Kweli kabisa, mie nilifikiria sana kuhusu jambo hilo na nilihisi kuwa huyo haouse girl hausiki na mauaji ya mtoto. Kwa maelezo ya wazazi wote walisema alipiga simu kuwa mtoto ana tatizo na alikaa mpk walipofika
Inaonekana kuna mtu alifanya jambo na kutoweka na kumwachia msala house girl. Inahitajika uchunguzi wa kina sana ila nafsi yangu inakataa kuwa house girl kahusika. Uchunguzi utabaini tu
Uko sawa kabisa. House girl asingeweza kukaa kwa siku Tatu aue mtoto, amalize na Mpigie mama mtoto simu kuelewa Hali ya mtoto, Bado mama wa mtoto aje amkute mtoto kafa na House girl yuko hapo nyumbani hajakimbia.
2. Maelezo ya wazazi yanaonyesha kulikuwa na House girl wa awali yuko wapi? Aliondoka sasa yuko Mkoa gani? Aliondoka kwa mazingira yapi? Inawezekana Dr Kimaro alikuwa amekuwa naye kimapenzi then wakamfukuza akaja kinyemela kwa kufanya mahoka Ili kumkomoa.
3. Kuna maelezo kuwa kuna House boy aliyekuwa amekuja na kuondoka. Yuko wapi na Anafanya kazi wapi?
4. Hili eneo walikojenga nyumba lilikuwa mali ya nani na walilipataje? Isije ikawa Dr alinunua nyumba kwenye minada ya bank mwenye nyumba akaja kufamya yake baada ya kudhulumiwa nyumba.
5. Je kijana aliyefariki alikuwa mtoyo wa Dr? Isije ikawa mke alipiga nje akasingizia mtoto ni wa Dr kumbe ni wa baba mwingine wanawake maDr nayo wana vituko vyao, , then baba mwingine akaja kufanya yake?
6. Je wakati mtoto akiwa amelala mlango, geti vilikuwa wazi? Je huyo binti alikuwa umbali gani ?
7. Kabla mtoto hajatoka shule binti wa kazi alikuwa na nani huko nyumbani?
8. Mtoto aliyenyongwa lazima ajikojolelee au kutoa haja kubwa kabla hajafa, je mtoto alikuwa na Hali hiyo?
9. Je Huyo binti wa kazi hicho ni kituo chake cha ngapi cha kufanyika kazi? Kama ameshafanya pengine historia yake ilikuwa je?