mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Na inasemekana sababu ya kuletwa house girl hapo, kipindi fulani nyumban kwao hakuna mtu, walipotoka waliporudi walikuta geti,kufuli limefunguliwa ni kama mtu alijaribu kuingia ndaniHuyo house girl alililetewa na dereva taxi anakofanya kazi huyo mwanamke ni dereva taxi aliyemzoea yeye mwenyewe akamwambia ninatafuta house girl yule dereva akamwambia kule kijijin kuna mtoto wa kaka angu yupo tu nyumbani ndyo ukafanywa mpango akaja.Ila mm nina shaka huyo house hajafanya hilo tukio
Ova