RWANTANG
JF-Expert Member
- Dec 28, 2021
- 1,143
- 1,425
Umempa hadhi kubwa mno mkuu mo nilidhani ni wa chekechea tu huyu!Usingeandika muhitimu wa Chuo ningedhania umemaliza form 4 mwaka huu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umempa hadhi kubwa mno mkuu mo nilidhani ni wa chekechea tu huyu!Usingeandika muhitimu wa Chuo ningedhania umemaliza form 4 mwaka huu.
Hii ni chai tu kama chai zingine ili kunogesha hii forumMimi nina Elimu ya Chuo Kikuu. Nilimaliza mwaka 2003. Nikafanya fanya kazi maeneo kadhaa nikawa naacha wakinizingua. Huwa sipendi kuzinguliwa kazini. So usitegemee utaniajiri halafu ulete za kuleta eti nikuache.
Kama sijakuwamba makofi basi naweza kukupa maneno ambayo hutasahau maishani mwako. So kuna sehemu nafanya mwezi nikiona wanaojiona maboss wanataka kunizoea nawapiga chini nalala mbele.
Sasa ni miaka mitatu sina kazi nakaa kwa mzee... Sisi tupo watoto wanne. Dada wa 2 na wakiume wawili. Mimi ni second born.
Nilirudi kukaa kwa mzee toka mwaka 2007 baada ya kuona nyumba za kupanga zinazingua. Mwenye nyumba unakuta anataka mazoea,analeta shobo hasa akiona sisi wengine mambo safi.
Basi nikawa nakaa home tu nakula nacheck movies na music ili kupunguza mawazo. Wadogo zangu wote washaondoka home na wamejenga wana maisha yao. Mimi hapo nikawaza sasa kama nami nikisema nijenge hii nyumba mzee akifa nani ataitunza. So nikaona nisihangaike na ujenzi ili mimi nitunze hii nyumba.
Sasa naona mzee na mama kama hawajielewi hivi. Naona wame change sana. Wananipigia kelele nikileta mademu hapa home. Sasa wao wanafikiri mimi nitaishije bila kushiriki tendo la mwili? Nimewaletea wajukuu watatu kila mmoja na mama yake. Ili wapate company lakini hawana shukrani.
Wameanza kama unyanyasaji fulani hivi. Mara remotes za TV na DSTV sizioni sebuleni. Mara nakuta wamechomoa nyaya za TV na Decoders. Tabia za kiswahili ambazo hawakuwa nazo.
Sasa hivi hata dada wa nyumbani hawamtumi kuja kuniita chumbani kuwa msosi tayari. Nakuta wanakula au wameshakula. Hawa kweli ni wazazi wangu?
Mzee gari zake funguo anaficha sijui anadhani mimi nitatumia usafiri gani kwenda kutafuta mishe mishe. Gari yangu nimepark sababu engine yake kubwa na yeye ameacha kunipatia pesa ya mafuta. So huwa nategemea kutumia gari ambayo atakuwa ameiacha kwa siku husika akienda kwenye ofisi yake.
Kiukweli nahisi kama kuna hujuma flani nafanyiwa. Mpaka naWaza isije ikawa hawa ni wazazi wa kambo. Maana si kwa kuninyanyasa hivi mtu mzima kama mimi.
Mpaka kufikia kunambia room kwangu nisiwe nafunga na funguo,dada wa kazi wamempiga marufuku asije kusafisha room kwangu. Yaani ni full kero na manyanyaso. Sielewi ni kwa nini wamebadilika kiasi hiki.
Haya mambo yanakwaza sana. Hasa kumfanyia mtu mzima ambaye amejitoa kupigania na kuangalia mali za familia. Wanadhani wakifa kesho nani ataangalia hizi mali ? Je nikiamua nami kususa watamlaumu nani? Haya mambo ndo maana wakati flani watoto wengine wanafanya maamuzi magumu tu.
Sitaki tufike huko. Na leo nataka niongee na mzee nimweleze jambo
Wewe si hupendi kuzinguliwa? Ondoka!Mimi nina Elimu ya Chuo Kikuu. Nilimaliza mwaka 2003. Nikafanya fanya kazi maeneo kadhaa nikawa naacha wakinizingua. Huwa sipendi kuzinguliwa kazini. So usitegemee utaniajiri halafu ulete za kuleta eti nikuache.
Kama sijakuwamba makofi basi naweza kukupa maneno ambayo hutasahau maishani mwako. So kuna sehemu nafanya mwezi nikiona wanaojiona maboss wanataka kunizoea nawapiga chini nalala mbele.
Sasa ni miaka mitatu sina kazi nakaa kwa mzee... Sisi tupo watoto wanne. Dada wa 2 na wakiume wawili. Mimi ni second born.
Nilirudi kukaa kwa mzee toka mwaka 2007 baada ya kuona nyumba za kupanga zinazingua. Mwenye nyumba unakuta anataka mazoea,analeta shobo hasa akiona sisi wengine mambo safi.
Basi nikawa nakaa home tu nakula nacheck movies na music ili kupunguza mawazo. Wadogo zangu wote washaondoka home na wamejenga wana maisha yao. Mimi hapo nikawaza sasa kama nami nikisema nijenge hii nyumba mzee akifa nani ataitunza. So nikaona nisihangaike na ujenzi ili mimi nitunze hii nyumba.
Sasa naona mzee na mama kama hawajielewi hivi. Naona wame change sana. Wananipigia kelele nikileta mademu hapa home. Sasa wao wanafikiri mimi nitaishije bila kushiriki tendo la mwili? Nimewaletea wajukuu watatu kila mmoja na mama yake. Ili wapate company lakini hawana shukrani.
Wameanza kama unyanyasaji fulani hivi. Mara remotes za TV na DSTV sizioni sebuleni. Mara nakuta wamechomoa nyaya za TV na Decoders. Tabia za kiswahili ambazo hawakuwa nazo.
Sasa hivi hata dada wa nyumbani hawamtumi kuja kuniita chumbani kuwa msosi tayari. Nakuta wanakula au wameshakula. Hawa kweli ni wazazi wangu?
Mzee gari zake funguo anaficha sijui anadhani mimi nitatumia usafiri gani kwenda kutafuta mishe mishe. Gari yangu nimepark sababu engine yake kubwa na yeye ameacha kunipatia pesa ya mafuta. So huwa nategemea kutumia gari ambayo atakuwa ameiacha kwa siku husika akienda kwenye ofisi yake.
Kiukweli nahisi kama kuna hujuma flani nafanyiwa. Mpaka naWaza isije ikawa hawa ni wazazi wa kambo. Maana si kwa kuninyanyasa hivi mtu mzima kama mimi.
Mpaka kufikia kunambia room kwangu nisiwe nafunga na funguo,dada wa kazi wamempiga marufuku asije kusafisha room kwangu. Yaani ni full kero na manyanyaso. Sielewi ni kwa nini wamebadilika kiasi hiki.
Haya mambo yanakwaza sana. Hasa kumfanyia mtu mzima ambaye amejitoa kupigania na kuangalia mali za familia. Wanadhani wakifa kesho nani ataangalia hizi mali ? Je nikiamua nami kususa watamlaumu nani? Haya mambo ndo maana wakati flani watoto wengine wanafanya maamuzi magumu tu.
Sitaki tufike huko. Na leo nataka niongee na mzee nimweleze jambo
kwa maelezo yako napata shaka na wewe juu hao wazazi wako. kuna jambo la hatari umepanga kulifanya dhidi yao. itabidi udhibitiwe haraka na mapema.Mimi nina Elimu ya Chuo Kikuu. Nilimaliza mwaka 2003. Nikafanya fanya kazi maeneo kadhaa nikawa naacha wakinizingua. Huwa sipendi kuzinguliwa kazini. So usitegemee utaniajiri halafu ulete za kuleta eti nikuache.
Kama sijakuwamba makofi basi naweza kukupa maneno ambayo hutasahau maishani mwako. So kuna sehemu nafanya mwezi nikiona wanaojiona maboss wanataka kunizoea nawapiga chini nalala mbele.
Sasa ni miaka mitatu sina kazi nakaa kwa mzee... Sisi tupo watoto wanne. Dada wa 2 na wakiume wawili. Mimi ni second born.
Nilirudi kukaa kwa mzee toka mwaka 2007 baada ya kuona nyumba za kupanga zinazingua. Mwenye nyumba unakuta anataka mazoea,analeta shobo hasa akiona sisi wengine mambo safi.
Basi nikawa nakaa home tu nakula nacheck movies na music ili kupunguza mawazo. Wadogo zangu wote washaondoka home na wamejenga wana maisha yao. Mimi hapo nikawaza sasa kama nami nikisema nijenge hii nyumba mzee akifa nani ataitunza. So nikaona nisihangaike na ujenzi ili mimi nitunze hii nyumba.
Sasa naona mzee na mama kama hawajielewi hivi. Naona wame change sana. Wananipigia kelele nikileta mademu hapa home. Sasa wao wanafikiri mimi nitaishije bila kushiriki tendo la mwili? Nimewaletea wajukuu watatu kila mmoja na mama yake. Ili wapate company lakini hawana shukrani.
Wameanza kama unyanyasaji fulani hivi. Mara remotes za TV na DSTV sizioni sebuleni. Mara nakuta wamechomoa nyaya za TV na Decoders. Tabia za kiswahili ambazo hawakuwa nazo.
Sasa hivi hata dada wa nyumbani hawamtumi kuja kuniita chumbani kuwa msosi tayari. Nakuta wanakula au wameshakula. Hawa kweli ni wazazi wangu?
Mzee gari zake funguo anaficha sijui anadhani mimi nitatumia usafiri gani kwenda kutafuta mishe mishe. Gari yangu nimepark sababu engine yake kubwa na yeye ameacha kunipatia pesa ya mafuta. So huwa nategemea kutumia gari ambayo atakuwa ameiacha kwa siku husika akienda kwenye ofisi yake.
Kiukweli nahisi kama kuna hujuma flani nafanyiwa. Mpaka naWaza isije ikawa hawa ni wazazi wa kambo. Maana si kwa kuninyanyasa hivi mtu mzima kama mimi.
Mpaka kufikia kunambia room kwangu nisiwe nafunga na funguo,dada wa kazi wamempiga marufuku asije kusafisha room kwangu. Yaani ni full kero na manyanyaso. Sielewi ni kwa nini wamebadilika kiasi hiki.
Haya mambo yanakwaza sana. Hasa kumfanyia mtu mzima ambaye amejitoa kupigania na kuangalia mali za familia. Wanadhani wakifa kesho nani ataangalia hizi mali ? Je nikiamua nami kususa watamlaumu nani? Haya mambo ndo maana wakati flani watoto wengine wanafanya maamuzi magumu tu.
Sitaki tufike huko. Na leo nataka niongee na mzee nimweleze jambo
Nakaa pembeni yako. Tena ni kahawa yenye magadi.[emoji1][emoji2][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji3]hii story haina ukwelu staki kuamini ujue
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Duh mwanafunzi wa chuo huyuMimi nina Elimu ya Chuo Kikuu. Nilimaliza mwaka 2003. Nikafanya fanya kazi maeneo kadhaa nikawa naacha wakinizingua. Huwa sipendi kuzinguliwa kazini. So usitegemee utaniajiri halafu ulete za kuleta eti nikuache.
Kama sijakuwamba makofi basi naweza kukupa maneno ambayo hutasahau maishani mwako. So kuna sehemu nafanya mwezi nikiona wanaojiona maboss wanataka kunizoea nawapiga chini nalala mbele.
Sasa ni miaka mitatu sina kazi nakaa kwa mzee... Sisi tupo watoto wanne. Dada wa 2 na wakiume wawili. Mimi ni second born.
Nilirudi kukaa kwa mzee toka mwaka 2007 baada ya kuona nyumba za kupanga zinazingua. Mwenye nyumba unakuta anataka mazoea,analeta shobo hasa akiona sisi wengine mambo safi.
Basi nikawa nakaa home tu nakula nacheck movies na music ili kupunguza mawazo. Wadogo zangu wote washaondoka home na wamejenga wana maisha yao. Mimi hapo nikawaza sasa kama nami nikisema nijenge hii nyumba mzee akifa nani ataitunza. So nikaona nisihangaike na ujenzi ili mimi nitunze hii nyumba.
Sasa naona mzee na mama kama hawajielewi hivi. Naona wame change sana. Wananipigia kelele nikileta mademu hapa home. Sasa wao wanafikiri mimi nitaishije bila kushiriki tendo la mwili? Nimewaletea wajukuu watatu kila mmoja na mama yake. Ili wapate company lakini hawana shukrani.
Wameanza kama unyanyasaji fulani hivi. Mara remotes za TV na DSTV sizioni sebuleni. Mara nakuta wamechomoa nyaya za TV na Decoders. Tabia za kiswahili ambazo hawakuwa nazo.
Sasa hivi hata dada wa nyumbani hawamtumi kuja kuniita chumbani kuwa msosi tayari. Nakuta wanakula au wameshakula. Hawa kweli ni wazazi wangu?
Mzee gari zake funguo anaficha sijui anadhani mimi nitatumia usafiri gani kwenda kutafuta mishe mishe. Gari yangu nimepark sababu engine yake kubwa na yeye ameacha kunipatia pesa ya mafuta. So huwa nategemea kutumia gari ambayo atakuwa ameiacha kwa siku husika akienda kwenye ofisi yake.
Kiukweli nahisi kama kuna hujuma flani nafanyiwa. Mpaka naWaza isije ikawa hawa ni wazazi wa kambo. Maana si kwa kuninyanyasa hivi mtu mzima kama mimi.
Mpaka kufikia kunambia room kwangu nisiwe nafunga na funguo,dada wa kazi wamempiga marufuku asije kusafisha room kwangu. Yaani ni full kero na manyanyaso. Sielewi ni kwa nini wamebadilika kiasi hiki.
Haya mambo yanakwaza sana. Hasa kumfanyia mtu mzima ambaye amejitoa kupigania na kuangalia mali za familia. Wanadhani wakifa kesho nani ataangalia hizi mali ? Je nikiamua nami kususa watamlaumu nani? Haya mambo ndo maana wakati flani watoto wengine wanafanya maamuzi magumu tu.
Sitaki tufike huko. Na leo nataka niongee na mzee nimweleze jambo
KabisaDu ukiskia kua uyaone ndio haya! mie kumbe bado sijayaona ya dunia!
Si vizuri ganja kulichanganya na mavi ya panya, dishi lazima litayumba.Mimi nina Elimu ya Chuo Kikuu. Nilimaliza mwaka 2003. Nikafanya fanya kazi maeneo kadhaa nikawa naacha wakinizingua. Huwa sipendi kuzinguliwa kazini. So usitegemee utaniajiri halafu ulete za kuleta eti nikuache.
Kama sijakuwamba makofi basi naweza kukupa maneno ambayo hutasahau maishani mwako. So kuna sehemu nafanya mwezi nikiona wanaojiona maboss wanataka kunizoea nawapiga chini nalala mbele.
Sasa ni miaka mitatu sina kazi nakaa kwa mzee... Sisi tupo watoto wanne. Dada wa 2 na wakiume wawili. Mimi ni second born.
Nilirudi kukaa kwa mzee toka mwaka 2007 baada ya kuona nyumba za kupanga zinazingua. Mwenye nyumba unakuta anataka mazoea,analeta shobo hasa akiona sisi wengine mambo safi.
Basi nikawa nakaa home tu nakula nacheck movies na music ili kupunguza mawazo. Wadogo zangu wote washaondoka home na wamejenga wana maisha yao. Mimi hapo nikawaza sasa kama nami nikisema nijenge hii nyumba mzee akifa nani ataitunza. So nikaona nisihangaike na ujenzi ili mimi nitunze hii nyumba.
Sasa naona mzee na mama kama hawajielewi hivi. Naona wame change sana. Wananipigia kelele nikileta mademu hapa home. Sasa wao wanafikiri mimi nitaishije bila kushiriki tendo la mwili? Nimewaletea wajukuu watatu kila mmoja na mama yake. Ili wapate company lakini hawana shukrani.
Wameanza kama unyanyasaji fulani hivi. Mara remotes za TV na DSTV sizioni sebuleni. Mara nakuta wamechomoa nyaya za TV na Decoders. Tabia za kiswahili ambazo hawakuwa nazo.
Sasa hivi hata dada wa nyumbani hawamtumi kuja kuniita chumbani kuwa msosi tayari. Nakuta wanakula au wameshakula. Hawa kweli ni wazazi wangu?
Mzee gari zake funguo anaficha sijui anadhani mimi nitatumia usafiri gani kwenda kutafuta mishe mishe. Gari yangu nimepark sababu engine yake kubwa na yeye ameacha kunipatia pesa ya mafuta. So huwa nategemea kutumia gari ambayo atakuwa ameiacha kwa siku husika akienda kwenye ofisi yake.
Kiukweli nahisi kama kuna hujuma flani nafanyiwa. Mpaka naWaza isije ikawa hawa ni wazazi wa kambo. Maana si kwa kuninyanyasa hivi mtu mzima kama mimi.
Mpaka kufikia kunambia room kwangu nisiwe nafunga na funguo,dada wa kazi wamempiga marufuku asije kusafisha room kwangu. Yaani ni full kero na manyanyaso. Sielewi ni kwa nini wamebadilika kiasi hiki.
Haya mambo yanakwaza sana. Hasa kumfanyia mtu mzima ambaye amejitoa kupigania na kuangalia mali za familia. Wanadhani wakifa kesho nani ataangalia hizi mali ? Je nikiamua nami kususa watamlaumu nani? Haya mambo ndo maana wakati flani watoto wengine wanafanya maamuzi magumu tu.
Sitaki tufike huko. Na leo nataka niongee na mzee nimweleze jambo
Hata mi nimeshangaa sana !yani mtoto mdogo wa miaka 35 kama wewe wanataka ukajitegemee?
YaaapWewe si hupendi kuzinguliwa? Ondoka!
mkuu pole sana awa wazazi wetu kuna muda wanakuwa hawajielewi na wanakuwa na roho mbaya, ila uwa nahisi ni uzee tu ndio unakuwa unawasumbua pole sana ata mimi napitia iyo kadhiaMimi nina Elimu ya Chuo Kikuu. Nilimaliza mwaka 2003. Nikafanya fanya kazi maeneo kadhaa nikawa naacha wakinizingua. Huwa sipendi kuzinguliwa kazini. So usitegemee utaniajiri halafu ulete za kuleta eti nikuache.
Kama sijakuwamba makofi basi naweza kukupa maneno ambayo hutasahau maishani mwako. So kuna sehemu nafanya mwezi nikiona wanaojiona maboss wanataka kunizoea nawapiga chini nalala mbele.
Sasa ni miaka mitatu sina kazi nakaa kwa mzee... Sisi tupo watoto wanne. Dada wa 2 na wakiume wawili. Mimi ni second born.
Nilirudi kukaa kwa mzee toka mwaka 2007 baada ya kuona nyumba za kupanga zinazingua. Mwenye nyumba unakuta anataka mazoea,analeta shobo hasa akiona sisi wengine mambo safi.
Basi nikawa nakaa home tu nakula nacheck movies na music ili kupunguza mawazo. Wadogo zangu wote washaondoka home na wamejenga wana maisha yao. Mimi hapo nikawaza sasa kama nami nikisema nijenge hii nyumba mzee akifa nani ataitunza. So nikaona nisihangaike na ujenzi ili mimi nitunze hii nyumba.
Sasa naona mzee na mama kama hawajielewi hivi. Naona wame change sana. Wananipigia kelele nikileta mademu hapa home. Sasa wao wanafikiri mimi nitaishije bila kushiriki tendo la mwili? Nimewaletea wajukuu watatu kila mmoja na mama yake. Ili wapate company lakini hawana shukrani.
Wameanza kama unyanyasaji fulani hivi. Mara remotes za TV na DSTV sizioni sebuleni. Mara nakuta wamechomoa nyaya za TV na Decoders. Tabia za kiswahili ambazo hawakuwa nazo.
Sasa hivi hata dada wa nyumbani hawamtumi kuja kuniita chumbani kuwa msosi tayari. Nakuta wanakula au wameshakula. Hawa kweli ni wazazi wangu?
Mzee gari zake funguo anaficha sijui anadhani mimi nitatumia usafiri gani kwenda kutafuta mishe mishe. Gari yangu nimepark sababu engine yake kubwa na yeye ameacha kunipatia pesa ya mafuta. So huwa nategemea kutumia gari ambayo atakuwa ameiacha kwa siku husika akienda kwenye ofisi yake.
Kiukweli nahisi kama kuna hujuma flani nafanyiwa. Mpaka naWaza isije ikawa hawa ni wazazi wa kambo. Maana si kwa kuninyanyasa hivi mtu mzima kama mimi.
Mpaka kufikia kunambia room kwangu nisiwe nafunga na funguo,dada wa kazi wamempiga marufuku asije kusafisha room kwangu. Yaani ni full kero na manyanyaso. Sielewi ni kwa nini wamebadilika kiasi hiki.
Haya mambo yanakwaza sana. Hasa kumfanyia mtu mzima ambaye amejitoa kupigania na kuangalia mali za familia. Wanadhani wakifa kesho nani ataangalia hizi mali ? Je nikiamua nami kususa watamlaumu nani? Haya mambo ndo maana wakati flani watoto wengine wanafanya maamuzi magumu tu.
Sitaki tufike huko. Na leo nataka niongee na mzee nimweleze jambo
Katafuteni za kwenu za wazazi sio zenu hivi inakuwa mbaba mzima unataka mgao wa mali za wazazi? Wamekuzaa,wamekulea,wamekusomesha ni wakati wako sasa kuonesha kuwa unathamini wajibu wao kwako!!!!!!mkuu pole sana awa wazazi wetu kuna muda wanakuwa hawajielewi na wanakuwa na roho mbaya, ila uwa nahisi ni uzee tu ndio unakuwa unawasumbua pole sana ata mimi napitia iyo kadhia