Nahisi "house girl" anayedaiwa kuua mtoto ni muhanga

Polisi wetu japo sometimes Wana maujinga ila wapo Makini

Wataleta majibu sahihi 100%
Usitegemee mia kwa mia kutoka familia yenye ukwasi wa kutosha.

Hapo mume au mke lazima anajua source ya kifo au kimetokana na kazini au mahusiano au majirani hivyo lazima awahi huko akahonge yaishe.

Sie tumlilie tu huyo malaika
 
Huyo house girl alililetewa na dereva taxi anakofanya kazi huyo mwanamke ni dereva taxi aliyemzoea yeye mwenyewe akamwambia ninatafuta house girl yule dereva akamwambia kule kijijin kuna mtoto wa kaka angu yupo tu nyumbani ndyo ukafanywa mpango akaja.Ila mm nina shaka huyo house hajafanya hilo tukio
Polisi iwahoji vizuri wazazi wa marehemu

Je aliyebomoa geti kabla beki 3 hajaletwa ni nani?
 
kwenye zile W5 moja wapo ni Why???

umewaza nje ya box vyema sana,hata walioijua dunia vyema walifanya maalifa ya kuitizama kutoka nje kwanza.
nadhani kwa sasa polisi wameshajua kabisa binti ndiye mhusika kwa bahati mbaya au makusudi au siye kwa namna wanavyomuhoji nk.
Kama kuhoji kwenyewe ndio kule kwenye mateso makali na kulazimishwa akiri kosa ukweli hautakuja kujulikana
 
Ongea kidogo kuhusu kubomoa geti, hii sijaiona mahali
Mama wa marehemu amesema chanzo cha kumpata huyo house girl Ilikuwa hivi:

Siku moja alirudi nyumbani kea taxi ambayo inapaki ofisini kwao na huwa anaitumia mara kea mara. Walipofika nyumbani akaona kitasa cha geti kimebomolewa ufunguo unazunguruka tu ndipo akaguna kea mshangao

Dreva taxi akauliza " dada kulikoni?" Ndipo akamueleza kitasa kimevunjwa.

Dreva taxi akauliza dada hauna house girl? Anasema sins aliyekuwepo ameondoka juzi Kati

Dreva taxi anasema kuna mtoto wa kaka yake huko Handeni amemalizia shule yuko tu nyumbani atamuulizia kama atakubali.

Ndivyo beki 3 akaja
 
8. Usisahau huenda mtoto yule hakuwa wa baba yule. Mama alibeba mimba ya bwana mwingine, akagawa kwa bwana mwingine. Tukose wote.
9. Huenda doctor ana visa na mtu, kaamua amkomoe.

Kifupi pana mengi ya kuchunguza.
Huwenda kweli Ila tusubiri ukwel utajuliikana
 
Mama wa marehemu amesema chanzo cha kumpata huyo house girl Ilikuwa hivi:

Siku moja alirudi nyumbani kea taxi ambayo inapaki ofisini kwao na huwa anaitumia mara kea mara. Walipofika nyumbani akaona kitasa cha geti kimebomolewa ufunguo unazunguruka tu ndipo akaguna kea mshangao

Dreva taxi akauliza " dada kulikoni?" Ndipo akamueleza kitasa kimevunjwa.

Dreva taxi akauliza dada hauna house girl? Anasema sins aliyekuwepo ameondoka juzi Kati

Dreva taxi anasema kuna mtoto wa kaka yake huko Handeni amemalizia shule yuko tu nyumbani atamuulizia kama atakubali.

Ndivyo beki 3 akaja

Na huyo kijana anaeshikiliwa je?
Ripoti ya polisi wanasema wanae kijana pia
Basi huenda huyo ndio muuwaji na msichana sio kabisa
 
Nimesikiliza kwa juu juu hii habari ya "housegirl" kumuua mtoto Kimara lakini kwa hisia tu nahisi huyu housegirl ni muhanga wa jambo ambalo linaweza kuwa limejificha.

1. Jambo hili linaweza kuwa limefanywa na mtu kwa wivu tu wa kuionea wivu familia. Ukitazama familia inavyoonekana haikosekani binadamu wa kuionea wivu.
2. Yawezekana baba ana mchepuko unaoweza kuona labda mtoto ni kikwazo kwa mambo mengi kwake
3. Huyo mtu aliyemleta housegirl ni nani? na ana mahusiano gani na familia hiyo.
4. Wakati hawana housegirl, ni nani waliyemuacha kuangalia nyumba pamoja na kijana, maana nimemsikia mama akisema hakuwa na housegirl. hapa nataka kusema inawezekana kuna watu waliwaachia uangalizi wa nyumba na walifaidika na jambo hilo, ujio wa housegirl mpya ukakata faida iliyokuwa inapatikana na binadamu kila mtu ana akili zake jinsi ya kutatua tatizo.
5. House girl aliyeondoka aliondoka kwa sababu zipi na yuko wapi?
6. Katika majirani na marafiki wa familia nao wahusishwe.
7. Huyo housegirl anayedaiwa kuuwa afuatiliwe alikotoka alikuwa mtu wa aina gani?

Maana yangu ni kama kuna mtu amefanya uamuzi wa kipuuzi kumuua mtoto kwa sababu ya kipuuzi tu ndogo, tuwaombe vyombo vya uchunguzi wamtafute huyo mtu mpaka apatikane na tusimbebeshe "housegirl" kama siye yeye aliyetenda.
Kila hatua ilionekana kwenye CCCTV camera mkuu
 
Hakuna ushahidi wa uhakika zaidi ya Cz
 
Polisi waingie kazini, wasilichukulie juu juu hili suala, uchunguzi wa kina unahitajika kuna sintofahamu hapa na house girl anaweza akawa sio mhusika masikini...
Wafatilie mpaka huko shuleni pia

Ova
 
Back
Top Bottom