Nahisi hawa wote ni wazazi wa Kambo. Pamoja na kunilea miaka yote, nimekuja kugundua ukubwani

Nenda kwako bwa shee kwahiyo hao watoto wako na wao watarithi nini?
 
Stori imekaa kichai chai sana lakini kama ni ya kweli, nawahurumia sana wadogo zako manake wazee wakishadanja, utaanza kusumbua sumbua wadogo zako! Na kuna uwezekano mkubwa wa ku-opt kwenda kuishi kwa Sister kwa sababu mashemeji wa kike wa Kibongo hawataki kabisa mizigo!

In short, stori yako kama sio chai basi wewe ni MZIGO UNAOPUMUA!
 
Jipige pige kifuani jiambie" wewe ni li ng'ombe tu"
 
Mleta mada una mtindio wa ubongo, wazazi wako wana huruma sana, unapaswa kufukuzwa kabisa hapo nyumbani, hivi huoni aibu?
 

Chai hii, mtamjibu Huyu mjinga na kupoteza Mda wenu; Hakuna mtu Mwenye umri na Elimu hiyo anaweza kuwa mjinga!
 
Mtoto anapozaliwa anakuwa malaika kwa wazazi wake,anapokuwa mtu mzima anageuka na kuwa shetani kwa wazazi wake,hivyo anatakiwa awembali na wazazi wake kwa kuwa kipindi hicho anakuwa si mtu wa baraka tena kwa wazazi wake, anakuwa ni mkeraja wa wazazi wake, nafasi yake inakuwa haipo tena isipokuwa nafasi inakuwepo kwa watoto wake ambao ni wajukuu wa wazazi wake.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kijana wa ovyo
 
Waarabu na wahindi wanaishi kwenye "boma" yaani plot moja Kuna nyumba nyingi za watoto wamezunguka nyumba ya wazazi wao, wanakuwa karibu na wazazi wao,
Are you sure about this mkuu??

Sema wanakaa nyumba moja.. watoto wa kiume wanaishi na wake zao kwenye nyumba ya wazazi na kike wanaenda kuishi na wakwe zao
 
Hii ni story yenye funzo ndani yake, wale wasiotaka kujishughulisha kutafuta mali zao, wanategemea urithi. Ila ingekua kweli hili likaka tunaita kubwa jinga toka 2007 upo kwa wazazi, nimekuzidi hadi mimi naishi ghetto and paying my bills 😂
Hapa mtaani kwetu watu wa hivi wapo wengi,halafu wengine wamegawana vyumba kabisa wanachukua kodi na wazazi wao wapo hai
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]lisikieni hili lipunga,,,,,huyu anapaswa atafutwe akamatwe aFungwe jela,,,atakuja kuwaua wazazi wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…