kwa sasa zimebaki robo kijiko cha chai.

Ningekua mzazi wako hiyo nyumba ningeigawa kanisani ama msikitini, na hayo magari ningewapa watu kimya kimya kwa makubaliano nikiondoka pmj na mama yako wayachukue.

Huko mbeleni akili ingekaa mahali pake sawasawa.
 
Mimi nina Elimu ya Chuo Kikuu. Nilimaliza mwaka 2003. Nikafanya fanya kazi maeneo kadhaa nikawa naacha wakinizingua. Huwa sipendi kuzinguliwa kazini. So usitegemee utaniajiri halafu ulete za kuleta eti nikuache.

Kama sijakuwamba makofi basi naweza kukupa maneno ambayo hutasahau maishani mwako. So kuna sehemu nafanya mwezi nikiona wanaojiona maboss wanataka kunizoea nawapiga chini nalala mbele.

Sasa ni miaka mitatu sina kazi nakaa kwa mzee... Sisi tupo watoto wanne. Dada wa 2 na wakiume wawili. Mimi ni second born.

Nilirudi kukaa kwa mzee toka mwaka 2007 baada ya kuona nyumba za kupanga zinazingua. Mwenye nyumba unakuta anataka mazoea,analeta shobo hasa akiona sisi wengine mambo safi.

Basi nikawa nakaa home tu nakula nacheck movies na music ili kupunguza mawazo. Wadogo zangu wote washaondoka home na wamejenga wana maisha yao. Mimi hapo nikawaza sasa kama nami nikisema nijenge hii nyumba mzee akifa nani ataitunza. So nikaona nisihangaike na ujenzi ili mimi nitunze hii nyumba.

Sasa naona mzee na mama kama hawajielewi hivi. Naona wame change sana. Wananipigia kelele nikileta mademu hapa home. Sasa wao wanafikiri mimi nitaishije bila kushiriki tendo la mwili? Nimewaletea wajukuu watatu kila mmoja na mama yake. Ili wapate company lakini hawana shukrani.

Wameanza kama unyanyasaji fulani hivi. Mara remotes za TV na DSTV sizioni sebuleni. Mara nakuta wamechomoa nyaya za TV na Decoders. Tabia za kiswahili ambazo hawakuwa nazo.

Sasa hivi hata dada wa nyumbani hawamtumi kuja kuniita chumbani kuwa msosi tayari. Nakuta wanakula au wameshakula. Hawa kweli ni wazazi wangu?

Mzee gari zake funguo anaficha sijui anadhani mimi nitatumia usafiri gani kwenda kutafuta mishe mishe. Gari yangu nimepark sababu engine yake kubwa na yeye ameacha kunipatia pesa ya mafuta. So huwa nategemea kutumia gari ambayo atakuwa ameiacha kwa siku husika akienda kwenye ofisi yake.

Kiukweli nahisi kama kuna hujuma flani nafanyiwa. Mpaka naWaza isije ikawa hawa ni wazazi wa kambo. Maana si kwa kuninyanyasa hivi mtu mzima kama mimi.

Mpaka kufikia kunambia room kwangu nisiwe nafunga na funguo,dada wa kazi wamempiga marufuku asije kusafisha room kwangu. Yaani ni full kero na manyanyaso. Sielewi ni kwa nini wamebadilika kiasi hiki.

Haya mambo yanakwaza sana. Hasa kumfanyia mtu mzima ambaye amejitoa kupigania na kuangalia mali za familia. Wanadhani wakifa kesho nani ataangalia hizi mali ? Je nikiamua nami kususa watamlaumu nani? Haya mambo ndo maana wakati flani watoto wengine wanafanya maamuzi magumu tu.

Sitaki tufike huko. Na leo nataka niongee na mzee nimweleze jambo

C&p

Vijana wa kisasa
 
Asante Mkuu kwa ujumbe....

Mwenye masikio na asikie....

Hapa ndipo maana ya great thinker inapotokea.....

Well done [emoji3578]
 
Kama ni kweli TUNA TATIZO KUBWA SANA KAMA NCHI.

Otherwise, Uandishi mzuri wenye ujumbe makini, umevaa ushiriki kwenye story vizuri sana. Tunaweza kuzitumia hizi kufikisha jumbe muhimu kwa jamii.
 
SECOND BORN aliyezaliwa na mama/baba wa kambo
 
Mbona kama wewe ndio dish limeyumba wazee wanajaribu kukurudisha kwenye mstari ila naona huwezi kubadilika wewe tena ningekuwa ndio Mimi nakufukuza na watoto wako. Kwani aliyekuambia wanahitaji mlinzi wa Mali zao nani. Wewe hawataweza kukuachia uridhi walishaona hauna akili
 
Mimi nina Elimu ya Chuo Kikuu. Nilimaliza mwaka 2003. Nikafanya fanya kazi maeneo kadhaa nikawa naacha wakinizingua. Huwa sipendi kuzinguliwa kazini. So usitegemee utaniajiri halafu ulete za kuleta eti nikuache.

Kama sijakuwamba makofi basi naweza kukupa maneno ambayo hutasahau maishani mwako. So kuna sehemu nafanya mwezi nikiona wanaojiona maboss wanataka kunizoea nawapiga chini nalala mbele.

Sasa ni miaka mitatu sina kazi nakaa kwa mzee... Sisi tupo watoto wanne. Dada wa 2 na wakiume wawili. Mimi ni second born.

Nilirudi kukaa kwa mzee toka mwaka 2007 baada ya kuona nyumba za kupanga zinazingua. Mwenye nyumba unakuta anataka mazoea,analeta shobo hasa akiona sisi wengine mambo safi.

Basi nikawa nakaa home tu nakula nacheck movies na music ili kupunguza mawazo. Wadogo zangu wote washaondoka home na wamejenga wana maisha yao. Mimi hapo nikawaza sasa kama nami nikisema nijenge hii nyumba mzee akifa nani ataitunza. So nikaona nisihangaike na ujenzi ili mimi nitunze hii nyumba.

Sasa naona mzee na mama kama hawajielewi hivi. Naona wame change sana. Wananipigia kelele nikileta mademu hapa home. Sasa wao wanafikiri mimi nitaishije bila kushiriki tendo la mwili? Nimewaletea wajukuu watatu kila mmoja na mama yake. Ili wapate company lakini hawana shukrani.

Wameanza kama unyanyasaji fulani hivi. Mara remotes za TV na DSTV sizioni sebuleni. Mara nakuta wamechomoa nyaya za TV na Decoders. Tabia za kiswahili ambazo hawakuwa nazo.

Sasa hivi hata dada wa nyumbani hawamtumi kuja kuniita chumbani kuwa msosi tayari. Nakuta wanakula au wameshakula. Hawa kweli ni wazazi wangu?

Mzee gari zake funguo anaficha sijui anadhani mimi nitatumia usafiri gani kwenda kutafuta mishe mishe. Gari yangu nimepark sababu engine yake kubwa na yeye ameacha kunipatia pesa ya mafuta. So huwa nategemea kutumia gari ambayo atakuwa ameiacha kwa siku husika akienda kwenye ofisi yake.

Kiukweli nahisi kama kuna hujuma flani nafanyiwa. Mpaka naWaza isije ikawa hawa ni wazazi wa kambo. Maana si kwa kuninyanyasa hivi mtu mzima kama mimi.

Mpaka kufikia kunambia room kwangu nisiwe nafunga na funguo,dada wa kazi wamempiga marufuku asije kusafisha room kwangu. Yaani ni full kero na manyanyaso. Sielewi ni kwa nini wamebadilika kiasi hiki.

Haya mambo yanakwaza sana. Hasa kumfanyia mtu mzima ambaye amejitoa kupigania na kuangalia mali za familia. Wanadhani wakifa kesho nani ataangalia hizi mali ? Je nikiamua nami kususa watamlaumu nani? Haya mambo ndo maana wakati flani watoto wengine wanafanya maamuzi magumu tu.

Sitaki tufike huko. Na leo nataka niongee na mzee nimweleze jambo
Hutaki kuzinguliwa ila unataka kuajiriwa. Akili kama akili...kweli kila mtu ana zake. Utoke kwako uje kuniletea ubabe ofisini kwangu....wewe ni nani? 😂 😂 😂 😂 😂
 
Hao wazazi wanakuhujumu. Ili kuwakomoa olewa halafu mumeo aishi hapo hapo, kama wameshindwa kukiheshimu wewe watamuheshimu mume wako.
 
Mimi nina Elimu ya Chuo Kikuu. Nilimaliza mwaka 2003. Nikafanya fanya kazi maeneo kadhaa nikawa naacha wakinizingua. Huwa sipendi kuzinguliwa kazini. So usitegemee utaniajiri halafu ulete za kuleta eti nikuache.

Kama sijakuwamba makofi basi naweza kukupa maneno ambayo hutasahau maishani mwako. So kuna sehemu nafanya mwezi nikiona wanaojiona maboss wanataka kunizoea nawapiga chini nalala mbele.

Sasa ni miaka mitatu sina kazi nakaa kwa mzee... Sisi tupo watoto wanne. Dada wa 2 na wakiume wawili. Mimi ni second born.

Nilirudi kukaa kwa mzee toka mwaka 2007 baada ya kuona nyumba za kupanga zinazingua. Mwenye nyumba unakuta anataka mazoea,analeta shobo hasa akiona sisi wengine mambo safi.

Basi nikawa nakaa home tu nakula nacheck movies na music ili kupunguza mawazo. Wadogo zangu wote washaondoka home na wamejenga wana maisha yao. Mimi hapo nikawaza sasa kama nami nikisema nijenge hii nyumba mzee akifa nani ataitunza. So nikaona nisihangaike na ujenzi ili mimi nitunze hii nyumba.

Sasa naona mzee na mama kama hawajielewi hivi. Naona wame change sana. Wananipigia kelele nikileta mademu hapa home. Sasa wao wanafikiri mimi nitaishije bila kushiriki tendo la mwili? Nimewaletea wajukuu watatu kila mmoja na mama yake. Ili wapate company lakini hawana shukrani.

Wameanza kama unyanyasaji fulani hivi. Mara remotes za TV na DSTV sizioni sebuleni. Mara nakuta wamechomoa nyaya za TV na Decoders. Tabia za kiswahili ambazo hawakuwa nazo.

Sasa hivi hata dada wa nyumbani hawamtumi kuja kuniita chumbani kuwa msosi tayari. Nakuta wanakula au wameshakula. Hawa kweli ni wazazi wangu?

Mzee gari zake funguo anaficha sijui anadhani mimi nitatumia usafiri gani kwenda kutafuta mishe mishe. Gari yangu nimepark sababu engine yake kubwa na yeye ameacha kunipatia pesa ya mafuta. So huwa nategemea kutumia gari ambayo atakuwa ameiacha kwa siku husika akienda kwenye ofisi yake.

Kiukweli nahisi kama kuna hujuma flani nafanyiwa. Mpaka naWaza isije ikawa hawa ni wazazi wa kambo. Maana si kwa kuninyanyasa hivi mtu mzima kama mimi.

Mpaka kufikia kunambia room kwangu nisiwe nafunga na funguo,dada wa kazi wamempiga marufuku asije kusafisha room kwangu. Yaani ni full kero na manyanyaso. Sielewi ni kwa nini wamebadilika kiasi hiki.

Haya mambo yanakwaza sana. Hasa kumfanyia mtu mzima ambaye amejitoa kupigania na kuangalia mali za familia. Wanadhani wakifa kesho nani ataangalia hizi mali ? Je nikiamua nami kususa watamlaumu nani? Haya mambo ndo maana wakati flani watoto wengine wanafanya maamuzi magumu tu.

Sitaki tufike huko. Na leo nataka niongee na mzee nimweleze jambo
Kwa hesabu ya haraka haraka una miaka 44+ sitaki kuamini hayo uliyoandika yana ukweli wowote
 
Vipi kwani? Alimalizaje, alishaelewa kuwa hao siyo wazazi wake au aliishia mental hospital?
 
Back
Top Bottom